RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameanza kuunda baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).
Walioteuliwa ni; Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Dk. Philip Mpango kuhudumunwizara ya Fedha na Mipango.
Mawaziri hao wateule, katika Baraza lililopita la Rais Magufuli, walikuwa wizara hizo hizo.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa imesema, uteuzi wa mawaziri hao unaanza leo Ijumaa tarehe 13 Novemba 2020.
Mbona hakuna jipya ni wale wale tulitegemea mabadiliko