Tuesday , 16 April 2024
Home kubenea
63 Articles9 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Kifo cha Magufuli: Mabeyo ‘akaanga’ wenzake

NANI aliyetaka kupindisha Katiba, ili aliyekuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, asiapishwe kurithi kiti cha urais baada ya John Magufuli, kufariki dunia,...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar: Bakharesa hajavamia shamba letu

  IKULU Visiwani Zanzibar, imeeleza kuwa eneo la kiwanda cha sukari cha Bagamoyo, siyo sehemu ya shamba linalomilikiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar...

Habari za Siasa

Pigo jingine: Bernard Membe afariki dunia

  ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, katika utawala wa Rais Jakaya Kikwete, Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia, asubuhi...

Habari za Siasa

Mbowe alinigomea kukutana na Magufuli – Job Ndugai

  ALIYEKUWA Spika wa Bunge, Job Ndugai, amedai kuwa aliwahi kumshauri Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kukutana na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ndege ya Precision ‘yaanguka’ Bukoba

  NDEGE ya kampuni ya Precision kutoka Tanzania, iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam, kuelekea Bukoba, imepata hitilafu na kulazimika kutua majini mjini...

Makala & Uchambuzi

Joseph Selasini: Muongo au msahaulifu?

  ALIYEKUWA mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameibuka upya na kudai kuwapo...

Makala & Uchambuzi

Joseph Selasini: Muongo au msahaulifu?

ALIYEKUWA mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameibuka upya na kudai kuwapo mkakati...

Makala & Uchambuzi

Benki ya Kilimo: Ni mkopeshaji au dalali?

  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Kassim Majaliwa, amewasilisha bajeti ya wizara yake, bungeni mjini Dodoma na kumwagia sifa Benki ya Kilimo....

Habari MchanganyikoTangulizi

Prof. Baregu afariki dunia

  MWANAZUONI na mwanasiasa mahiri nchini Tanzania, Prof. Mwesiga Baregu, amefariki dunia, usiku wa kuamkia leo Jumapili, tarehe 13 Juni, 2021, katika Hospitali...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya ni funzo, azua mjadala

  HATUA ya Serikali ya Tanzania, kumfikisha mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, imeibua mjadala mwingine wa...

Habari za SiasaTangulizi

Ole Sabaya akamatwa

  ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, ametiwa mbaroni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es...

Makala & Uchambuzi

Mlinzi wa Rais Obote aliyedhaniwa kufa arejea baada ya miaka 50

  MKUU wa zamani wa usalama wa Rais wa Uganda, marehemu Milton Obote, ambaye alidhaniwa amekufa, amerejea nyumbani kwao Uganda baada ya miaka...

HabariSiasaTangulizi

Uchaguzi wa TLS, waibuka na ‘sakata’ la Richmond

  KINYANG’ANYIRO cha kuwania urais ndani ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimeibua siri mpya ya “sakata la mkataba tata” wa kufua umeme...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaanika mwelekeo wa bajeti, deni la taifa lazidi kupaa

  WAZIRI wa fedha na mipango wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango amesema, serikali imekopa kiasi cha dola za Marekani 463.8 milioni (Sh. 1.1...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wazidi kukatika, Dk. Likwelile awafuata

  ALIYEKUWA katibu mkuu wa wizara ya Fedha na Mipango, katika serikali ya Tanzania, Dk. Servasius Beda Likwelile, amefariki dunia. Anaripoti Saed Kubenea…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Arcado Ntangazwa afariki dunia

  WAZIRI wa zamani katika serikali za awamu ya Kwanza, Pili na Tatu, Arcado Ntagazwa (75) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Maaskofu Katoliki watahadharisha maambukizi ya corona

  BARAZA la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limetoa tahadhari kwa wananchi kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona na ugonjwa wa...

KimataifaTangulizi

SAKATA LA CORONA: Mipaka kufungwa Ulaya

KUIBUKA upya kwa ugonjwa wa Corona ulimwenguni, kunaweza kusababisha mataifa kadhaa ya Ulaya, kufunga mipaka yake, ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mwaka 2020: Vigogo wengi wameanguka

HAUKUWA mwaka mzuri kwa baadhi ya wanasiasa nchini Tanzania na ulimwenguni kwa ujumla, kufuatia wanasiasa na watu wengine mashuhuri, kufariki dunia.  Anaripoti Saed...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atua Ubelgiji, aahidi makubwa

KIONGOZI wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu, amewasili salama jijini Brussel, nchini Ubelgiji leo asubuhi ya Jumatano tarehe 11 Novemba 202. Anaripoti...

Habari za Siasa

Tundu Lissu aibua hofu mpya

HOFU mpya imeanza kutanda nchini Tanzania juu ya hatma ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

Habari za SiasaTangulizi

Ni hofu, woga THRDC?

MTANDAO wa Utetezi wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania (Tanzania Human Rights Defenders Coalition -THRDC), hatimaye umetangaza kusitisha shughuli zake kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Nenda Jaji Augustino Ramadhani, umefanya yaliyokuhusu

KASISI wa Kanisa la Anglikana Visiwani Zanzibar, Jaji Augostino Ramadhani (74), ameaga dunia. Amekutwa na mauti jana Jumanne, katika hospitali ya Aga Khan,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bilionea mwingine Tanzania afariki dunia, ni Ali Mufuruki

MFANYABIASHARA mashuhuri na mmoja wa mabilionea wakubwa nchini, Ali Mufuruki (60), amefariki dunia. Alikuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu. Anaripoti Saed Kubenea …...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu avuliwa ubunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, ametangaza kumvua ubunge, mbunge wa jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, Anaripoti Saed Kubenea…(endelea). Akizungumza...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali inataka kusimamisha au kusimamia dini?

SERIKALI ya Rais John Magufuli, imewasilisha bungeni, muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali – The Written Laws Miscellaneous Amendments No.3 ya mwaka 2019...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango na bajeti isiyotekelezeka

BAJETI ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20, iliyosomwa na Dk. Philiph Mpango, waziri wa fedha na mipango, katika utawala wa Rais John...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali ya Tanzania yasalimu amri kwa wafadhili

SERIKALI ya Tanzania inajiandaa kuwasilisha bungeni, muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Takwimu, ili “kuondoa kibano” cha kunyimwa fedha za maendeleo kutoka kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad agoma kujiuzulu

MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, amegoma kujiuzulu kutoka kwenye wadhifa wake. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea)....

KimataifaTangulizi

Wa-Sudan waling’ang’ania jeshi, kiongozi wa Mapinduzi naye ang’olewa

WAZIRI wa Ulinzi wa Sudan, ambaye Ijumaa ya tarehe 12 Aprili 2019, aliapishwa kuwa kiongozi mpya wa nchi hiyo, kuchukua nafasi ya Rais...

Makala & UchambuziTangulizi

Nani aweza kumuamini tena Prof. Lipumba?

Na Saed Kubenea PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuwa ndiye mwenyekiti wa Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa, Sumaye, Maalim Seif, Zitto kumfuata Mbowe Kisutu kesho

VIGOGO watatu wa kisiasa nchini, Edward Lowassa, Maalim Seif Sharif Hamad na Fredrick Suamye, kesho Ijumaa, wataongoza mamia ya wafuasi wa upinzani, kuelekea...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe, Matiko kuanza kusikilizwa kesho

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imepanga kusikiliza shauri la madai ya kufutiwa dhamana lililofunguliwa mahakamani hapo na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge...

Makala & UchambuziTangulizi

Mungu msamehe Mtolea

NIMELAZIMIKA kujitosa kwenye mjadala unaohusu kujiuzulu wadhifa wa ubunge kwa Abdallah Mtolea, aliyekuwa mbunge wa Chama cha Wananchi (CUF), katika jimbo la Temeke,...

Makala & UchambuziTangulizi

Rais Magufuli, ‘toka mafichoni’ ujiandikie historia yako

DK. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano, anakaribia kutimiza miaka mitatu kamili madarakani. Aliapishwa tarehe 5 Novemba 2015. Anaandika Sead Kubenea...

Habari za SiasaTangulizi

Fredrick Sumaye aviponda viwanda vya Magufuli

WAZIRI Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano, Fredrick Sumaye amesema, nchi kwa sasa inaendeshwa “kiholela,” na kudai kuwa ikiwa chama chake kitafanikiwa kushika madaraka,...

Habari za SiasaTangulizi

Pole Maalim Seif

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ameondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi  (CCM)....

Habari za SiasaTangulizi

Sethi, Rugemalira kuwaumbua vigogo mahakamani

JAMES Rugemalira (74), bado anasota kwenye gereza la Segerea, jijini Dar es Saalaam. Anashitakiwa kwa kuhujumu uchumi. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Anadaiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Utata wa Sugu uko wapi?

BADO nasisitiza, Sugu ametoka gerezani kwa msamaha wa rais. Lakini nakana kuwa Sugu amesamehewa na rais. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Kuna tofauti...

Makala & UchambuziTangulizi

Tume huru itasaidia kuepusha uhasama, visasi baada ya uchaguzi

MJADALA juu ya umuhimu wa katiba mpya na “tume huru ya uchaguzi nchini,” bado ungali mbichi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Ubichi huu unatokana...

Habari za Siasa

Abdul Nondo atikisa

JESHI la polisi nchini, bado linaendelea kumshikilia, kinyume na sheria za nchi, Abdul Nondo, mwanafunzi wa mwaka wa tatu kutoka Chuo Kikuu cha...

Habari za SiasaTangulizi

Mwingine apotea​

ADUL Nondo, mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ambaye alikuwa mstari wa mbele kupinga kitendo cha...

Habari za SiasaTangulizi

Mkakati wa kuifuta Chadema, CUF waiva

SIRI imefichuka, kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashirikiana na baadhi ya viongozi serikalini, kumtumia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Sales Katabazi...

Habari za Siasa

Polisi wavamia makao makuu Chadema

MAOFISA waandamizi wa jeshi la polisi jijini Dar es Salaam, wamevamia makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jioni hii ya...

Makala & UchambuziTangulizi

Kingunge ametoweka akiwa ‘kijana’

ALIYEKUWA “mchungaji mkuu” wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), msemaji wa chama hicho na muumini wa itikadi yake iliyokufa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru (87),...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa, Sumaye kunguruma Dar kesho

MAWAZIRI wakuu wawili wastaafu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano –Fredrick Sumaye na Edward Lowassa – kesho Jumamosi, wanatarajiwa kunguruma jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

​Lissu afika salama Ubelgiji, apokelewa kwa ulinzi mkali

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu, amewasili salama nchini Ubegiji alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu zaidi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amwangukia Kinana

JOHN Pombe Magufuli, mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemuomba katibu mkuu wa chama hicho, Abdulrahaman Kinana, kuendelea na wadhifa huo....

Habari za SiasaTangulizi

Jussa amsuta Kikwete hadharani

ALIYEKUWA Rais wa Jamhuri, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, “amesutwa” hadharani kuwa ndiye chanzo kikuu cha kuwapo mkwamo wa kisiasa, Visiwani Zanzibar. Anaandika Saed...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Chadema aibukia polisi

MBUNGE wa Mlimba (Chadema), Suzan Kiwanga (Mama Kiwanga), pamoja na wanachama wengine 67 wa chama hicho, wameswekwa mahabusu ya kituo kikuu cha polisi...

error: Content is protected !!