August 9, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Wabunge 19 Chadema  waapishwa Dodoma

Halima Mdee, Mbunge wa Chadema Viti Maalim

Spread the love

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai  amewapisha wabunge 19 wa viti maalum          kupitia  Chama cha Demokraisa (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Spika Ndugai amewaapisha leo Jumanne tarehe 24  Novemba 2020  viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Walioapishwa ni;  Halima  Mdee, Grace  Tendeka, Esther  Matiko, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnesta  Lambat, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa, Hawa Mwaifunga na Tunza Malapo.

Wengine ni; Asia Mwadini Mohamed, Felister Njau, Naghenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala,  Stella Siyao, Salome Makamba, Anatropia  Theonest na Conchesta Lwamlaza.

Kati ya wabunge hao 19 walioapishwa, wanaoingia kwa mara ya kwanza ni  wanne; Agnesta, Asia, Stella na Felister.

error: Content is protected !!