Sunday , 2 April 2023
Habari Mchanganyiko

Simanzi Simiyu

Ziwa Victoria
Spread the love

WATU watatu wavuvi katika Ziwa Victoria wilayani Busega, Simiyu wamefariki dunia baada ya mtumbwi wao kupasuka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Simiyu … (endelea).

Taarifa kutoka Simiyu zinaeleza, maafa hayo yametokea jana tarehe 29 Novemba 2020, katika Kata ya Kabita wakati wavuvi wao wakiwa kazini.

Richard Abwao, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu amewaeleza waandishi wa habari leo tarehe 30 Novemba 2020, kwamba baada ya mtumbwi huo kupasuka, watu hao walikunywa maji mengi pia kukosa hewa jambo lililowasababisha mauti.

Waliotajwa kupoteza maisha ni Mnaga Manyama (28), Kulwa Juma (15) na Bitulo Manyama.

Kamanda Abwao anasema, wawtu hao wote walikuwa wakazi wa Kibata iliyopo kwenye Wilaya ya Busega mkoani humo na kwamba, taratibu zingine zinaendelea.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Ditopile aungana na Wana-Kongwa kwa Iftar, wamuombea dua Rais Samia

Spread the loveKATIKA muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti...

Habari Mchanganyiko

PSSSF yawekeza kwenye viwanda 4, kuzalisha ajira 3,000

Spread the loveKATIKA kuisaidia Serikali kupunguza tatizo la uhaba wa ajira nchini,...

Habari Mchanganyiko

Luhemeja ahimiza utunzaji rasilimali maji kwa faida ya vizazi vijavyo

Spread the love  NAIBU Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Cyprian Luhemeja...

Habari Mchanganyiko

NSSF yawapa darasa wahariri uwekezaji wa nyumba, yapewa cheti

Spread the loveMFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umetoa wito...

error: Content is protected !!