Saturday , 20 April 2024

Habari

KimataifaTangulizi

Mwanaye rais aliyepinduliwa Gabon, afumwa na mabegi ya pesa

Mabegi, mifuko pamoja na masanduku yaliyojazwa fedha za nchi mbalimbali yamekutwa ndani ya nyumba ya Yann Ngulu mtoto mkubwa wa Rais Ali Bongo...

Kimataifa

Binamu wa Ali Bongo ateuliwa kuwa rais wa mpito Gabon

VIONGOZI wa kijeshi waliochukua madaraka nchini Gabon wamemtangaza mkuu wa kitengo cha walinzi wa rais, Brice Clotaire Oligui Nguema, kama kiongozi wa mpito...

Kimataifa

70 wahofiwa kufa kwa ajali ya moto Sauz

ZAIDI ya watu 70 wanahofiwa kufa baada ya kuungua kwa ajali ya moto katika jengo la ghorofa tano ambalo linatumiwa na watu wasio...

Kimataifa

Kiwango cha deni la Kenya chafikia rekodi ya juu, deni la China latajwa

pPAMOJA na jitihada za Rais wa Kenya William Ruto za kudhibiti kiwango cha deni la taifa hilo lakini inaripotiwa madeni kufika rekodi za...

Kimataifa

Ruto ageuka mbogo walanguzi sukari, “wahame au waende mbinguni”

RAIS wa Kenya, William Ruto ametoa onyo kwa walanguzi wa biashara ya sukari nchini humo ambao wanazuia mchakato wa kutaka kufufuliwa kwa kampuni...

Kimataifa

Kesi ya Trump Machi mwakani, mbio za urais shakani

KESI dhidi ya rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kutokana na madai ya kujaribu kuingilia matokeo ya uchaguzi wa rais wa 2020...

Kimataifa

Raia wa China atiwa mbaroni kwa kusambaza sigara ‘feki’ Colombo

RAIA wa China aliyekamatwa kwa kosa la kusambaza sigara zenye chapa ya kichina huko Colombo Sri Lanka amehukumiwa kulipa faini ya Rupia Milioni...

Kimataifa

Nimedhulmiwa ushindi wa Urais– Chamisa

MPINZANI katika uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa amelalamika kudhulumiwa haki yake ya kushinda kuwa Rais wa Zimbabwe dhidi ya Emmerson Mnangagwa kwenye...

Kimataifa

Waziri Libya atumbuliwa baada ya kukutana na mwenzie wa Israel

KIONGOZI wa serikali ya Libya amemsimamisha kazi waziri wake wa mambo ya nje baada ya mwenzake wa Israel kutangaza kuwa, wawili hao walifanya...

Kimataifa

Rais Mnangagwa ashinda uchaguzi, upinzani wapinga

TUME ya taifa ya uchaguzi nchini Zimbabwe imemtangaza Rais Emmerson Mnangagwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais katika uchaguzi uliofanyika Jumatano 23 Agosti...

Kimataifa

Trump ajisalimisha polisi, aachiwa kwa dhamana

Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump jana Alhamisi amejisalimisha kwa Polisi katika Jimbo la Georgia kutokana na mashtaka yanayomkabili akidaiwa kujaribu kubadili matokeo...

Kimataifa

Upinzani Zimbabwe walia rafu uchaguzi mkuu

Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa, ameituhumu serikali ya nchi hiyo kwa udanganyifu na wizi wa kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana...

Kimataifa

Mamlaka ya Afya China yazindua kampeni ya kupambana na rushwa, wachambuzi waja tofauti

  SEKTA za matibabu na dawa za nchini China zimetajwa kuwa ndio kipaumbele cha kipekee zaidi katika kampeni ya Rais Xi Jinping ya...

Habari za SiasaKimataifa

Aliyejaribu kumpindua Putin afariki kwa ajali ya ndege

WATU 10 wamefariki dunia leo Jumatano baada ya ndege binafsi iliyokuwa ikitokea katika jiji la Moscow kwenda St. Petersburg kuanguka huko nchini Urusi....

Kimataifa

Watoto 500 wafariki kwa njaa

SHIRIKA la kimataifa la hisani la Save the Children limesema takriban watoto 500 wamefariki kutokana na njaa nchini Sudan. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Kimataifa

Historia ya miaka 43 ZANU-PF kutamatika?

Raia wa Zimbabwe leo Jumatano wanapiga kura kuwachagua wabunge na rais katika uchaguzi ambao upinzani unalenga kumaliza utawala wa miaka 43 ya chama...

Kimataifa

Trump kujisalimisha kesi ya kubatilisha uchaguzi

RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa atajisalimisha mwenyewe jimboni Georgia Alhamis wiki hii ili kukabiliana na mashtaka ya udanganyifu na...

Kimataifa

Sheria ya kupinga mapenzi jinsia moja yaanza kung’ata Uganda

POLISI katika wilaya ya Buikwe nchini Uganda inawashikilia watu wanne katika kituo cha polisi Njeru kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia...

Kimataifa

Walinzi mpaka wa Saudi Aradia watuhumiwa kuua wahamiaji

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu (Human Rights Watch) limewatuhumu walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia kwa kutekeleza mauaji ya wahamiaji kwenye mpaka...

Kimataifa

Ongezeko la idadi ya wazee China latikisa

  IDADI ya raia walio na umri wa zaidi ya miaka 60 nchini China inatarajiwa kuongezeka kwa wastani wa milioni 10 ifakapo mwaka...

Kimataifa

Ajichoma moto kisa ugumu wa maisha

MTU mmoja mkazi wa Kaunti ya Mombasa nchini Kenya amelazwa katika Hospitali Kuu ya Pwani nchini humo baada ya kupata majeraha baada ya...

Kimataifa

Mlinzi aliyehukumiwa kumuua mke wa rais kuachiwa huru

MLINZI aliyemuua Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Marike De Klerk, Luyanda Mboniswa anatarajiwa kuachiliwa huru mwishoni mwa mwezi huu. Anaripoti...

Kimataifa

Walinzi wa amani UN waondoka Mali

MALI imeendelea kuwa na usalama hafifu hali iliyolazimu Ujumbe wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa (MINUSMA) nchini humo, kuondoka leo...

Kimataifa

Jeshi kumfungulia mashtaka rais kwa uhaini

VIONGOZI wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger wametangaza kuwa na ushahidi wa kumshtaki rais aliyeondolewa madarakani na washirika wake wa ndani na nje...

Kimataifa

Mafuriko yaua watu 29 Hebei China

  WATU 29 wamefariki na wengine 16 wamepotea kutokana na mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Hebei nchini China. Imeripotiwa na Global Times …...

Kimataifa

Mkutano maandalizi ya uvamizi kijeshi Niger waahirishwa

Mataifa ya Afrika ya Magharibi yamesitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya mzozo wa Niger ikiwa ni siku moja baada ya kusema maazimio...

Kimataifa

Moto waua 53 Marekani, watu wajitosa baharini

WATU zaidi ya 53 wamefariki duniani huku wengine zaidi ya 100 wakiripotiwa kupotea katika kisiwa cha Maui jimbo la Hawaii nchini Marekani kutokana...

Kimataifa

41 wafariki katika ajali ya Meli

AJALI ya meli iliyotokea karibu na nchi ya Italia kwenye kisiwa cha Lampedusa imesababisha vifo vya wahamiaji 41 huku wachache wakinusurika katika ajali...

Kimataifa

Kiongozi upinzani Senegali agoma kula, alazwa

MWANZILISHI wa Chama cha Siasa cha PASTEF nchini Senegal, Ousmane Sonko amelazwa katika Hospitali Kuu katika mji mkuu wa Senegal, Dakar baada ya...

Kimataifa

Polisi yataja chanzo kifo cha mpishi wa Obama

  POLISI wa Jimbo la Massachusetts, limedai chanzo cha kifo cha Tafari Campbell (45), aliyekuwa mpishi wa Rais mstaafu wa Marekani,Baraka Obama, kilikuwa...

Kimataifa

Mmoja afariki, 13 wajeruhiwa vibaya Korea Kusini

KIJANA mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 amewashambulia watu 14 kwa kuwagonga na gari na kuwachoma kwa kutumia kitu chenye ncha...

Kimataifa

Raia 10,749 wauwa katika vita Ukraine, mazingira yatajwa kuibeba Urusi

  RAIA wa Ukraine takribani 10,749, wamefariki dunia huku 15,599 wakijeruhiwa katika vita inayoendelea nchini humo. Anaripoti Mlelwa Kiwale, TUDARCo kwa msaada wa...

Kimataifa

Kesi zazidi kumuandama Donald Trump

  RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameshtakiwa mara ya tatu ndani ya miezi minne iliyopita, sasa anatuhumiwa kula njama ya kutaka...

Kimataifa

Mchungaji Mackenzie afanya vurugu mahakamani

MCHUNGAJI Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake 29 wamesababisha vurugu katika Mahakama ya Shanzu wakipinga ombi la upande wa mashtaka kwa mahakama kutaka watuhumiwa...

KimataifaTangulizi

Rais awatimua mawaziri kwa kuchelewa kikaoni

RAIS wa Kenya, William Ruto amemtimua Waziri wa Biashara, Moses Kuria na mwenzake wa Usalama wa Ndani Kithuri Kindiki baada ya kuchelewa kwenye...

Kimataifa

Ufaransa yaonywa kutoingilia kijeshi Niger

Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger umeituhumu Ufaransa kutaka kuingilia kati kijeshi ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’olewa Mohammed Bazoum. Anaripoti Mariam Mudhihiri kwa...

KimataifaTangulizi

Raila, Ruto sasa kupatanishwa na Obasanjo

RAIS mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo ataongoza kamati ya watu 10 katika mazungumzo kati ya Rais wa Kenya, William Ruto na kiongozi wa...

Kimataifa

Viongozi Afrika watua Urusi, wateta na Putin

MKUTANO wa kilele kati ya Urusi na Afrika unaanza leo Alhamisi, ambapo Rais wa nchi hiyo, Vladmir Putin anapanga kuimarisha ushirikiano na mataifa...

Kimataifa

Wanajeshi Niger wadai kumpindua Rais

KUNDI la wanajeshi wa Niger limetangaza kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum wa nchi hiyo, saa chache baada ya rais huyo kuzuiliwa ikulu na...

Kimataifa

Ukosefu wa ajira kwa vijana wa China ni tishio kiasi gani kwa serikali

  WAKATI takwimu zikionesha kuwa kijana mmoja kati ya watano ndio anayepata ajira nchini China inaelezwa kuwa kiwango cha ukaidi cha vijana wasio...

KimataifaTangulizi

Kenyatta amchana Ruto, amwambia nitafuteni mimi, siyo familia yangu

RAIS mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema nyumba ya mwanaye wa kiume imevamiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, kwa msaada wa BBC…(endelea). Akizungumza na waandishi...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Ruto akaribisha wawekezaji Dubai, DRC, Zambia kufuata

WAKATI baadhi ya wanasiasa wa upinzani na wanaharakati wakipinga mpango wa kampuni ya DP World ya Dubai kuwekeza kwenye bandari ya Dar es...

Kimataifa

Ushirikiano wa China, Nepal Kutoka kwenye mradi wa BRI mpaka Silk Roadster

MBELE ya vyama kadhaa vya kisiasa na mashirika ya kijamii, Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kilizindua jukwaa la “Silk Roadster” wiki iliyopita...

Kimataifa

Miradi ya CPEC katika hatari nchini China 

  UFUATILIAJI wa miradi ya nguvu ya CPEC unahusishwa na ukosefu wa riba ya Wachina katika kutoa fedha zaidi huku kukiwa na deni...

KimataifaTangulizi

Rais Ruto amtolea uvivu Kenyatta, amuonya ukaribu na Odinga

RAIS wa Kenya William Ruto amedai kuwa aliyekuwa mtangulizi wake Uhuru Kenyatta anajaribu kubomoa serikali yake kwa kufadhili maandamano. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Kimataifa

Rais Ruto amuonya Raila Odinga

  RAIS wa Kenya, William Ruto, amemtaka kiongozi wa upinzani nchini humo, Raila Odinga, kuacha mpango wake wa kuitisha maandamano ya siku tatu...

Kimataifa

Raila alia kuhujumiwa na wabunge wake

KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amewataka wabunge wa Umoja wa Azimio, wanaotaka kuiunga mkono Serikali ya Rais William Ruto, wajiuzulu nyadhifa...

Kimataifa

Masanduku ya siri China yaleta taharuki

  SEKTA ya watengeneza wanasesere nchini China imekosolewa kwa kitendo cha kuuza masanduku ya siri ambayo yametumika kusafisisha wanyama. Imeripoti CNN na Mitandao...

Kimataifa

Raila akinukisha tena Kenya “wakati wa mazungumzo umekwisha”

  KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, ametimiza azma yake ya kuitisha maandamano kwa ajili ya kupinga muswada mpya wa sheria ya...

Kimataifa

Mwanandoa afumwa akishiriki ngono na mchepuko kanisani, waumini wasusa..

  KUNDI la waumini wa Kanisa la Bungonya lililoko wilayani Kayunga nchini Uganda limesusa kushiriki ibada kanisani hapo baada ya wanandoa wawili kufumaniwa...

error: Content is protected !!