Monday , 4 March 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Mlipuko wa gesi wauawa 2, wajeruhi 222
Kimataifa

Mlipuko wa gesi wauawa 2, wajeruhi 222

Spread the love

MLIPUKO wa gesi umeuwa watu wawili huku wengine 222 wakijeruhiwa, jijini Nairobi, nchini Kenya. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea).

Kwa mujibu wa mitandao ya kimataifa, mlipuko huo ulitokea usiku wa jana baada ya lori lililobeba mitungi ya gesi kulipuka, maeneo ya Embakasi jijini Nairobi, majira ya 5.2330 usiku.

Msemaji wa Serikali ya Kenya, Isaac Mwaura, amesema moto huo umesababisha madhara mengine ikiwemo baadhi ya mali ikiwemo nyumba na magari kuungua, baada ya kusambaa katika makazi ya watu hususan katika maghorofa.

Mwaura amesema shughuli za ukoaji zinaendelea huku akiwataka wananchi kutozingira eneo la tukio.

Taarifa zinaeleza kuwa, majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Kenya, kwa ajili ya matibabu.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Kimataifa

Wanajeshi Ukraine waishiwa risasi, 31,000 wauawa

Spread the loveRais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema zaidi ya wanajeshi 31,000...

Kimataifa

Waziri mkuu Palestina ajiuzulu

Spread the loveWaziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtayyeh ametangaza kujiuzulu pamoja na...

Kimataifa

Rais mstaafu ahukumiwa miaka 4 jela

Spread the loveMahakama ya mjini Tunis imemhukumu rais wa zamani wa Tunisia,...

Kimataifa

Malawi yaondoa vikwazo vya viza kwa nchi 79 ikiwamo TZ

Spread the loveWaziri wa usalama wa ndani nchini Malawi, Ken Zikhałe ametangaza...

error: Content is protected !!