Friday , 29 March 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

CUF: ACT inakurupuka kujitoa SUK

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Maftaha Nachuma amesema kuwa Serikali ya umoja wa Kitaifa (SUK)-imetokana na maridhiano ya chama chao (CUF)...

Habari za Siasa

Wabunge wataka magari ya mawaziri yatumie gesi kubana matumizi

SERIKALI imetakiwa kuhakikisha magari ya viongozi wa umma wakiwemo mawaziri, yanabadilishwa mfumo wa matumizi ya mafuta kwenda gesi ili kubana matumizi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Rais Samia aeleza athari wanawake kukosekana katika maamuzi

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema licha ya Tanzania kuongeza jitihada za kuongeza ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi, bado kuna ombwe...

Habari za Siasa

Byabato awafunda wabunge EALA, watumishi ubalozi Kenya

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Stephen Byabato ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini...

Habari za Siasa

Sakata la kujiondoa SUK: ACT-Wazalendo yamhoji maswali 8 Rais Mwinyi

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemhoji maswali nane Rais Dk. Hussein Mwinyi, kikimtaka atoke hadharani ayajibu, kuhusu madai yao ya kutaka kujiondoa katika Serikali ya...

Habari za Siasa

Biteko awashukia wakandarasi SUMA-JKT, TONTAN, atoa maagizo Tanesco

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo Alhamisi amezindua mradi mkubwa wa umeme jua utakaozalisha megawati 150 katika Kijiji...

Tangulizi

5 mbaroni madai ya Makamba kumng’oa Samia 2025

WATU watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuandika uchochezi dhidi ya viongozi wakuu serikalini,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ampa kibarua kizito Chongolo

  MKUU wa Mkoa mpya wa Songwe, Daniel Chongolo, amekabidhiwa jukumu la kudhibiti uhalifu wa kiuchumi unaotokea ndani ya mkoa huo hususan mpaka...

Habari za Siasa

Rais Samia: Tunataka kupunguza kukopa

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassana, amesema Serikali yake inakwenda kupunguza kukopa fedha kwa ajili ya utekelezaji huduma za kijamii kwa wananchi, kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awavaa wakuu wa mikoa “msisubiri Makonda apite”

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameonesha kutoridhishwa na baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya ambao wanashindwa kutatua changamoto za wananchi zilizokuwa...

Habari za Siasa

Karume ataka ACT, CCM wainusuru SUK

WAKATI Chama cha ACT-Wazalendo kikitangaza nia ya kujiondoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa – Zanzibar (SUK), Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid...

Habari za Siasa

Tanzania, Pakistan kushirikiana sekta za biashara na uwekezaji

Tanzania na Pakistan zimeahidi kuendelea kushirikiana kuimarisha zaidi sekta za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa amgomea Mbowe

MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, amekataa ombi la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kurejea katika chama...

Habari za Siasa

Sakata la mzabuni anayedai mil. 25 Liwale, lamng’oa mmoja

SAKATA la mzabuni Maarifa Nampela aliyetoa vifaa kukarabati Hospitali ya wilaya ya Liwale na kisha kudhulumiwa malipo yake ya Sh 25 milioni, limechukua...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, waandishi wa habari ngoma nzito

Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kesho inatarajia kutoa uamuzi wa kukubali ama kuyakataa maombi ya Freeman Mbowe ya kutaka waandishi wa habari wanaodai...

Habari za Siasa

Wanasiasa Tz walaani Serikali ya Burundi kumuondoa madarakani kiongozi wa upinzani

VIONGOZI wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, wamelaani kitendo cha kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Burundi cha National Pour la Liberty...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua viongozi 12, kigogo CCM ateuliwa RC Shinyanga

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na kuwahamisha viongozi 12, ikiwa ni siku chache tangu alivyofanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi wa...

Habari za Siasa

Mnyika atoa siri ya watu kupoteza imani na uchaguzi

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema kupungua kwa idadi ya wapiga kura katika uchaguzi kumetokana na watu...

Habari za SiasaKimataifa

Kiongozi mkuu upinzani Burundi ang’olewa kwenye chama

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimekumbwa na mgawanyiko baada ya jana Jumapili kusema kuwa limemuondoa madarakani kiongozi wa chama hicho Agathon Rwasa...

Habari za Siasa

Cheyo: Mkitaka kufilisika ingieni kwenye siasa, wenye pesa wezi

MWENYEKITI wa Chama cha UDP, Mzee John Cheyo, amewaasa vijana wenye nia ya kuingia katika siasa kwa ajili ya kutafuta pesa, wasifanye hivyo...

Habari za Siasa

Madudu ya uchaguzi 2019, 2020 yawatesa wapinzani

MADUDU yaliyojitokeza katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020, bado yanaendelea kuwatesa wanasiasa wa vyama vya upinzani,...

Habari za Siasa

Rais Samia amng’oa “boss” mwendokasi

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemuondoa aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART), Gilliard Wilson Ngewe na kumteua Waziri Kindamba, kuiongoza...

Habari za Siasa

Ma-RC waliopigwa panga hawa hapa

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi amefanya uteuzi na kuwahamisha vituo wakuu wa mikoa na kuwaacha kando watatu. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua wakuu wa mikoa, wilaya

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na kuwahamisha vituo wakuu wa mikoa na wilaya, wakurugenzi pamoja na makatibu tawala. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za SiasaTangulizi

Chongolo ateuliwa mkuu wa mkoa Songwe

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM, Daniel Godfrey Chongolo kuwa mkuu wa mkoa wa Songwe. Chongolo amechukua nafasi ya...

Habari za Siasa

Mbowe: Uchaguzi 2024/2025 kufa kupona, atakayeshindwa kuusimamia ang’oke

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa(CHADEMA), Freeman Mbowe ameagiza uongozi wa chama hicho kuanzia ngazi ya taifa hadi shina kupitia mabaraza...

Habari za SiasaTangulizi

ACT -Wazalendo watishia kujitoa serikali Zanzibar

CHAMA  cha ACT Wazalendo kimetangaza nia ya kujitoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam …...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mtuhumiwa wa utapeli, kudhulumu viwanja aburuzwa mahakamani

Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya watu na kujimilikisha kinyume na utaratibu jijini Dar es salaam ajulikanae kama Paul Mushi leo Ijumaa...

Habari za Siasa

Mbowe akimbilia kortini kunusuru nyumba

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya mahakama ili kulipa Sh 62.7 milioni...

Habari za Siasa

Maandamano ya Chadema yaja kivingine

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kufanya maandamano katika makao makuu ya mikoa nchi nzima, hadi pale Serikali itakapotekeleza madai Yao ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Anayeidai TRA Mil.986 adaiwa kujiua, msongo wa mawazo watajwa

Mfanyabiashara Ramadhani Ntuzwe ‘Babu Rama’ aliyekuwa akipaza sauti katika vyombo mbalimbali vya habari kwa takribani miaka saba  kwamba anaidai fidia ya Sh 987...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Dk. Mwinyi: Baba hakuacha wosia azikwe Mkuranga

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amesema baba yake hayati Ali Hassan Mwinyi, hakuacha wosia kwamba akifa azikwe Mkuranga mkoani Pwani na kwamba...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda amvaa Lissu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema kuna shuthuma nyingi zinaelekezwa kwake, lakini ameamua kukaa kimya kwa...

Habari za Siasa

Chalamila ataka baa ziruhusiwe kufanya kazi usiku kucha

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezishauri halmashauri zianzishe leseni maalum zitakazoruhusu wenye baa kufanya kazi usiku kucha ili kujiongezea...

Habari za Siasa

Makonda adai kuna mtandao wa vigogo unaodhulumu wanyonge

  KATIBU wa Itadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amedai ziara yake aliyoifanya hivi karibuni katika mikoa kadhaa, imebainisha...

Habari za Siasa

Halmashauri Dar zataka jiji lirejeshwe

  BAADHI ya viongozi wa halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam, wamedai hatua ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk....

Habari za Siasa

DED Katimba awafunda watendaji Msalala

WATENDAJI  wa Halmahauri ya Msalala, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwa waadilifu na kutenda haki kwa wananchi wote wanaowahudumia, ili kujenga imani...

Habari za Siasa

Babu Duni atema bungo ACT-Wazalendo

BAADA ya kuibuka tetesi za kwamba Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Babu Juma Duni Haji, anashinikizwa asitetee tena kiti...

Habari za Siasa

Lissu aeleza Mzee Mwinyi alichomfanyia aliposhambuliwa na wasiojulikana

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu amesema aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Hayati Mzee...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Hofu chanzo viongozi vyama upinzani kugoma kung’atuka

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo anayemaliza muda wake, Zitto Kabwe amesema hofu ndizo zinazowafanya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi aungana na Samia kuuaga mwili wa baba yake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi, viongozi mbalimbali wa Kitaifa akiongozwa na Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Mtoto wa Mzee Mwinyi amwaga machozi

Mtoto wa Hayati mzee Mwinyi, Abdullah Ali Hassan Mwinyi ameshindwa kujizuia na kumwaga machozi mbele ya waombolezaji wakati akitoa shukrani katika uwanja wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mzee mwinyi alikuwa mwanademokrasia wa kweli

Mtoto wa Hayati Ali Hassan Mwinyi, Abdullah Ali Hassan Mwinyi amesema baba yao alikuwa mwanademokrasia wa kweli lakini pia hakuwa akitishika na mawazo...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Mwinyi alikuwa maktaba inayotembea

Rais Samia Suluhu hassan amesema Hayati rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi alikuwa ni maktaba inayotembea na iliyosheheni vitabu vyenye mafunzo ya uadilifu, uzalendo,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

TEF yaomboleza kifo cha Mzee Mwinyi

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kupokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete: Mwinyi alinianzishia safari yangu ya kisiasa

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema atamkumbuka na kumshukuru Hayati Ali Hassan Mwinyi kwakuwa ndiye aliyemuanzishia safari yake ya kisiasa...

Habari za Siasa

Mzee Mwinyi alivunja baraza la mawaziri mara 2

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amesema atamkumbuka  Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa kuwa kiongozi msikivu na mwenye maamuzi magumu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mzee Warioba aeleza Mwinyi alivyoivusha nchi katika magumu

WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi, aliikuta nchi katika kipindi kigumu cha kiuchumi na kisiasa, lakini alifanikiwa...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ataka vijana kufuata nyayo za Mzee Mwinyi

MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, amesema Hayati Ali Hassan Mwinyi, alikuwa na karama ya uongozi na kwamba viongozi vijana wanapaswa kuiga mfano...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Mwinyi chanzo cha mageuzi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia, Freeman Mbowe amesema huwezi kuliacha jina la Ally Hassan Mwinyi unapotaja mageuzi nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

error: Content is protected !!