Friday , 29 March 2024
Home Kitengo Biashara NMB yashiriki Mei Mosi Dodoma
Biashara

NMB yashiriki Mei Mosi Dodoma

Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakipita mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan wakiwa na bango lao (Huduma bora kwa Wateja wetu ndiyo Utamaduni wetu) wakati wa kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani MEI MOSI iliofanyika Kitaifa jijini Dodoma. Benki ya NMB imeungana na wafanyakazi wote Duniani kuadhimisha siku ya wafanyakazi, ambayo kitaifa imefanyika- Dodoma.
Spread the love

BENKI ya NMB nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki sherehe za Mei Mosi kitaifa jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu

Sherehe hizo zimefanyika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma na kuhudhuriwa na wafanyakazi mbalimbali ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Wafanyakazi wa NMB wamepita mbele ya jukwaa waliokaa viongozi mbalimbali akiwemo Rais Samia wakiwa wamebeba banki lililokuwa na ujumbe uliosomeka ‘Huduma bora kwa Wateja wetu ndiyo Utamaduni wetu.’

 

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyabiashara, wawekezaji China waridhia kuwekeza bil. 800 katika sekta 5 nchini

Spread the loveUJUMBE wa wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa kutoka Jimbo la Changzhou...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Soko nepi za watoto lashuka, watu wazima lapaa

Spread the loveKiwanda cha kutengeneza nepi cha Japan kimetangaza kuwa kitaacha kutengeneza...

Biashara

Mchezo mpya mjini Super Heli Kasino, ushindi, zawadi ndiyo sehemu yake

Spread the love  KUNA watu wanakwambia hakuna njia rahisi ya mafanikio kwenye...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yafuturisha Unguja, Pemba, SMZ yaahidi ushirikiano

Spread the loveBENKI ya NMB imeendeleza utamaduni wa kufuturisha wateja wake walioko...

error: Content is protected !!