Saturday , 20 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Sauda awa mwanamke wa pili kuwa Naibu Gavana BoT
Habari Mchanganyiko

Sauda awa mwanamke wa pili kuwa Naibu Gavana BoT

Sauda Kassim Msemo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
Spread the love

 

RAIS wa Tanzania amemteua Sauda Kassim Msemo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kabla ya uteuzi huo uliofanywa jana Jumatano, tarehe 25 Mei 2022, alikuwa Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na Mipango.

Sauda anakuwa mwanamke wa pili kushika wadhifa ndani ya BoT tangu kuanzishwa kwake, akitanguliwa na Dk. Natu Mwamba aliyekuwa Naibu Gavana kati ya Juni 2011 hadi Juni 2017 enzi za utawala wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Sauda anachukua nafasi ya Dk. Bernad Kibesse aliyekuwa kwenye nafasi hiyo kuanzia Mei 2017 ambaye sasa ameteuliwa na Rais Samia kuwa Balozi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Gardner Habash wa Clouds Fm afariki dunia

Spread the loveALIYEKUWA mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wauguzi, madaktari 1000 kugawiwa mitungi ya Oryx Gas

Spread the loveKAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yachaguliwa Makamu wa Rais Tume ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani

Spread the love  TANZANIA kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)...

Habari Mchanganyiko

NEMC yaonya wanaojenga bila tathmini ya mazingira

Spread the loveBARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),...

error: Content is protected !!