RAIS wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, amesema anapanga kukutana na viongozi wa vyama vya siasa, ili kujadili namna ya kuiendesha...
By Regina MkondeApril 22, 2021SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL), linalojiendesha kwa hasara kwa miaka mitano sasa, litafumuliwa na kukabidhiwa kwa watu wenye weledi wa kusimamia....
By Hamisi MgutaApril 22, 2021RAIS WA Tanzania, Samia Suluhu Hassa, amesifu uongozi wa kutukuka wa mtangulizi wake, Hayati John Magufuli huku akimtaja Rais Mstaafu wa Zanzibar,...
By Kelvin MwaipunguApril 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi kufanya marekebisho kadhaa katika sera na sheria sambamba na kuondoa vikwazo katika kukuza uwekezaji. Anaripoti...
By Regina MkondeApril 22, 2021TAKRIBANI viongozi 150 hatarini kuchukuliwa hatua kali kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Viongozi hao wanadaiwa kushindwa kurejesha fomu...
By Mwandishi WetuApril 22, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, leo Alhamisi kuanzia saa 10:00 jioni, atalihutubia Bunge la nchi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Rais...
By Mwandishi WetuApril 22, 2021JAFARI Chege, Mbunge wa Rorya (CCM), mkoani Mara, amehoji serikali lini itakipandisha hadhi kituo cha afya Kinesi kinachohudumia vijiji 27 ili kiwe...
By Masalu ErastoApril 22, 2021BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limetengua kanuni kanuni ya 160 (1) ili kuruhusu wasio wabunge kuingia ukumbini. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 22, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kutovaa tai nyekundu, bungeni jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ni...
By Mwandishi WetuApril 22, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo na Dk. Azaveli Lwaitama, wamewaomba Watanzania wampe muda Rais Samia...
By Regina MkondeApril 21, 2021KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimeendesha mdahalo wa wazi kujadili ufufuaji wa mchakato wa katiba mpya. Anaripoti...
By Hamisi MgutaApril 21, 2021MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM), Christine Mnzava, ameihoji serikali juu ya kutokuwatumia vizuri wanafunzi wanaohitimu shahada ya sayansi ya menejimenti ya uhandisi...
By Masalu ErastoApril 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi sita wa taasisi mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi huo umetangazwa leo Jumatano,...
By Regina MkondeApril 21, 2021USHINDI wa mabao 2-0, ulitosha kuifanya Simba kuondoka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar....
By Kelvin MwaipunguApril 21, 2021UONGOZI wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), umemuomba Rais Samia Suluhu Hasani kuwafukuza wabunge waliopo bungeni bila...
By Masalu ErastoApril 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wafanyabiashara wa China kuandaa mazingira mazuri ya biashara nchini. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea)....
By Masalu ErastoApril 21, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-TAN),...
By Mwandishi WetuApril 21, 2021MICHUANO ya Europian Super League haitafanyika tena baada ya klabu sita kutoka nchini England kujitoa kushiriki kutokana na mashabiki na wadau wa...
By Kelvin MwaipunguApril 21, 2021SERIKALI imetenga Sh. 14 Bilioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa hospitali mpya 28, ikiwepo Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga...
By Masalu ErastoApril 21, 2021TABIA ya kusemwa vibaya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete; Spika wa Bunge, Job Ndugai; Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama kumemkera...
By Mwandishi WetuApril 21, 2021MTENDAJI Mkuu wa Manchester United, Ed Woodward ataachana na timu hiyo mwisho wa mwaka 2021, kufuatia kuhusishwa kwake na kuanzishwa kwa michuano...
By Kelvin MwaipunguApril 21, 2021JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amewaeleza wabunge wa bunge hilo kwamba, kesho Alhamis tarehe 22 Aprili 2021, kutakuwa na ugeni...
By Danson KaijageApril 21, 2021WATEJA wa Benki ya Biashara ya FBME, wameshindwa kulipwa fedha zao kwa haraka kutokana na kutokukamilika kwa taratibu za kisheria. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoApril 21, 2021SERIKALI imepanga kufanya usanifu na thathmini ya gharama za ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika Mji wa Ikungi. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoApril 21, 2021AKAUNTI za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), zilizofungwa Agosti 2020, zimefunguliwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeApril 21, 2021BAADA ya kupachika bao lake baada ya mwaka mmoja na siku 52 kupita, mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Ditram Nchimbi amesema kuwa...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021MABINGWA wa kihistoria Tanzania Bara, Yanga ya Dar es Salaam, imeendeleza vipigo kwenye ligi kuu nchini humo, kwa kuifunga 3-1, Gwambina FC...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021KLABU ya Soka ya Yanga leo imemtambulisha Mohamed Nasreddine Nabi aliyedumu kwenye kikosi cha Al Merreikh ya Sudan kwa siku 41, kuwa...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021BAADA ya kupita mwaka mmoja na siku 52, hatimaye mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Ditram Nchimbi amefanikiwa kupachika bao kwenye mchezo wa...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, imemkamata aliyekuwa Mhasibu wa Mamlaka ya Bandari Kigoma, Madaraka Robert Madaraka...
By Mwandishi WetuApril 20, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kuhakikisha wanakamilisha kazi iliyosalia ya ujenzi wa nyumba...
By Hamisi MgutaApril 20, 2021KLABU ya Simba leo imeingia mkataba wa kiasi cha Sh. bilioni mbili na kampuni ya Vunja Bei Group, ambapo watakuwa watengenezaji na...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limekemea tabia ya wasanii kuvunja sharia hasa kusambaza picha za utupu. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeApril 20, 2021SERIKALI ya Tanzania imetenga jumla ya Sh. 5.96 Bilioni, kwa ajili ya kuanza ujenzi wa barabara ya Kibena –Lupembe, mkoani Njombe. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 20, 2021IDRIS Deby (68), Rais wa Chad ameuawa siku moja baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuApril 20, 2021HALIMASHAURI ya Wilaya ya Biharamulo, Kagera ilipatiwa kiasi cha Sh. 500 Milioni katika mwaka wa fedha 2019\20 kwa ajili ya kuanza ujenzi...
By Masalu ErastoApril 20, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi hiyo, Job Ndugai. Anaripoti Matilda Peter, Dodoma …...
By Masalu ErastoApril 20, 2021MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Magesa Mafuru, amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi...
By Masalu ErastoApril 20, 2021JESHI la Polisi Tanzania, limeeleza kwamba lilimkamata mwigizaji Kajala na mwanaye Paulina kwa tuhuma za kusambaza picha za utupu za msanii wa...
By Mwandishi WetuApril 20, 2021GODBLESS Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni Canada amesema, anatamani kurejea nyumbani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuApril 20, 2021SERIKALI ya Tanzania inaendelea na ukarabati wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi, unaogharimu Sh. 605.2 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 20, 2021GODBLESS Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni Canada amesema, anatamani kurejea nyumbani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuApril 20, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali nane. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Suzana Chaula baada ya...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ameiomba Benki ya Dunia (WB), kuendelea kushirikiana katika kujenga uchumi utakaogusa makundi yote ya jamii ili...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, amesema wanaojadili kwamba Hayati John Magufuli alikuwa dikteta, wanachosha akili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya …...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021KEN Kandodo, Waziri wa Kazi wa Malawi na maofisa wengine wanne wa serikali ya nchi hiyo, wametimuliwa kazi kwa kukwapua fedha zilizotengwa...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021TIMU ya Tottenham Hotspur ya Uingereza, imemfukuza kocha wake mkuu, Jose Mourinho kutokana na mwenendo usioridhisha. Anaripoti Matrida Peter … (endelea). Mourinho...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la nchi hiyo, Alhamisi jioni ya tarehe 22 Aprili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Yusuf Tindi Mndolwa kuwa Balozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mdolwa, ameapishwa leo Jumatatu, tarehe...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021