Wednesday , 24 April 2024
Home Kitengo Biashara Benki ya Exim yaandaa futari kwa wateja wake Dar
Biashara

Benki ya Exim yaandaa futari kwa wateja wake Dar

Ofisa Mkuu Idara ya Fedha Benki ya Exim, Shani Kinswaga (mbele), akiwa ameongozana na wageni wengine kupata futari wakati hafla ya futari iliyoadaliwa na Benki ya Exim kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliyofanyika Hotel ya Serena jana tarehe 28 Aprili, 2022 ilihudhuriwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo wateja na wafanyakazi wa benki hiyo.
Spread the love
Ofisa Mkuu Idara ya Fedha Benki ya Exim, Shani Kinswaga akitoa neno la shukrani kwa niaba ya uongozi wa benki hiyo kwa wageni waliohudhulia hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliyofanyika Hotel ya Serena jana ilihudhuriwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo wateja na wafanyakazi wa benki hiyo.
Mkuu wa Idara ya Mtandao wa Wateja wa Benki ya Exim, Agnes Kaganda akizungumza na wageni waliohudhulia hafla ya futari iliyoandaliwa na benki kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliyofanyika Hotel ya Serena jana ilihudhuriwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo wateja na wafanyakazi wa benki hiyo.
Sehemu ya wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Exim waliohudhulia hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam wakipata chakula kwenye hafla hiyo.
Ofisa Mkuu Idara ya Fedha Benki ya Exim, Shani Kinswaga (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa benki hiyo pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo waliohudhuria hafla ya futari iliyoadaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake jijini Dar es Salaam.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaahidi kuendelea kuunga mkono Serikali za Mitaa

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya...

Biashara

Shindano la Expanse Meridianbet kasino kutoa mihela kwa washindi 

Spread the love  KILA siku Meridianbet imekuwa mstari wa mbele kutoa fursa...

Biashara

Bonasi za kasino kupitia shindano la Expanse na Meridianbet 

Spread the love  MERIDIANBET Kasino ya Mtandaoni ni moja ya chimbo rahisi...

Biashara

Toshiba yapata kibali cha kuzalisha vifaa umeme kukarabati kiwanda cha nishati ya jotoardhi Kenya

Spread the love  KAMPUNI ya Toshiba Energy Systems & Solutions Corporation (Toshiba...

error: Content is protected !!