Friday , 26 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Urusi yasitisha huduma ya gesi Poland, Bulgaria
Kimataifa

Urusi yasitisha huduma ya gesi Poland, Bulgaria

Rais wa Urusi, Vladimir Putin
Spread the love

 

KAMPUNI ya Gazprom, ambayo ni msambazaji mkuu wa gesi asilia nchini Urusi imesitisha usambazaji wa gesi kwa nchi za Bulgaria na Poland, baada ya nchi hizo kukataa kulipia nishati kwa ruble. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa msaada wa Mashirika ya Kimataifa … (endelea).

Taarifa iliyotolewa leo jumatano tarehe 27 Aprili 2022 na kampuni hiyo, imesema kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema nchi ambazo, zinazoonekana sio rafiki kwa Urusi lazima zianze kulipia usambazaji wa gesi kutoka nchini humo kwa rubles.

Hata hivyo nchi zingine za Ulaya zimekataa kulipia kwa rubles, lakini hivi sasa ni nchi mbili ambazo Urusi imetangaza inasitisha Poland na Bulgaria.

Gazprom imewaonya Poland na Bulgaria,ikiwa wataamua kutumia gesi inayosafirishwa kwenda nchi zingine basi italazimika kupunguza kiwango hicho ambacho wataamua kuzuia kinyume cha sheria.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tetemeko la ardhi laua 7, lajeruhi 800 Taiwan

Spread the loveWatu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800...

error: Content is protected !!