Sunday , 12 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Siku ya sheria yasogezwa mbele kwa saa 24
Habari Mchanganyiko

Siku ya sheria yasogezwa mbele kwa saa 24

Spread the love

 

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imesogeza mbele kwa siku moja (sawa na saa 24) sherehe za Siku ya Sheria kutoka tarehe 1 Februari hadi 2 Februari 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Taarifa iliyotolewa jana Jumamosi, tarehe 29 Januari 2022 na Tiganga Vincent, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano wa Mahakama ilieleza, sababu zisizozuilikwa.

Vicent alisema, sherehe hizo zitaanza saa 2:00 asubuhi katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma na mgeni rasmi atakuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

“Uongozi wa Mahakama unaomba radhi kwa usumbufu wowote kufuatia mabadiliko haya,” alisema Vicent

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Dk.Mpango aagiza trafki kuvaa makoti ya kamera kudhibiti rushwa

Spread the loveMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk....

BiasharaHabari Mchanganyiko

PPAA yajipanga kuwanoa wazabuni namna kuwasilisha rufaa kieletroniki

Spread the loveIli kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Vijana UVCCM Kagera wataka mwenyekiti wao ajiuzulu

Spread the loveVIJANA wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti...

error: Content is protected !!