Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Michezo Maliza Alhamisi yako kijanja na Ligi ya Konferensi
Michezo

Maliza Alhamisi yako kijanja na Ligi ya Konferensi

Spread the love

LIGI ya Konferensi inatarajiwa kupigwa leo hii kwa michezo kibao ambapo michezo hiyo itaanza saa 1:45. Hivyo kama unahitaji kujilusanyia maokoto leo ndio siku yako. Wewe ingia Meridianbet na uanze kusuka mkeka wako haraka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mechi ya kupiga mkwanja ni hii hapa ya AZ-Alkmaar ya Uholanzi dhidi ya Aston Villa ya Uingereza. Nafasi kubwa ya kuondoka na alama tatu amepewa mgeni akiwa na ODDS ya 2.06 kwa 3.38. Wote wana alama tatu. Je nani leo hii kuongoza kundi hilo?. Suka mkeka wako hapa.

Lille ya Ufaransa itakipiga dhidi ya SK Slovan Brastislava kwao huku vijana wa Paolo Fonseca wakipendelea kushinda mchezo huo kwa ODDS ya 1.34 kwa 7.84. Nani kuondoka na pointi tatu hizo leo?

Kule Uturuki mwenyeji Fenerbahce Instanbul dhidi ya PFC Ludogorets 1945 . Tofauti ya pointi kati yao ni 3 huku mwenyeji akiwa ndiye kinara wa kundi hilo hadi sasa. Je mgeni anaweza shinda mechi ya leo? Beti sasa.

Huku ukiendelea kubashiri mechi zako za Konferensi kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni pale Meridianbet kama vile Poker, Aviator, Roulette, Keno na mingine kibao kwa dau lako la shilingi 200 tuu. Muda ndio huu wa kukusanya maokoto.

KAA Gent atakuwa mwenyeji wa Breidablik Kopavogur majira ya saa 1:45 huku ushindi wa mwenyeji amepewa mwenyeji kwa ODDS ya 1.11 kwa 15.68. Mgeni hajashinda mchezo wowote hadi sasa. Bashiri sasa.

Wakati saa 4:00 Dinamo Zagreb atakiwasha dhidi ya FC Viktoria Plizen. Mara ya mwisho kukutana, mwenyeji alishinda lakini kwenye kundi mgeni ndiye anayeongoza kundi hadi sasa. Nani ni nani leo?. ODDS KUBWA zipo hapa.

AFC Fiorentina atakipiga dhidi ya FK Cukaricki Belgrade mwenye ODDS ya 29.4 huku mwenyeji wake akiwa na ODDS ya 1.10. Nani kuondoka na ushindi hii leo pale Meridianbet. Ingia na ucheze sasa.

HSK Zrinjski Mostar atakiwasha dhidi ya Legia Warszawa huku wote wakiwa wamefungana pointi wakiwa nazo 3. Leo kila timu inahitaji ushindi iongoze kundi. Nani kuondoka na ubabe huku mwenyeji akiwa na ODDS ya 2.84 kwa 2.30. Bashiri muda huu.

Eintracht Frankfurt akimenyana dhidi ya HJK Helsinki majira ya saa 4:00 huku Frankfurt akiwa na alama 3 na mgeni wake akiwa na pointi 1 pekee. Nafasi kubwa ya kushinda amepewa Mjerumani akiwa na ODDS ya 1.16 kwa 13.72. Suka mkeka wako hapa.

Mechi nyingine yenye ODDS KUBWA pale Meridianbet ni hii inayowakutanisha Bodoe/Glimt dhidi ya Besiktas Instanbul. Wote wana pointi moja moja kwenye msimamo. Mwenyeji ana ODDS ya 2.09 kwa 3.04. Beti sasa mechi hii.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Michezo

Wenzako wameshakuwa mamilionea hapa wewe unasubiri nini?

Spread the love  WIKIENDI imefika na ukiachana na mvua za Dar es...

Michezo

Manchester City vichwa chini Ligi Kuu England

Spread the love MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu yaManchester City...

Michezo

Piga mkwanja wa kutosha katika usiku wa kibabe kati ya Man United vs Chelsea

Spread the love USIKU wa leo katika dimba la Old Trafford utapigwa mchezowa...

error: Content is protected !!