Saturday , 4 May 2024
Home Kitengo Biashara Fanya yafuatayo unapocheza kasino ya Zombie Apocalypse
Biashara

Fanya yafuatayo unapocheza kasino ya Zombie Apocalypse

Spread the love

 

UNAICHEZA ndivyo utamu unavyozidi kuwa mwingi, mchezo mzuri na wenye mandhari ya sinema za Mazombie unakupa uhuru wa kujitafuta mara tu unapouanza kuucheza, furahia ushindi mwingi unapoingia kasino ya mtandaoni na kisha kuchagua mchezo wa Zombie Apocalypse. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Hatua za ushindi kasino ya mtandaoni

Zombie Apocalypse una mistari 20 ya malipo, ushindi wote hulipwa kutoka kushoto kwenda kulia, isipokuwa alama ya Bonasi. Kwenye mstari wa ushindi ni ushindi mkubwa pekee unaolipwa. Alama ya Wild hubadilisha alama zote isipokuwa ishara ya Bonasi. Dau la chini kuanzia Tsh 10 sawa na 1.00 PTS.

Jinsi ya kucheza Zombie Apocalypse kasino ya mtandaoni

Kutengeneza ushindi mwingi kupitia kasino ya mtandaoni, bonyeza kitufe cha kubashiri/Gamble na ujaribu kukisia kama kadi/karata inayofuata ni nyekundu au nyeusi ukipatia ushindi wako utaongezwa mara mbili Zaidi na kama utakosea basi ushindi wako utafutwa.

Sloti ya Zombie Apocalypse inakupa nafasi ya kupata mizunguko ya bure pale tu unapoanza kucheza, mizunguko hii inaipata kwenye namba hizi 9,10,11,12,13,14 au 15. Kila alama ya Wild inayoonekana kwenye mzunguko ina nyongeza mara 2 au 3.

Kasino ya mtandaoni ina Jakipoti za aina 3 tofauti za Jackpot ambayo mchezaji anaweza kutarajia ushindi. Mchezaji anapobofya spin, asilimia kadhaa ya hisa zake huingia kwenye sehemu ya jackpot. Jackpot inayoendelea inakua, inakuwa kubwa zaidi na zaidi, hadi mchezaji mmoja atashinda. Zawadi ya jackpot huhamishiwa moja kwa moja kwenda akaunti ya pesa ya mchezaji.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Cash Days Promo mamilioni yanakusubiri, cheza kupitia Meridianbet kasino 

Spread the love  JIANDAE kwa mshangao wa kustaajabisha Meridianbet kasino ya mtandaoni...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

Spread the loveBenki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1

Spread the loveWALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa...

error: Content is protected !!