Saturday , 27 April 2024
Home Kitengo Biashara Unataka ukusanye mpunga wa maana, suka mkeka wako na Meridianbet
Biashara

Unataka ukusanye mpunga wa maana, suka mkeka wako na Meridianbet

Spread the love


KAMA unataka kukusanya maokoto leo hii nenda pale Meridianbet suka jamvi lako vizuri kabisa kisha weka dau lako usubiri maokoto ya maana hapo baadae maana huku ushindi ni mwepesi sana ukituliza akili yako. ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na Turbo pia inapatikana hapa hapa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Tukianza kule Ujerumani ligi yenye kutoa magoli mengiBUNDESLIGA leo hii zitapigwa mechi mbili ambapo mechi ya mapema ni FC Cologne dhidi ya Borussia Monchengladbach huku mwenyeji akiwa ndiye kibonde wa ligi akiwa hajashinda mechi yoyote kati ya 7 alizocheza. Lakini walipokutana mara ya mwisho walitoshana nguvu. Machaguo mengi yapo mechi hii.

Mechi ya mwisho itakuwa ni saa 12:30 jioni ambayo ni kati yaFC Heidenheim dhidi ya Augsburg. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii amepewa  mwenyeji akiwa na ODDS ya 2.35 kwa 2.79. Nani kuibuka na ushindi leo hii?. Suka mkeka wako na jumuisha mechi hii.

Kiputa cha EPL kitarindima saa 12:30 ambapo Aston Villaatakiwasha dhidi ya West Ham na nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.91 kwa 3.72. Mara ya mwisho kukutana hakuna aliyeondoka na ushindi kati yao. Beti sasa mechi hii.

Huku ukiendelea kubashiri mechi zako kumbuka ule mchezo pendwa kabisa wa AVIATOR leo hii unatoa mvua za kutosha hivyo ingia sasa na unaze kupaa na kindege hicho ufike sehemu ya ndoto zako kwani huku pesa ni ya upesi na ya haraka sana. Meridianbet ndio sehemu ya kukupatia utajiri na si nyingine.

Ligi ya Ufaransa LIGUE 1 nayo itaendelea hii leo, FC Lorientatakipiga dhidi ya Stade Rennes huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji alishinda. Mgeni ana ODDS ya 1.94 na mwenyeji amepewa ODDS ya 3.67. Nani kuibuka kidedea leo?

Wakati Toulouse yeye atamenyana dhidi ya Stade Reims mwenye pointi 13 kwenye ligi hadi sasa. Kushinda mwenyeji amepewa ODDS ya 2.69 kwa 2.50. Mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana, walitoshana nguvu. Je leo hii nani anaweza kushinda?

Vijana wa Paulo Fonseca Lille watamkaribisha nyumbani kwao Stade Brest 29 kusaka pointi tatu . Mechi hii ina ODDS KUBWA pale Meridianbet ingia na ubashiri sasa. Timu zote zimetoka kutoa sare mechi zao zilizopita hivyo ushindi ni muhimu kwa kila timu. Je nani atashinda?

AS Monaco watakipiga dhidi ya FC Metz huku uhsindi wa mwenyeji utamfanya aongoze ligi akiwa na pointi zake 20. Mechi mbili za msimu uliopita walipokutana, Monaco alishinda zote. Je mgeni anaweza kuharibu sherehe ya mwenyeji wake?. Beti mechi hii na Meridianbet.

LALIGA itaendelea kubamba hii leo kwa michezo kibao ambapo mchezo wa mapema ni kati ya mwenyeji UD Las Palmas dhidi ya Rayo Vallecano huku nafasi ya kuondoka na ushindi mechi hii amepewa mwenyeji kwa ODDS ya 2.60 kwa 2.84. Tofauti ya pointi kati yao ni 2. Bashiri mechi hii na Meridianbet sasa.

Mechi nyingine ni kati ya Girona ambaye amekuwa na kiwnago kizuri msimu huu dhidi ya UD Almeria ambaye anashikilia nkia hadi sasa. 1.42 ndiyo ODDS ya mwenyeji kushinda na mgeni akipewa 6.46. Je nani kutoboa hii leo?

Huku ukiendelea kubashiri mechi zako kumbuka ule mchezo pendwa kabisa wa AVIATOR leo hii unatoa mvua za kutosha hivyo ingia sasa na unaze kupaa na kindege hicho ufike sehemu ya ndoto zako kwani huku pesa ni ya upesi na ya haraka sana. Meridianbet ndio sehemu ya kukupatia utajiri na si nyingine.

Ubabe mwingine utakuwa majira ya saa 1:30 usiku ambapo Villarreal atamualika Deportivo Alaves nyumbani kwake huku timu hizi zikiwa na mwanzo mbaya wa ligi kwani zipo nafasi za chini kwenye msimamo hadi sasa. Mechi zao 9 walizocheza wameshinda mechi mbili mbili kila mtu. Leo nani kushinda ya tatu?

Majira ya saa 4:00 usiku ni Barcelona dhidi ya Athletic Clubambao wanashika nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi. Msimu uliopita Xavi alibeba pointi zote sita kwenye mechi mbili walizokutana. 1.67 ndio ODDS ya ushindi ya mwenyeji na 4.90 ya mgeni. Beti yako unaiweka wapi hapa?

Pilika pilika zingine zitakuwa kule SERIE A ambapo Jumapili hii mapema kabisa katika dimba la Stadio Olimpico patawaka moto AS Roma atakipiga dhidi ya AC Monza. Mourinho akishinda leo atapanda hadi nafasi ya 6 kutoka ya 11. Je mgeni anaweza kumzuia?

Mechi kubwa ni kati ya AC Milan dhidi ya Juventus katika dimba la San Siro majira ya saa 4:00 usiku. Nafasi kubwa ya ksuhinda mechi hii amepewa Milan akiwa na ODDS ya 2.30 kwa 3.28. Mara ya mwisho kukutana Pioli alishinda. Je leo Allegri anaweza kulipa kisasi? Bashiri sasa mechi hii.

Atalanta ambayo imetoka kupoteza mchezo uliopita, atakuwa nyumbani hii leo kukiwasha dhidi ya Genoa. Mwenyeji yupo nafasi ya 6 na mgeni wake yupo nafasi ya 15. Je vijana wa Gian Gasperin watakubali kupoteza mechi mbili mfululizo. Suka jamvi lako mapema.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Sloti ya Mega Jade kasino njia 10 za malipo unaposhinda

Spread the love  TUNAKULETEA mchezo wa kasino wa kufurahisha sana ambapo unapewa...

Biashara

Orb of Destiny kutoka Meridianbet kasino ushindi kwa njia 14  

Spread the love  ORB of Destiny ni mchezo wa sloti kutoka kwa...

Biashara

Jiandalie Strawberry Cocktail yako nyumbani huku unacheza kasino 

Spread the love  UTAANDAA matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe...

Biashara

420 Blaze It chimbo jipya la kuchota mihela Meridianbet kasino 

Spread the love  JE, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10?...

error: Content is protected !!