Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaasa wachimbaji wadogo kuachana na vitendo vya utoroshaji madini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 21, 2023Mfanyabishara maarufu nchini, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza kwenye sekta ya uzalishaji umeme kwa...
By Gabriel MushiOctober 21, 2023Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kupokea orodha ya wagombea 24 wa urais ambao wamejisajili kuwania katika uchaguzi wa...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2023KAMA umewahi kucheza kasino ya mtandaoni Meridianbet naumejaribu kucheza michoz mingi na kuwa mshindi, basinakwambia bado hujamaliza yote kuna hii sloti ya Book...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023KAMA unataka kufurahia wikendi yako bashiri na Meridianbet siku hizi za mapumziko uweze kujipigia maokoto yatakayokufanya ufarahie sana kwani mabingwa hawa wa ubashiri...
By Masalu ErastoOctober 20, 2023Tanzania imechaguliwa kuziwakilisha nchi za Afrika katika Baraza Tendaji la Shirika la Utalii Duniani (UNWTO), kwa kipindi cha miaka minne mfululizo kuanzia 2023...
By Regina MkondeOctober 20, 2023NYAMARI Ongegu anayejulikana zaidi kama Nyashinski ameahidi makubwa katika onyesho lake la kesho katika Tamasha kubwa la Serengeti Oktoba Festival litakalofanyika kesho...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023WIZARA ya afya nchini imetangaza nafasi za ajira 289 za watumishi wa kada za afya, baada ya kupata kibali cha Ofisi ya Rais,...
By Regina MkondeOctober 20, 2023TANGU vita baina ya taifa la Israel na wanamgambo wa Hamas kutoka Ukanda wa Gaza nchini Palestina viibuke tarehe 7 Okotoba 2023, kumeripotiwa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023Washiriki katika Kongamano la Mashariki mwa Afrika kuhusiana na haki za wanawake katika masuala ya jinai lililofanyika nchini Uganda, wameelezea wasiwasi wao kuhusu...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023MWANAHARAKATI huru, Bihimba Nasoro Mpaya, imesaidia ujenzi wa ukuta wa shule ya Sekondari ya Abbuy Jumaa, iliyoko Kivule jijini Dar es Salaam, kwa...
By Regina MkondeOctober 20, 2023CHANZO cha ajali ya moto ulioteketekeza Soko la Kariako eneo la Mnadani na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara zaidi ya 550, kimetajwa kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema umejipanga kuhakikisha chama hicho kinaendelea kupata ushindi katika chaguzi zijazo, huku wakiwataka wapinzani kujiandaa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa hali ya utoshelevu wa mafuta nchini kwa kipindi cha mwezi Julai...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023MARUBANI wote wanajua sehemu pekee ya kupata ndege ya bure ya kupaa nayo, meridianbet wanaendelea kutoa free bet kwenye kasino yao ya mtandaoni...
By Masalu ErastoOctober 19, 2023Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali ...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023WAKATI Tanzania ikiungana na dunia mwezi huu wa Oktoba kuadhimisha uhamasishaji wa afya ya akili, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Geita Gold Mining...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023WANAFUNZI kutoka mikoa mbalimbali nchini walioanza masomo ya kidato cha tano katika shule mpya ya wasichana Dk. Samia -SSH iliyopo kijiji cha Namole ...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023Kundi la pili lenye kaya 11 na wananchi 43 pamoja na mifugo 36 waliokuwa wamejiandikisha kuhama kwa hiari wameagwa leo tarehe 19 Oktoba...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023BABA Mtakatifu Fransisko amemtea Padre Jovitus Francis Mwijage wa Jimbo Katoliki la Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo la Bukoto kuanzia leo tarehe...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023Baraza la Ushindani (FCT) la Tanzania limefutilia mbali uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) uliotolewa tarehe 28 Februari mwaka huu wa kuiruhusu Scancem...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amewataka wananchi kupuuza taarifa iliyosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023SERIKALI ya Zanzibar, imetangaza mpango wake wa kufuta mitihani ya darasa la nne kwa shule za msingi na kidato cha pili kwa sekondari,...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023WAKALA wa Mbegu za Kilimo nchini (ASA), umesema uzalishaji mbegu imeongezeka kutoka tani 500 hadi kufikia 3,500. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea). Ongezeko hilo...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023Serikali ya Uingereza imetoa tahadhari kwa raia wake wajiepushe kuitembelea mbuga mashuhuri ya wanyama nchini Uganda ambako watalii wawili, akiwemo raia mmoja wa...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa nchi za Nordic wamekubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023KATIKA kuimarisha mahusiano mazuri baina ya vyombo vya habari na Jeshi la Polisi nchini, jeshi hilo limeshaanza elimu ya utayari kwa askari wake...
By Faki SosiOctober 18, 2023WAFANYABIASHARA wanne wanaoishi jijini Dar Es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na mashitaka sita likiwemo la kutakatisha fedha na...
By Masalu ErastoOctober 18, 2023MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule anatarajiwa kushirikiana na waumini kutoka madhehebu mbalimbali ya dini katika ibada maalum kusimikwa kwa viongozi wa...
By Danson KaijageOctober 18, 2023ZAIDI ya watu 500 wameripotiwa kuuawa usiku wa leo Jumanne kwenye shambulizi ambalo limetokea hospitalini Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAMPUNI kongwe ya michezo ya kubashiri Meridianbet imekuja na promosheni ya michezo ya kasino Mitandaoni ambayo itawawezesha wateja wake kushinda viwango tofauti...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023Katika kuhakikisha Klabu ya Michezo ya Madini ( Madini Sports Club) inashiriki michezo kwa mafanikio makubwa imebainisha mikakati ya kiufundi itakayo leta...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023BAADHI ya wahubiri na makasisi wamesema hatua ya serikali ya Kaunti ya Kisii nchini Kenya kuanza kutoza ushuru makanisa na wahubiri itarudisha nyuma...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023MUME anayedaiwa kumteka nyara mkewe na kumficha katika Kaunti ya Meru nchini Kenya, amefikishwa kortini. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea). Abdullahi Mohammed Gullei...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAMA ulidhani madadapoa hufurika mikoa ya Kanda ya Ziwa pekee pindi wakulima wanapovuna na kuuza pamba, umekosea kwani hali kama hiyo pia imetokea...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023USIJIULIZE utapata wapi pesa ya kuanzia siku ya kesho, maana chimbo ni moja tuu nalo ni Meridianbet ambapo huku kwa dau dogo tu...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore, amesema Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan,...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka wizara nchini zibane matumizi katika fedha za miradi ya maendeleo ili zilete matokeo yenye tija. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL), imezindua kampeni yake ya ‘Maokoto chini ya Kizibo’ ambayo itawafanya wapenzi wa bia kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya Tanzania...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewaomba viongozi wa dini wasimamie haki kwa kuwa inainua taifa.Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewasili nchini Algeria kushiriki Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023BENKI ya NMB imeanzisha mpango maalum wenye masuluhisho mahususi kwa ajili ya kuwahudumia wastaafu na wastaafu watarajiwa unaoitwa NMB Hekima Plan. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wachape kazi hususan katika sekta ya kilimo ili serikali ipate mapato ya kutosha akisema zama za...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inafanyia kazi changamoto ya upungufu wa walimu nchini, huku akiweka wazi mpango wake wa kutaka...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023WAKATI Shirika la NIC Insurence likitimiza miaka 60 tangu kuanzishwa kwake limekusudia kufanya mageuzi makubwa kwenye kilimo kwa kutoa bima kwa wakulima na...
By Faki SosiOctober 16, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania wadumishe amani na upendo kuelekea kipindi cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023Jeshi la Israel linadai kuwa hadi sasa limeshawaua viongozi sita wa juu wa kundi la Hamas tangu kuanza vita dhidi ya Ukanda wa...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023TIMU ya Singida Fountain Gate, maarufu kama Singida Big Stars, imemwalika Rais Samia Suluhu ahudhurie katika mechi zake kama anavyofanya kwa timu nyingine...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, mkoani Mara, Prof. Sospeter Muhongo (CCM) ameitaka Serikali imuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, kwa kukamilisha ndoto...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023