Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Michezo Hii hapa Jumanne ya kibabe na mechi za EURO
Michezo

Hii hapa Jumanne ya kibabe na mechi za EURO

Spread the love

USIJIULIZE utapata wapi pesa ya kuanzia siku ya kesho, maana chimbo ni moja tuu nalo ni Meridianbet ambapo huku kwa dau dogo tu unaweza ukabadilisha maisha yako kwa haraka sana. Na michuano hii ya EURO imekuja kukutajirisha kwani mambo yote wazi wazi tu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Pale Wembley patashika nguo kuchanika ambapo vijana wa Gareth Southgate watamenyana na Italia ya Spalletti. Mara ya mwisho kukutana, Muitalia alipoteza mchezo. Leo hii Uingereza imepewa nafasi kubwa ya kushinda akiwa na ODDS ya 1.77 kwa 5.09. Spalletti atalipa kisasi leo?

Wakati Serbia wao ambao wapo nafasi ya pili, watazichapa dhidi ya Montenegro ambao wapo nafasi ya tatu huku tofauti kati yao ni alama 2 pekee. 1.39  ndio ODDS ya ushindi ya mwenyeji na mgeni akiwa na ODDS ya 10.78. Ingia www.meridianbet,tz ubashiri sasa.

Mudryk na Ukraine yake watakuwa ugenini dhidi ya Maltahuku mwenyeji akiwa ndio kibonde mpaka sasa akiwa hana pointi hata moja. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, Ukraine alishinda. Je mwenyeji anaweza kulipa kisasi leo?. Mechi hii imepewa ODDS ya 1.19 kwa 12.74. Bashiri sasa.

Huku ukiendelea kucheza mechi hizi kumbuka sasa Meridianbet wamesikia ombi lako na wamekuletea Jackpot baab kubwa ambayo sasa ni Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau la shilingi 1000 pekee. Ingia na ubashiri mechi zako 13 uweze kupiga mkwanja huo. Na kwa wale wa USSD au kitochi menyu ni *149*10# bashiri na Meridianbet wakati wowote mahali popote.

Naye Finland atakuwa dimbani leo kucheza Kazakhstanhuku wote wakiwa wamecheza michezo 7 na wana pointi sawa 12, huku kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa. Mara ya mwisho kukutana Finland waliibuka na ushindi. Je leo hii ni zamu ya mgeni kuondoka na pointi 3? Beti mechi hii sasa.

Slovenia leo hii atakuwa mgeni dhidi ya Northern Ireland ambaye kapewa 3.14. Slovenia anaongoza kundi hilo akiwa na pointi zake 16 na mwenyeji akiwa na pointi 6 pekee. Je mwenyeji anaweza kufanya maajabu yoyote? Machaguo mengi yanapatikana hapa.

Mida hiyo hiyo San Marino atamleta nyumbani kwakeDenmark ambaye yupo nafasi ya pili akiwa na pointi 16 sawa na kinara wa kundi hilo tofauti yao ikiwa ni magoli ya kufunga na kufungwa. Mwenyeji hajashinda mchezo wowote mpaka sasa. Weka mkeka wako sasa.

Nao Hungary wakiwa kama vinara wa kundi G wakiwa na pointi 13, watakuwa wagenii kukiwasha dhidi ya Lithuaniaambaye amepewa ODDS ya 8.03 sare ikipewa 4.11 na ushindi wa mgeni ukiwa na 1.32. Mwenyeji yupo nafasi ya 4 akiwa na pointi zake 5. Suka jamvi lako na ubashiri mechi hii.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Michezo

Wenzako wameshakuwa mamilionea hapa wewe unasubiri nini?

Spread the love  WIKIENDI imefika na ukiachana na mvua za Dar es...

Michezo

Manchester City vichwa chini Ligi Kuu England

Spread the love MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu yaManchester City...

Michezo

Piga mkwanja wa kutosha katika usiku wa kibabe kati ya Man United vs Chelsea

Spread the love USIKU wa leo katika dimba la Old Trafford utapigwa mchezowa...

error: Content is protected !!