KAMA unataka kufurahia wikendi yako bashiri na Meridianbet siku hizi za mapumziko uweze kujipigia maokoto yatakayokufanya ufarahie sana kwani mabingwa hawa wa ubashiri Tanzania wanasema hivi kila ambacho unakitaka wewe tayari wamekuwekea kuanzia odds kubwa, machaguo ya maana na csh out pia ipo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Kimbia pale EPL ambapo wikendi hii kuna timu zenye hasira sana huku zingine zikijinadi kuwa zimeanza ligi, wakwanza akiwa ni Chelsea ambaye atakuwa Stamford Bridge dhidi ya Arsenal yani ni LONDON DERBY ambapo mara ya mwisho kukutana The Blues alipigika. The Gunners wapo kwenye fomu nzuri huku wakipewa nafasi nzuri ya kuondoka na ushindi wa ODDS ya 2.54 kwa 2.99. Je Pochettino na vijana wake wataambulia nini?
Wakati kwa Uingereza mechi nyingine ya mapema ambayo ni DERBY itakuwa ni kati ya Liverpool dhidi ya Everton huku ikiwa ni Merseyside Derby. Klopp na vijana wake wanahitaji ushindi kujiweka sawa kabla ligi hazijachanganya huku The Toffess wao wakitaka ushindi pia kuondoka nafasi waliyopo. Nani kuondoka mbabe pale Anfield? Suka jamvi hapa.
Baada ya Manchester United kupata ushindi mechi iliyopita kwa kupindua meza akiwa nyumbani safari hii atakuwa ugenini dhidi ya Sheffield United ambaye ni kibonde wa ligi akiwa hajashinda mechi yoyote. Ten Hag atapata matokeo au mwenyeji atakaza?
Naye bingwa mtetezi, Manchester City atakiwasha dhidi ya Brighton huku mara ya mwisho kukutana walitoka sare ya kufungana. City kapoteza mechi mbili mfululizo za ligi. Je mechi hii De Zerbi anaweza kumzuia bingwa mtetezi kuchukua pointi tatu? ODDS KUBWA zipo mechi hii nashiri sasa.
Vilevile JACKPOT baab kubwa ya Meridianbet inaendelea kama kawaida ambapo Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kutolewa ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13 kwa dau la shilingi 1000. Kwa wale wa kitochi na USSD menyu ni ile ile *149*10#. Ingia www.meridianbet.co.tz ubashiri sasa.
Kipute kingine kitakuwa kule SERIE A ambapo vijana wa Rudi Garcia ambao ndio mabingwa watetezi, Napoli watakuwa wageni wa Hellas Verona amepewa ODDS ya 5.29 kwa 1.64. Mara ya mwisho kukutana walitoka suluhu. Tofauti ya pointi kati yao ni 6. Suka jamvi lako na uweke mechi hii.
Majira ya saa 1:00 Torino atazichapa dhidi ya Inter Milan ya Simone Inzaghi anayeshikilia nafasi ya pili. Mwenyeji yupo nafasi ya 14 akivuna pointi 9 pekee kwenye mechi nane alizocheza. Walipokutana mara ya mwisho Milan alishinda zote.
Wakati majira ya 3:45 Sassuolo atamleta nyumbani Lazio huku wote wakiwa pointi 10 kwenye ligi. Mechi hii ni ya ushindani sana kwani timu yoyote inaweza kuondoka na alama 3. Sarri na vijana wake wataweza kuchomoka ugenini?
Ubabe mwingine unatarajiwa kupigwa kule Hispania yaniLALIGA utakuwa pale Sanchez Pazjuan ambapo kinara wa ligi Real Madrid atakuwa mgeni wa Sevilla. Real ana ODDS ya 1.86 kushinda mchezo huu kwa 3.92. Wakati mwenyeji wake akiwa nafasi ya 14, je Ancellotti na vijana wake watafanya nini?
CA Osasuna ambaye yupo nafasi ya 12 atamualika Granadaanayeshikilia nafasi ya 19. Mwenyeji kushinda ana ODDS ya 1.72 kwa 4.60. Mgeni anahitaji pointi tatu kujiondoa kwenye nafasi aliyopo. Je ataweza?
Vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid watakuwa ugenini dhidi ya RC Celta Vigo ambaye yupo nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana msimu uliopita Atletico alichukua pointi sita zote. Je mwenyeji atalipa kisasi? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.
Ile ligi ya Ujerumani BUNDESLIGA pia itapigwa wikendi hii ambapo leo Borussia Dortmund atakiwasha dhidi ya Werder Bremen huku BVB wakilenga ushindi leo waongoze ligi. Vijana wa Terzic wakipewa ODDS ya 1.30 kwa 7.84.
Union Berlin mwenye ODDS ya 2.50 atakipiga dhidi ya VFB Stuttgart ambaye amepewa ODDS ya 2.69. Mara ya mwihso kukutana Berlin alishinda huku tofauti ya pointi kati yao ni 12. Suka mkeka wako haraka na ubeti
Baada ya RB Leipzig kulazImishwa sare mchezo uliopita, atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya SV Darmstadt 98mwenye ODDS 6.07. Je RB atafanya nini safari hii huku akipewa nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet kwa ODDS ya 1.44.
Nao mabingwa watetezi Bayern Munich ya Thomas Tuchel watakuwa wageni wa FSV Mainz. Mechi iliyopita mwenyeji aliondoka na pointi 3 huku Mabingwa hao wa Ujerumani wakitaka kulipa kisasi kwa ODDS ya 1.25. Je mwenyeji atazuia?
Kule Ufaransa LIGUE 1 itarindima kwa michezo kibao wakianza leo majira ya saa 4:00 usiku ambapo Le Havreatamualika RC Lens ambaye ana mwenendo mbaya msimu huu akiwa nafasi ya 14 hadi sasa. ODDS KUBWA zipo hapa ingia na ubashiri.
OGC Nice atamleta Marseille nyumbani kusaka pointi ttau muhimu wakati mwenyeji akipewa ODDS ya 2.40 na mgeni akipewa ODDS ya 2.94. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili mwenyeji alishinda. Je mgeni anaweza kupindua meza? Mechi hii ODDS KUBWA beti sasa.
Mabingwa watetezi PSG ya Luis Enrique wao watakuwa Parc Des Princes kusaka pointi tatu waongoze ligi dhidi ya Strasbourg Alsace mwenye ODDS ya 10.78. Je mgeni anaweza Paris mwenye Mbappe, Hakimi, Ndembele na wengine?
Leave a comment