Sunday , 28 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Mhagama: Hakuna Tsunami
Habari MchanganyikoTangulizi

Mhagama: Hakuna Tsunami

Spread the love

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amewataka wananchi kupuuza taarifa iliyosambaa  katika mitandao mbalimbali ya kijamii kudai kuwa kutatokea Tsunami. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Kauli hiyo ya Mhagama imekuja saa chache baada ya taarifa hiyo iliyokuwa na kichwa cha habari ‘Tahadhari ya Tsunami inayoweza kusababishwa na mlipuko wa Volcano’ kuwa itaathiri maeneo ya mwambo wa Pwani.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, Jenista Mhagama

Akizungumza na Kituo cha Runinga cha Azam leo Jumatano usiku, Mhagama amesema watalaam wa masuala ya hali ya hewa wanaaendelea na mikakati mbalimbali ya kukabiliana na mvua za elnino.

Amesema taarifa hiyo kuhusu Tsunami sio taarifa rasmi na Ofisi ya Waziri mkuu imewasiliana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na kudhibitisha hakuna Tsunami.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Biteko aipongeza GGML kudhibiti vifo, majeruhi mahali pa kazi

Spread the loveNAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari Mchanganyiko

Wami Ruvu hawana deni la Rais Samia katika kutunza vyanzo vya maji

Spread the love  BODI ya Maji Bonde la Wami Ruvu, imeendelea kuchua...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai...

Habari Mchanganyiko

Dk. Jafo aipongeza Oryx kumuunga mkono Samia

Spread the loveWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na...

error: Content is protected !!