Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Michezo Usikubali Ligi ya Europa ikupite bila faida, piga mkwanja na Meridianbet
Michezo

Usikubali Ligi ya Europa ikupite bila faida, piga mkwanja na Meridianbet

Spread the love

BAADA ya kutazama michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya siku ya Jumanne na Jumatano sasa ni zamu ya usiku wa Ligi ya Uefa Europa ambapo mteja wa Meridianbet unanafasi ya kujipigia mkwanja wa kutosha kupitia michezombalimbali itakayoeenda kupigwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Itapigwa michezo mbalimbali mikali ya ligi ya Europa league Alhamisi hii ambapo tutashuhudia timu kama Liverpool, Westham United, Olympique Marseille,Atalanta na As Roma zikishuka dimbani kutafuta matokeo katika michezo yao.

Michezo mingi itapigwa siku ya Alhamisi ambapo kampunibingwa ya michezo ya kubashiri imetoa ODDS KUBWA katikamichezo hiyo ambayo wewe mteja utaweza kupiga mkwanja wakutosha ukiweka dau lako.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Liverpool baada ya kushinda michezo yake miwili yaawali awamu hii watakua nyumbani katika dimba lao la Anfieldkumenyana na klabu ya Toulouse ya nchini Ufaransakuhakikisha wanapata alama tatu muhimu ili waendelee kilelenikwenye kundi E.

Mabingwa wa kombe la Uefa Conference league msimuuliomalizika klabu ya Westham United wagonga nyundo kutokajiji la London watakua ugenini nchini Ugiriki  kumenyana naklabu ya Panathaikos katika kuhakikisha wanaendelea kukaakileleni kwenye kundi lao.

Bila kuwasahau wanafainali wa michuano hii msimuuliomalizika klabu ya As Roma chini ya kocha Jose Mourinhowatakua nyumbani katika dimba lao la nyumbani la Estadio de Olympico wakiwakaribisha klabu ya Slavia Prague katikamchezo huo mkali wa michuano ya Uefa Europa League.

Vinara wa ligi kuu ya Ujerumani klabu ya Bayern Leverkusennao watashuka dimbani kumenyana na klabu ya Qarabag FK katika mchezo mkali wa michuano hii ambao umepewa ODDS KUBWA kwa timu zote kubwa pale Meridianbet unawekamkeka wako sasa uchukue maokoto yako na michuano ya Europa League.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Michezo

Wenzako wameshakuwa mamilionea hapa wewe unasubiri nini?

Spread the love  WIKIENDI imefika na ukiachana na mvua za Dar es...

Michezo

Manchester City vichwa chini Ligi Kuu England

Spread the love MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu yaManchester City...

Michezo

Piga mkwanja wa kutosha katika usiku wa kibabe kati ya Man United vs Chelsea

Spread the love USIKU wa leo katika dimba la Old Trafford utapigwa mchezowa...

error: Content is protected !!