Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Real Madrid, Napoli, Arsenal, Man United, Bayern wanataka kukupa pesa
BiasharaMichezo

Real Madrid, Napoli, Arsenal, Man United, Bayern wanataka kukupa pesa

Spread the love

 

BETI na Meridianbet mechi zako za ushindi hii leo zikiwa tayari zimewekwa kwa kuzingatia ubora wa timu, ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na Turbo pia ipo hapa hapa. Sasa unataka kwenda wapi kama sipo hapa hapa? Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kivumbi kingine kitakuwa kule Ureno katika dimba la Municipal de Braga ambapo FC Braga watakuwa wenyeji wa Real Madrid ambaye ndiye kinara wa kundi hadi sasa. Nafais ya kushinda mechi hii pale Meridianbet amepewa Ancellotti na vijana wake akiwa na ODDS ya 1.47 kwa 5.88. Suka mkeka wako hapa.

Mechi nyingine ya saa 1:45 itakuwa ni kati ya Inter Milan dhidi ya FC Salzburg  huku tofuati ya pointi kati yao ikiwa ni moja pekee. Vijana wa Inzaghi wapo nafasi ya pili na mgeni wao akiwa nafasi ya 3. ODDS KUBWA zipo mechi hii beti sasa.

Union Berlin baada ya kupoteza mchezo uliopita, atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Napoli ambaye amepewa ODDS ya 1.90 kwa 3.87. Berlin haijashinda mechi yoyte hadi sasa ikiwa kibonde kwenye kundi, huku Naples wao wakishinda mchezo mmoja kati ya miwili. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Pia kumbuka kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Aviator, Keno, Roullette, Poker na mingine kibao ndani ya Meridianbet uweze kupiga mkwanja wa maana. Kazia kwenye Kindege kwani ndio habari ya mjini kwa dau lako la shilingi 200 tuu na kuendelea unaweza kuwa Milionea.

Nao Arsenal watakuwa ugenini dhidi ya Sevilla ambao nao bado wanajitafuta wakiwa na sare mbili kwenye michezo yao miwili waliyocheza. Arteta na vijana wake wanahitaji ushindi ili kuongoza kundi B. Je wanaweza kuambulia nini leo hii mbele ya vijana wa Diego Alonso?. Mechi hii ina ODDS ya 1.81 dhidi ya 4.21.

Galatasaray atamkaribisha nyumbani kwake Bayern Munich huku nafasi kubwa ya kushinda akiwa amepewa Thomas Tuchel na vijana wake wakiwa na ODDS ya 1.42 kwa 6.07. Mgeni ameshinda mechi mbili za mwanzo na mwenyeji wake ameshinda moja na sare moja. Nani kuondoka kifua mbele leo?

Kesho nayo Ligi ya Mabingwa barani Ulaya itapigwa kwa mechi kadhaa zenye hela pale Meridianbet. Ingia na uanze kutengeneza jamvi lako haraka sana

Newcastle United baada ya kutoa dozi nzito mchezo wake uliopita atakuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund ambaye hajashinda mechi yoyote kwenye kundi F hadi sasa.  1.66 ndiyo ODDS ya Eddie Howe na vijana wake kushinda huku BVB wakipewa ODDS ya 4.90. Unadhani nani atachomoka na ushindi leo?

Wakati kwa upande mwingine, PSG baada ya kuchezea kichapo cha maana mchezo uliopita, atakuwa pale Parc des Princes kumenyana dhidi ya AC Milan ambaye mechi zote mbili za kwanza ametoa sare tuu. Ushindi wa Paris pale Meridianbet ni 1.76 kwa 4.41. Suka mkeka wako hapa.

Mechi nyingine yenye maokoto ya maana Meridianbet ni kati ya Royal Antwerp dhidi ya FC Porto na ODDS zao hazitofautiana sana kwani mgeni ana 2.06 kwa 3.52. Mwenyeji hajashinda mechi yoyote akiwa mkiani. Je leo anaweza kufurukuta? Beti sasa mechi hii.

Bingwa mtetezi Manchester City atakuwa ugenini dhidi ya Young Boys ambaye amepewa ODDS ya 13.72 kwa 1.18. Pep Guardiola na vijana wake wameshinda mechi zote mbili na wakiwa ndio vinara wa kundi. Mwenyeji anasaka pointi tatu za kwanza. Je anaweza kufanikiwa mbele ya bingwa huyu mtetezi?

Barcelona akiwa kinara wa kundi H atamkaribisha FC Shakhtar Donetsk  ambaye kapewa ODDS ya 12.74 kwa 1.19. Je Miroshi na timu yake wanaweza kufurukuta mbele ya vijana wa Xavi Hernandez? Suka jamvi alko sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

error: Content is protected !!