Tuesday , 21 May 2024
Home Kitengo Biashara Unataka kujishindie mkwanja na Meridianbet, cheza Blackjack Live
Biashara

Unataka kujishindie mkwanja na Meridianbet, cheza Blackjack Live

Spread the love

 

MOJA kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti ya BlackJack Live, mchezo huu unapatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ambapo huu unakuwa na karata 8 tu, ili ushinde unapaswa utoe karata zisizozidi namba 21, lakini pia zikiwa chini ya hapo unaweza kushinda endapo karata za mchezeshaji zitazidi namba 21. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia sloti ya Blackjack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara 100 papo hapo ya dau uliloliweka.

Jinsi ya Kucheza Blackjack Live

Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji (dealer) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya Blackjack Live na Blackjack nyingine ni kwamba, hii ina bunda lenye karata 8 na sio 52. Vilevile, mchezo huu unachezwa mubashara kabisa kutoka kwenye studio za Riga.

Kuwa makini na mchezeshaji wa Blackjack kwani, ushindi upo hapo! Pamoja na hayo, ubashiri wa karata unalipwa kwa viwango. Sloti ya Blackjack Live inachezwa kwenye meza zaidi ya moja na kila meza inaweza kuwahudumia wachezaji 7. Chaguo la Bet Behind litakupa fursa ya wewe kuweka dau hata kama umechelewa kuanza na mchezeshaji atakuelekeza nini unachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huo.

Una sekunde 15 tu za kuweka ubashiri na mchezeshaji ataanza kuchezesha karata. Mchezeshaji atasimama kwenye 17 na Blackjack italipa 3 na zikiwa kwenye uwiano wa mara 6:1, 12:1 au 25.

Kujua kama umeshinda ni kwamba namba au herufi za karata zako zikijumlishwa hazitakiwa kuzidi 21 na zikiwa chini ya hapo unaweza kushinda endapo mchezaji karata zake zitazidi 21.

Shinda kistaa kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na mchezo wa Blackjack Live.

NB: Jisajili Meridianbet upate mizunguko bure ya kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, jisajili sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Shinda mkwanja Meridianbet Kasino, ukicheza Expanse Tournament.

Spread the love  LION Kingdom ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni yenye...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yapata idhini kuwa wakala wa madalali wa DSE

Spread the loveBenki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Waziri aipongeza NBS kwa mafanikio

Spread the loveNaibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande amepongeza Ofisi ya Taifa...

Biashara

Shinda mgao wa Expanse Tournament ukicheza kasino mtandaoni

Spread the love  Expanse Tournament kasino moja ya promosheni ya Meridianbet inayoendelea...

error: Content is protected !!