Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Meridianbet yavujisha siri ya ushindi, watoa njia rahisi za kushinda kasino
Biashara

Meridianbet yavujisha siri ya ushindi, watoa njia rahisi za kushinda kasino

Spread the love

 

KASINO ya mtandaoni ya Meridianbet kila siku inakuletea sloti na michezo mingi ya kasino inayokupa nafasi ya kushinda kirahisi huku unaburudika. Sloti kama Circus Fever Deluxe kutoka watengenezaji wa Expanse Studio inatoa hela kwa dau dogo na ushindi unaupata kulingana na ukubwa wad au lako. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Sloti ya Circus Fever Deluxe ina mtindo kama wa mazingaombwe lakini kuna tofauti kidogo, huku kuna wacheza sarakasi na Wanyama ambapo wanashindana sehemu moja mchezo huu unapatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Sloti hii ya kasino ya mtandaoni ina mchezo wa Plinko ambapo mchezaji atabashiri namba 5 kati ya (1,2,4,6 na 9) ikisindikizwa na michezo miwili ya bonasi ya kasino ya mtandaoni.

Zingatia: Jisajili na Meridianbet upate mizunguko ya bure kucheza moja ya mchezo wa kasino ya mtandaoni uupendao, jisajili sasa.

Jinsi ya Kuchezo mchezo wa Plinko

Hapa kuna hatua kuu za kucheza Plinko kasino:

  1. Weka dau lako: Kabla ya mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kuanza, unahitaji kuweka dau lako. Kiasi cha dau lako kitategemea malipo ya uwezekano ikiwa utashinda.
  2. Achia kete: Mara baada ya dau lako kuwekwa, mchezo utaanza. Unahitaji kuachia kete kwenye ubao wa vibonye na safu kadhaa za vibonye. Kete itapiga vibonye wakati inaanguka, na hatimaye kutua kwenye mojawapo ya mashimo kadhaa chini ya ubao.
  3. Pokea ushindi wako: Mashimo ambayo kete inaweza kutua yataamua ushindi wako. Kila shimo linahusishwa na malipo tofauti, hivyo uwezekano wa malipo utategemea mahali ambapo kete inatua.
  4. Endelea kucheza: Unaweza kuendelea kucheza Plinko kwa kuweka dau jingine na kuachia chombo kingine.

NB: Ni muhimu kuzingatia kwamba mchezo wa Plinko unategemea bahati, kwa hivyo hakuna mkakati wa kuongeza nafasi zako za kushinda. Vilevile kwenye sloti hii ya Circus Fever Deluxe ukicheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unapata bonasi za aina tofauti kama vile: Dice Bonasi na Coin Flip/Geuza Sarafu, kila moja ina namba zake za ushindi.

Bonasi ya Mizunguko: Ushindi unapatikana kwenye namba hizi: 2,3,5,710,12,15,22,2530,50

Coins Flip/ Geuza Sarafu: 2,3,4,5,8,10,12,15,16,20,24,30

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Zara tours yajivunia kupandisha wageni 228 Mlima Kilimanjaro

Spread the loveKampuni ya utalii ya Zara tours ya mjini Moshi mkoani...

error: Content is protected !!