SIKILIZA ni hivi inawezekana wiki yako haijaenda poa usihofusehemu pekee iliyobaki kukupa tumaini ni Mancheter derbymtanange utakaopigwa pale katika dimba la Old Trafford, Huku wataalamu wa michezo ya kubashiri Meridianbetwakiwa wametoa ODDS KUBWA katika mchezo huukabambe kabisa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Manchester United wanakwenda kumenyana na Manchester City wakiwa wanataka kurudi kwenye ubora wao, Huku piaMan City nao watashuka dimbani katika mchezo huu wakitakakuhakikisha wanapata matokeo ili kukimbizana na vinara wa ligihiyo klabu ya Tottenham Hotspurs.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Derby ya Manchester itakua ya kisasi jumapili hii kwaniManchester United wataingia na kumbukumbu ya kufungwakatika mchezo wa mwisho wa kombe la FA dhidi ya mahasimuwao hao, Lakini pia Manchester City watakua na kumbukumbuya kupoteza mchezo wa mwisho katika dimba la Old Trafford msimu uliomalizika hivo ni wazi mchezo huu utakua mkali nawa kuvutia sana.
Mbali na Manchester Derby lakini Jumapili itakua imepambwana michezo mingine mikali kutoka katika ligi mbali mbali baraniulaya kuanzia pale Uingereza, Hispania, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na hata Uholanzi.
Jumapili kutakua na mchezo wa kibabe sana pale kwenye ligikuu ya Uingereza ambapo klabu ya Aston Villa watakuadimbani kumenyana na Luton Town ikisubiriwa kama vijana waUnai Emery wataendeleza dozi, Lakini wagonga nyundo waLondon nao klabu ya Westham United watakua nyumbanikumenyana na klabu ya Everton, Mchezo mwingine ambaounaweza kukupa maokoto ni mchezo kati ya Liverpool dhidi yaNottingham Forest.
Pale Italia Jumapili itakua ya kikubwa na ya kibabe kabisaambapo klabu ya As Roma itakua nyumbani katika uwanja waowa Estadio de Oylimpico kuwakaribisha klabu ya Inter Milan kila mmoja akihakikisha anapata matokeo mazuri ili kujiwekakatika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi kuu ya Italia, Mchezo mwingine wa kukata na shoka pale Serie A utakua katiya klabu ya Napoli ambao watakua nyumbani kuikaribisha Ac Milan ambayo imetoka kupoteza mchezo uliopita hivo mchezohuu utakua sehemu ya kutaka kurejea kwenye njia ya ushindi.
Balaa lingine litakua pale Uholanzi ambapo itapigwa bonge la mechi ambayo mchezo wa mahasimu wakubwa nchini humoklabu ya PSV Eindhoven wakicheza na Ajax Amsterdam ambayo kwasasa imeonekana kushuka ubora kwa kiasi kikubwa, Lakini kwakua mchezo huu ni wa mahasimu unatarajiwa kuawenye ushindani mkubwa.
Leave a comment