Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Ukitaka shangwe la ushindi cheza sloti ya FOXPOT itakupa utakacho
Biashara

Ukitaka shangwe la ushindi cheza sloti ya FOXPOT itakupa utakacho

Spread the love

 

HAKUNA aliyezaliwa bila bahati hata wewe una una bahati kubwa leo ya kushinda mkwanja mrefu Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, ni sloti ya Foxpot inakuja na ofay a kushinda mara 1000 ya dau lako unapocheza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Fahamu Kuhusu Sloti ya Foxpot

Unaweza ukawaza ni wapi hela zinakotoka kwa jinsi ambavyo zinatiririka, usiwaze hiyo ni sloti ya kijanja ya Foxpot inakuja na mnyama Mbweha kama zawadi wa Wild lakini pia kasino hii ya mtandaoni inakuja na Magurudumu 12 ya ushindi na kushinda ni rahisi sana.

Unasubiri nini? ingia mchezoni kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet sasa na ufurahie ushindi kwa kupitia hapa.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Foxpot

Ni rahisi sana! Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na kuchagua mchezo huu wa Foxpot ujishindie mamilioni!

Sloti hii ya Foxpot ina alama na machaguo mbalimbali. Ili ushinde, unatakiwa upate alama tatu zenye kufanana kwenye sloti hii yenye kolamu 5 na mstari mmoja wa malipo.

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina machaguo mbalimbali ambayo yanakupa fursa ya wewe mchezaji kuucheza mchezo huu kiurahisi. Kwa kubofya alama ya + na – ambazo zipo kwenye kitufe cha Bet, itakupa nafasi ya kuweka dau lako unalolitaka.

Kuna chaguo la Autoplay ambalo litakuwezesha wewe (mchezaji) kuzungusha mizunguko kiatomatiki. Alama za sloti hii ni ya matunda ambayo ni Cherry ambalo lina thamani ndogo, Zambarau ambalo litakurudishia mara 1.5 ya dau lako huku likufuatiwa na Ndimu ambalo litakulipa mara 2.5 ya dau uliloliwaka.

Endapo utapa alama 1, 2 au 3 za Lucky 7 basi utalipwa mara tatu ya dau uliloliweka huku alama moja ya Lucky 7 ikiwa ina uwezo wa kukulipa mara 10 ya dau lako, na alama 2 mbili za Lucky 7 zikitakurudishia mara 15 wakati alama 3, zitakurudishia mara 25 ya dau lako. Sio hivyo tu, kama ukipata alama ya Wild utarudishiwa mara 40 ya dau lako. Kumbuka, alama ya Wild inauwezo wa kubadilisha alama zozote kwenye mchezo huu na kukupatia ushindi isipokuwa alama ya bonasi. Unasubiri nini? Jiunge leo na Meridianbet na upate bonasi babkubwa, Odds za kubwa na Jackpoti kedekede kwa kutembelea tovuti yetu sasa!

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Zara tours yajivunia kupandisha wageni 228 Mlima Kilimanjaro

Spread the loveKampuni ya utalii ya Zara tours ya mjini Moshi mkoani...

error: Content is protected !!