Saturday , 2 December 2023
Home Kitengo Michezo Meridianbet yarudisha faida kwa jamii yake tena, watoa vifaa vya michezo
Michezo

Meridianbet yarudisha faida kwa jamii yake tena, watoa vifaa vya michezo

Spread the love

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamerudisha kwa jamii yaoinayowazunguka tena, Kwani kampuni hiyo imeenda kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya mpira wa miguu ya Magic Power inayopatikana Kijitonyama mtaa wa Ali Maua B. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Timu ya Magic Power imenufaika na Meridianbet kutokanakupatiwa vifaa vya michezo ambavyo vitaweza kuwasaidiakuanzia kwenye mazoezi ya timu yao, Lakini pia wakati wamichezo yao ambayo watakua wanacheza kupitia jeziwalizopewa.

Mara nyingi Meridianbet wamekua wakirudisha kwenye jamiiyake mara kwa mara na zamu hii wamegusa kwenye upande wampira wa miguu, Wakionesha juhudi za moja kwa moja kutakakuinua mchezo huo wa soka kwa kupitia kuishika mkono timuya Magic Power ya Kijitonyama Ali Maua B jijini Dar-es-salaam.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullete, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa naMeridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutokaMeridianbet Nancy Igram ambae ndio mratibu wa zoezi zima la ugawaji wa vifaa vya michezo kwa timu ya Magic Power alisema “Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu zadhati kwa uongozi wa timu ya Magic Power, Lakini pianipende kusema nafurahi kuwepo hapa na kutoa vifaa hivivya michezo kwakua najua vitakua chachu ya kuibua vipajiambavyo vitakua msaada kwa taifa siku zijazo Asantenisana

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombila wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwadau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindiatajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#

Tofauti na mkuu wa kitengo na mawasiliano kutokaMeridianbet kuzungumza lakini Kiongozi wa timu yaMagic Power alipata nafasi ya kuzungumza na kutoashukrani zake Kiukweli napenda kuwashukuru sanasana kampuni ya Meridianbet kwa kuja hapo nakutusaidia vifaa vya michezo kwa timu yetu, Kwanihii itasaidia kuleta motisha kwa vijana wetu kuchezampira na mwisho nitoe wito kwa makampuni menginewajitahidi kukumbuka jamii zao kama wafanyavyoMeridianbet

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maanakaulimbiu yao inasema kuwa, Meridianbet, Msimu MpyaMzigo wa Kutosha. Kama bado hujajisajili na Meridianbetmuda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kuchezamichezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Fernandes hakamatiki Man Utd, mahesabu ni kuifunga Bayern

Spread the love  NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango...

Michezo

Meridianbet na Ligi ya Europa inakupa pesa za kumwaga mapema sana

Spread the love  KOMBE la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe...

Michezo

Kwapua mpunga na mechi za UEFA leo na kesho

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo na kesho...

AfyaMichezo

GGML yatoa milioni 17 kung’arisha ATF Marathon

Spread the loveKATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi...

error: Content is protected !!