Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Hizi hapa njia ya kushinda sloti ya Crayz Time ya kasino ya mtandaoni
Biashara

Hizi hapa njia ya kushinda sloti ya Crayz Time ya kasino ya mtandaoni

Spread the love

 

HAYAWI hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni – Evolution Gaming, wanakuletea mchezo wa kijanja uitwao Crazy Time. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto (Dream Catcher). Usisubiri kusimuliwa kwasababu, mchezo huu wa kasino ya mtandaoni utakupa furaha maradufu katika kila mzunguko.

Sloti ya Crazy Time una bonasi 4 za kukata na shoka. Unaweza kurudishiwa dau lako hadi mara 25000 bila kusahau chaguo la RNG yaani (Random Number Generation) pamoja na Gurudumu la Bahati (Wheel of fortune) litakalokupa fursa ya kushinda zawadi nyingine nyingi zaidi. Chizika leo na Meridianbet na ushinde kwa kupitia HAPA.

Jinsi ya kucheza Crazy Time

Ni rahisi sana kucheza sloti ya Crazy Time ndani ya Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Mchezo huu huchezwa kwenye Gurudumu la bahati ambalo lina sehemu 54, kila sehemu inakuwa na ongezeko la dau kwa namna tofauti tofauti.

Unachotakiwa kukifanya kwenye sloti hii ya kusisimua wa Crazy Time, ni kubashiri wapi gurudumu hili litasimama, kisha, weka dau lako hapo. Tumia uwanja namba 1, 2, 3, 5, 10 kwenye mchezo mkuu au tumia uwanja wa bashiri za bonasi. Maeneo ya kushinda bonasi zinazohusiana na michezo ni Cash Hunt, Pachinko, Coin Flip pamoja na Crazy Time.

Cash Hunt ni mkusanyiko wa picha ambazo zinahusisha skrini kubwa yenye mazidisho 108 yasiyo na mpangilo maalumu. Coin Flip ni mchezo unaohusisha uchaguaji wa “Kichwa au mwenge” ambapo shilingi yenye rangi mbili – Nyekundu na Bluu, itakupa fursa ya kuchagua upande gani shilingi hiyo inaangukia huku kwenye skirini kubwa pakioneshwa thamani hiyo.

Pachinko ni mchezo wa bonasi ambao unahusisha ukuta wa mazidisho ya thamani ya dau lako. Ina aina 16 za mazidisho ambayo hayo yote yapo kwa ajili ya kukupa faida. Na, ya mwisho ni Crazy Time yenyewe, mchezo huu wa bonasi unamuhitaji mchezaji kufungua mlango mwekundu na kuingia kwenye ulimwengu wa kufikirika wa kuchizika.

Kwenye ulimwengu huo, utakutana na zawadi kede kede ikiwemo pesa za papo hapo. Crazy Time ina sehemu 64, pindi Gurudumu linapozungushwa unatakiwa kuboyeza kitufe chekundu ili kilisimamishe. Kikubwa zaidi, unaweza kujishindia hadi mara 25000 ya dau uliloliweka kupitia bonasi ya Crazy Time.  Chizika na kasino ya mtandaoni ya Merianbet na ushinde!!

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Zara tours yajivunia kupandisha wageni 228 Mlima Kilimanjaro

Spread the loveKampuni ya utalii ya Zara tours ya mjini Moshi mkoani...

error: Content is protected !!