Monday , 27 May 2024
Home katimba
60 Articles6 Comments
Habari za Siasa

Mbivu, mbichi ripoti BoT wiki hii

  RIPOTI ya ukaguzi wa matumizi ya fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa mwezi Januari mpaka Machi mwaka huu, kuwekwa hadharani wiki...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Tunafufua mradi Bandari Bagamoyo

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema, serikali imeanza mazungumzo ya kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Anaripti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Farid: Nilitishwa

  SHEIKH Farid Had, mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam visiwani Zanzibar (JUMIK) alipokuwa gerezani Zanzibar, ameeleza alitolewa...

Makala & Uchambuzi

Tunajadili bila hatua, tunaangamia

MOJA ya nchi yenye mfumo bora katika elimu ni Indonesia. Kila mwaka hutenga zaidi ya asilimia 21 katika elimu peke yake. Anaandika Yusuph...

Tangulizi

Spika Ndugai afura bungeni

  KUKITHIRI kwa malalamiko yanaelekezwa kwa Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), yamemchefua Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya...

Makala & Uchambuzi

Balozi Seif Ali Idi ana hali gani?

  MNIJUZE wakazi wa Zanzibar, taswira halisi ya Balozi Seif Ali Idi, Makamu wa Pili Mstaafu visiwani humo ilivyo kwa sasa, je ni...

Habari Mchanganyiko

Balile mwenyekiti mpya TEF

  DEODATUS Balile, amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa miaka mitano ijayo, kwa kupata kura 57 dhidi Nevile...

Habari Mchanganyiko

Membe amshika pabaya Cyprian Musiba

  WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nchi za Nje na uhusiano wa kimataifa, wa Tanzania, Bernard Kamilius Membe, yuko mbioni kushinda shauri...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Prof. Safari: Dk. Hoseah chaguo sahihi TLS

  GWIJI wa sheria nchini Tanzania, Prof. Abdallah Safari na Rais Mstaafu wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Tundu Lissu, wameshauri wajumbe wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Baba aliyefiwa watoto, mke atoa yamoyoni

  MAMIA ya wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi katika mazishi ya wanandugu watano, wanaodaiwa kufariki dunia katika shughuli...

Habari za Siasa

Mbatia: Waliokamatwa na polisi, waachwe huru

  JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amelitaka Jeshi la Polisi nchini Tanzania, kuwaachia Watanzania waliowakamata kwa tuhuma za kusema Rais John...

Habari za SiasaTangulizi

Hivi ndivyo Mama Samia atakavyochukua madaraka

  MAMA Samia Hassani Suluhu, Makamu wa Rais wa Jamhuri, aweza kuapishwa muda wowote kutoka sasa, kushika madaraka ya rais. Anaripoti Yusuph Katimba,...

Habari Mchanganyiko

TCRA yasitisha utoaji leseni za ‘Online’

  MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesitisha kutoa leseni mpya za maudhui ya mtandaoni (Online TV na Blogs). Anaripoti Yusuph Katimba, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari afurahia Kiswahili kutumika mahakamani, atahadharisha

  PROF.  Abdallah Safari, wakili wa Mahakama Kuu nchini Tanzania na gwiji wa sheria za jinai katika Afrika Mashariki anasema, ni uamuzi sahihi...

Habari za Siasa

Mbatia aanza mwaka kwa maneno mazito

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Katika...

Habari za Siasa

Mdee atoa sharti Chadema kutema ubunge

HALIMA Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), amesema atatema ubunge wa viti maalum iwapo ‘watakubaliana.’ Anaripoti...

Habari za Siasa

Kubenea akumbusha ya Kikwete, Mkapa

SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo amewataka wananachi kuchagua viongozi wenye uchungu na taifa lao. Anaandika Yusuph Katimba,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Membe watwishwa zigo ushirikiano Chadema na ACT-Wazalendo

HATMA ya kuwapo kwa ushirikiano wa vyama viwili vya siasa nchini Tanzania vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT- Wazalendo kuelekea...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba kugombea urais Tanzania

MKUTANO Mkuu Maalum wa Chama cha Wananchi (CUF), leo Jumatatu tarehe 27 Julai 2020, umempitisha Prof. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa chama hicho kuwani...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba: CCM bila dola haipo

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema, Watanzania wamechoshwa na maisha ya umasikini, na sasa uhai wa Chama Cha Mapinduzi...

Habari Mchanganyiko

Membe: Mkapa alithamini akili kubwa

BERNARD Kamilius Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nneu, amemtaja Hayati Benjamin William Mkapa, Rais mstaafu wa...

Habari za Siasa

Mama Samia: Akisimama Mkapa, shughuli imeisha

MAMA Samia Suluhu Hassam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameeleza kufadhaishwa na kifo cha Benjamin Mkapa, Rais wa awamu...

Habari za Siasa

Butiku: Ukiondoka madarakani, usiwachagulie Watanzania kiongozi

JOSEPH Butiku, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakina tabia ya kuwachaguliwa Watanzania rais na...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Mkapa alisema Tanzania si mali ya mtu, kikundi cha watu

MAALIM Seif Sharif Hamadi, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo amesema, Hayati Benjamin Willium Mkapa alikuwa jasiri ingawa...

Makala & UchambuziTangulizi

Kosa la Mbatia ni lipi?

MIJADALA kwenye mitandao ya kijamii, imekoleza tuhumadhidi ya Mwenyekiti wa taifa wa chama cha NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, kwamba anatumika na Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Selasini akoleza moto uenyekiti Chadema

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameonya kuwa hatua yeyote ya kuminya demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

Urais wa Membe waendelea kupata wafuasi  

BERNARD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje na uhusiano wa kimataifa, anazidi kukoleza mbio za kuwania urais katika...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba kupata pigo jingine la mwaka  

WABUNGE karibu wote wa Chama cha Wananchi (CUF), kutokea Unguja na Pemba,  wanatarajiwa kutangaza kuondoka kwenye chama hicho, muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Yusuph Katimba …...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Zitto siyo mnafiki kama yule

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemweleza Zitto Kabwe kwamba sio mnafiki. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akikaribishwa Makao...

Kimataifa

Kagame, Museven wakaribia kuzichapa  

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame (62), amemtuhumu “swahiba wake wa miaka mingi,” Rais wa Uganda, Yower Musseven, kwamba anapanga njama za kuangusha serikali...

Kimataifa

‘Hiki ndio kilio kikuu cha Wapalestina’

PALESTINA haihitaji kupendelewa, kubebwa wala kubembelezwa bali inahitaji haki yake na hiki ndio itasimamia milele. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akizungumza na waandishi wa...

Habari za Siasa

1.5 Trilioni zipo wapi?

SI Bunge wala wananchi wanaojua kiasi cha Sh. 1.5 Trilioni ambazo hazikuonekana kwenye Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Bungeni; Ni Serikali vs Wananchi  

MKUTANO wa 14 wa Bunge la Jamhuri unaanza leo tarehe 29 Januari 2019 ambapo pamoja na shughuli zingine, hatma ya maoni ya wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu ampa ‘live’ JPM kuhusu demokrasia

RAIS John Magufuli ameshauriwa ‘kulegeza’ kidogo demokrasia ili Watanzania wapate afueni kutokana na sasa kujaa hofu. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akizungumza kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro wa Spika Ndugai, Prof. Assad watua kwa JPM  

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amefikisha kiaina mgogoro unaovuma kwa sasa kati yake na Prof. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko waitwa Mahakama ya Rufaa

KESI ya kupinga kurejeshewa dhamana iliyofunguliwa na serikali dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasim na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mwekahazina wa...

Habari za SiasaTangulizi

Waitara aanza mbio za kutaka kumng’oa Heche

MBUNGE wa Ukonga (CCM), Mwita Mwaikabe Waitara, ameanza kampeni za “kumdhoofisha” na hatimaye kumng’oa, hasimu wake mkuu kisiasa, mbunge wa Chadema katika jimbo...

Habari za Siasa

Kikokotoo chaondoka na Mkurugenzi SSRA

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dk. Irene Isaka. Anaripotu Yusuph...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ametufanya tutembee kifua mbele – Zitto

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amesema kuwa hatua ya Rais John Magufuli, kuzuia matumizi ya kanuni mpya za vikokotoo kwa ajili ya wafanyakazi...

Habari za Siasa

Mbunge wa Chadema apata ajali mbaya

MBUNGE wa Viti Maalum, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kunti Yusuf Majala, amejeruhiwa vibaya baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali....

Habari MchanganyikoTangulizi

Waraka wa Maulid waibua mauaji haya

WARAKA wa Maulid (Sikukuu ya Maulid) uliotolewa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania umeibuka na matukio mbalimbali yaliyotokea nchini. Anaripoti Yusuph Katimba...

Habari za SiasaTangulizi

CUF Lipumba yakaza kamba

WAKATI uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukiendelea kukaribia mwakani, Chama cha Wananchi (CUF) kambi ya Prof. Ibrahim Lipumba imeeleza kuwa, ‘atakaye ajiunge nao.’...

Makala & Uchambuzi

Hii ni Jahannam katika uso wa dunia

UNAWEZA kujiuliza, kwanini wanadamu wamekuwa na tabia za ovyo zaidi ya wanayama wakali? Nini hasa walichojisahau mpaka kutojali maumivu wanayopata wengine? Anaandika Yusuph Katimba...

Habari Mchanganyiko

Balozi: Palestina haitalegeza kamba

TAIFA la Israel limeondoa furaha yetu, linataka kuondoa utambulisho wetu katika ardhi ya Palestina, kamwe hilo halitafanikiwa. Anaandika Yusuph Katimba…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...

Kimataifa

Hili ndio chimbuko la uadui wa Israeel, Iran

TANGU kufanyika kwa Mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979, ambapo viongozi wa kidini wenye msimamo mkali walichukua mamlaka na kumaliza utawala wa Kifalme...

Makala & Uchambuzi

Ujinga, udikteta unatesa Afrika

RAIA wa nchi za Afrika wanazo sababu nyingi za kutamani na hata kupanga kubadili tawala zao zilizoasi. Ni mabadiliko ambayo yatawezesha kufikia kilele...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atoa ya moyoni

TUNDU Lissu, Mbunge was Singida Mashariki amesema kuwa upinzani umeshambuliwa kuliko kipindi chochote nchini Tanzania. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Lissu amesema hivyo...

Makala & UchambuziTangulizi

Tumpime kwa viwango hivi

KITABU cha “The Prince” kilichoandikwa na Machievelle imeelezwa kuwa, kufaulu au kutofaulu kwa mtawala yeyote hutegemea anavyoweza kuwateua wasaaidizi wake. Anaandika Yusuph Katimba...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yamliza Makonda, atoa laana

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yupo kwenye mtihani wa kunasua ‘makontena yake yaliyobeba samani’ bandarini jijini Dar es Salaam....

Habari za SiasaTangulizi

Ridhiwani Kikwete ‘apaniki’

RIDHIWANI Kikwete, Mbunge wa Chalinze ameishiwa uvumilivu. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mbunge huyo kijana anaeleza kukerwa na tuhuma zinazoelekezwa kwake kwamba ‘anakerwa’...

error: Content is protected !!