May 26, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Wenye maduka ya fedha wacharuka

Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba

Spread the love

 

WAMILIKI wa maduka ya kubadilishia fedha ambao walikuwa wakisubiri kwa hamu majibu ya Bunge kuhusu hatima ya mali na mabilioni ya fedha zao walizoporwa, wamebaki njiapanda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea).

Mabilioni hayo yaliporwa wakati wa msako maalumu wa Serikali kwa wafanyabiashara wa maduka hayo, katika miji ya Arusha na Dar es Salaam.

Katika operesheni hiyo iliyoacha maumivu kwao, zaidi ya maduka 100 ya kubadilisha fedha za kigeni (Bureaux de Changes), yalifungwa na kusababisha adha kubwa kwa watalii, wasafiri na wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi.

Ndani ya Bunge, mara kwa mara kulikuwa na mjadala ukiibuka na kufa, bila majibu ya kuridhisha, kuhusu hatima ya fedha za wafanyabiashara hao.

Nini wanakusudia kukifanya ili kurejeshewa fedha zao, soma Gazeti la Raia Mwema, toleo la leo Jumatatu, tarehe 5 Julai 2021.

error: Content is protected !!