Tuesday , 21 May 2024

Month: July 2021

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Tumedhamiria kuboresha miundombinu ya bandari

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali imedhamiria kuboresha miundombinu ya bandari ili kuvutia idadi kubwa ya watumiaji zikiwemo nchi za...

Habari Mchanganyiko

Watu 275 wakamatwa tuhuma za mauaji

  JESHI la Polisi nchini Tanzania, linawashikilia watu 275 kwa tuhuma za mauaji, yaliyotokea nchi nzima kuanzia Mei hadi Julai 2021. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wakamatwa Mwanza

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe na wenzake zaidi ya 10, wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa...

Habari za SiasaTangulizi

Kongamano la Chadema kudai katiba mpya njia panda

  KONGAMANO la kudai katiba mpya, lililoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), liko njia panda baada ya Mkuu wa Mkoa wa...

Kimataifa

Masharti Covid-19 yalegezwa Uingereza, mikusanyiko yaruhusiwa

  SERIKALI ya Uingereza, imelegeza masharti iliyoweka kwa ajili ya kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya...

Kimataifa

Rais wa mpito Mali anusurika kifo

  Rais wa Serikali ya Mpito Mali, Assimi Goita, amenusurika kifo baada ya watu wasiojulikana kujaribu kutaka kumchoma kisu tumboni. Inaripoti BBC …...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia atoa mil 100 ujenzi wa paa soko la Machinga Complex

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa Sh.100 milioni kwa ajili ya ujenzi wa paa la kisasa la kuzuia jua na mvua...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake wanaswa mtegoni

  MIKAKATI mipya ya Halima Mdee na wenzake 18, kutaka kuendelea kuwa bungeni kinyume cha sheria na kukivuruga Chama cha Demokrasia na Maendekeo...

Habari Mchanganyiko

Bosi Nida akalia kuti kavu, Waziri Simbachawene asema…

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dk. Anold Kihaule,...

Kimataifa

Vijana 200 wagawiwa fedha za kuoa

  MUHAMMAD Bin Salman, Mwanamfalme wa Saudia, ameidhinisha kutolewa fedha milioni 3.74 za riyali, sawa na dola milioni 1 za kimarekani, ili zigawiwe...

Habari za Siasa

CCM yajitosa tozo za miamala ya simu, yampongeza Rais Samia

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejitokeza kumpongeza Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, kwa kusikia malalamiko ya wananchi...

Habari za Siasa

Siku 12 chungu kwa Halima Mdee, wenzake Chadema

  HALIMA Mdee na wenzake 18, wamebakisha siku 12 kujua hatma yao juu ya uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ),...

Habari Mchanganyiko

Watumishi TRA, Polisi kizimbani tuhuma dawa za kulevya

  WATUMISHI watatu wa Serikali na wengine watano, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kujihusisha...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe atoa msimamo makongamano ya Katiba

  FREEMAN Mbowe amesema, watafanya kongamano la Katiba jijini Mwanza keshokutwa Jumatano, tarehe 21 Julai 2021 na mikoa mingine yataendelea “hadi Katiba mpya...

Afya

Chadema wataka chanjo Covid-19 itolewe kwa lazima

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya...

Kimataifa

Ghasia za wafuasi wa Zuma zatia hasara Sh. 2.3 trilioni

  GHASIA zilizoibuliwa na wafuasi wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, zimesababisha uharibifu wa mali zenye thamani ya Dola za...

Habari za SiasaTangulizi

Covid-19: Mbowe ataka vigogo wizara ya afya Tanzania wajiuzulu

  MWENYEKITI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe, amemtaka Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima na wasaidizi wake, wajiuzulu...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu mkuu adaiwa kuchukua rushwa laki nne ili mwanafunzi asiendelee na masomo

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma, leo Jumatatu, tarehe 19 Julai 2021, inamfikisha mahakama Maliselo Kapampa Saveli...

Michezo

TFF yafungua siku 42, dirisha la usajili

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefungua rasmi dirisha kubwa la usajili litakalodumu kwa siku 42, baada ya kumalizika kwa msimu...

Habari za SiasaTangulizi

Malalamiko tozo miamala ya simu yamuibua Rais Samia, atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango, itafute suluhu ya malalamiko ya wananchi kuhusu viwango vya tozo...

Habari Mchanganyiko

NMB yamwaga misaada Mara, RC Hapi “hatutaanzisha makambi ya wanafunzi”

  MKUU wa Mkoa wa Mara (RC), Ally Hapi amesema, mkoa huo hauna mpango wa kuanzisha makambi ya wanafunzi kwa ajili ya kuwaandaa...

Habari Mchanganyiko

Kigogo PPRA afariki dunia

  AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Leonard Kapongo, amefariki dunia jioni ya jana, tarehe 17...

Habari za Siasa

Wahanga bomoabomoa Ubungo-Kimara wapewa matumaini

  WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kuongeza muda wa notisi kwa wamiliki wa nyumba na vibanda vya biashara, vilivyopo katika hifadhi ya...

Habari Mchanganyiko

Polisi wataja chanzo mauaji Sinza

  JESHI la Polisi  Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam, limesema chanzo cha tukio la mauaji ya watu wawili katika Baa ya Lemax...

Afya

Dk. Gwajima aipa siku 10 MOI

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, ametoa siku 10 kwa Taasisi ya Tiba na Mifupa Muhimbili...

Habari za Siasa

Kilio tozo mitandao ya simu: UVCCM wamuangukia Rais Samia

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), mkoani Shinyanga, wameuomba Rais Samia Suluhu Hassan, apunguze kiwango cha tozo ya mitandao ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Khatib katika Jimbo la Konde kupatikana leo

  WANANCHI wa Jimbo la Konde, Visiwani Zanzibar, leo Jumapili tarehe 18 Julai 2021, wanachagua mbunge wao, ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na...

Habari Mchanganyiko

Meneja asimulia A-Z tukio la mauaji Sinza “muuaji alikuwa na kinyongo”

  MENEJA WA Baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remi mkoani Dar es Salaam, Godlisten Augustine, amesimulia tukio la mauaji ya watu wawili...

Michezo

Mambo 6 yamponza Miss Tanzania 2020

  KAMATI ya Miss Tanzania imebainisha makosa sita yaliyosababisha Miss Tanzania 2020, Rose Manfere kuvuliwa uwakilishi wa nchi katika mashindano ya urembo duniani....

Habari za Siasa

Rais Mwinyi amteua makamu mwenyekiti NEC kuwa…

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amemteua Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Salim Mbarouk kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Shule...

Kimataifa

Polisi anayedaiwa kuua watu wawili, ajiua kwa bastola

  ASKARI Polisi nchini Kenya, Koplo Caroline Kangogo, aliyekuwa akitafutwa kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili, amepatikana akiwa amefariki dunia kwa kujipiga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwanamke anayetuhumiwa kumchomea ndani kwa petroli mpenzi wake akamatwa

  POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25), kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi...

Michezo

Ali Kiba akwaa ubalozi wa kinywaji

  MSANII wa muziki nchini Tanzania, Ali Kiba amesaini mkataba wa kinywaji cha “Power Horse” kuwa balozi wa kinywaji hicho. Anaripoti Matlida Peter,...

MichezoTangulizi

TFF kicheko Mahakamani, zuio la uchaguzi laondolewa

  MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, imeiweka pembeni kesi ndogo namba 305, ya zuio la shughuli za uchaguzi TFF, na kutaka...

Habari za Siasa

Mbunge awakutanisha vijana kujadili kero zao

  MBUNGE wa Viti Maalum, Conchesta Rwamlaza amekutana na vijana zaidi ya 300 wa jimbo la Bukoba vijijini lengo ikiwa kusikiliza kero, maoni...

Habari za Siasa

Chadema kumshughulikia mbunge wake wa jimbo

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitamshughulikia Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani, kutokana na uamuzi wake wa kwenda bungeni, kinyume...

Michezo

Rais Fifa aipongeza Simba kutwaa ubingwa

  RAIS wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (Fifa), Gianni Infantino, ameipongeza timu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar yawashikilia 40, wanne tuhuma za mauaji

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia watu 40 kwa makossa mbalimbali ya unyan’ganyi wa kutumia nguvu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awasili Burundi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekwisha kuwasili nchini Burundi kuanzia ziara ya siku mbili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kabla ya...

Habari za SiasaTangulizi

Ukata wakwamisha rufaa za Mdee, wenzake Chadema

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema, kimeshindwa kuitisha kikao cha baraza lake kuu, kwa ajili ya kusikiliza rufaa ya Halima Mdee...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua wakurugenzi wanne, yumo wa ZEC

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameteua wakurugenzi wanne, akiwemo Khamis Kona Khamis, aliyemteua kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi visiwani humo...

Michezo

Biashara United kupanda ndege kimataifa mwakani

  KLABU ya Biashara United, kutoka Mara imefanikiwa kushiriki michuano ya kimataifa kwa msimu ujao, mara baada ya kumaliza katika nafasi ya nne...

Michezo

Gomes, Bocco wapeta tuzo mwezi Juni

  KOCHA wa klabu ya Simba, Didier Gomes pamoja na mshambuliaji wa klabu hiyo John Bocco wameshinda tuzo, mwezi Juni kwenye Ligi Kuu...

Habari za Siasa

CUF yaomba kodi mitandao ya simu ifutwe

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeiomba Serikali ifute kodi ya mitandao ya simu, kwa maelezo kwamba inaumiza wananchi, hasa wa kipato cha chini. Anaripoti...

MichezoTangulizi

Fei Toto ampa zawadi ya mabao Niyonzima

  KIUNGO wa klabu ya Yanga, Feisal Salum ambaye ndiye mfunga wa mabao yote mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi...

Habari Mchanganyiko

Waganga 16 mbaroni, wengine wasakwa

  JESHI la Polisi Kanda ya Magharibi, limewakamata waganga wa kienyeji 16, wanaotuhumiwa kufanya shughuli zao kinyume cha sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kodi ya mitandao ya simu ‘Mshikamano’ yazua mjadala

  KODI ya mitandao ya simu imeibua mjadala, baada ya kupingwa kila kona na baadhi ya watu, kwa maelezo kwamba itaumiza wananchi hasa...

Habari Mchanganyiko

Kodi ya mitandao ya simu ‘Mshikamano’ yazua mjadala

  KODI ya mitandao ya simu imeibua mjadala, baada ya kupingwa kila kona na baadhi ya watu, kwa maelezo kwamba itaumiza wananchi hasa...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Warioba akosoa viongozi kuingilia mikutano ya Rais Samia

  JOSEPH Sinde Warioba, Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, amewataka viongozi kujenga utamaduni wa kusikiliza kero za wananchi wanapokwenda kwenye mikutano mbalimbali. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Ofisa wa Serikali aficha mamilioni ‘hadi kwenye friji’

  VITA dhidi ya dawa za kulevya imelipuka upya nchini Tanzania, baada kuanza kufahamika kwa mtandao wa watumishi ndani ya taasisi za umma,...

error: Content is protected !!