SERIKALI ya Tanzania, imeanzisha mikakati ya kumaliza changamoto za mawasiliano, katika maeneo ya pembezoni mwa nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa mwongozo mpya wa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam, … (endelea)....
By Regina MkondeJuly 26, 2021WAKULIMA 2,176 katika Mkoa Morogoro, Iringa na Jombe, wamenufaika na mafunzo stadi katika kilimo na ufugaji, yaliyotolewa kupitia mradi wa Tajirika na...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021BAO la dakika ya 79, lilofungwa na Thadeo Lwanga, lillitosha kuifanya Simba kutetea ubingwa wake wa kombe la Shirikisho (ASFC), dhidi ya Yanga,...
By Kelvin MwaipunguJuly 25, 2021RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, ameiomba Serikali imfikishe mahakamani au imuache huru, Mwenyekiti wa Chama cha...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Hamis Dambaya, kupisha...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2021CHAMA cha soka Mkoa wa Kigoma nchini Tanzania, kitagawa barakoa bure kwa mashabiki watakaoudhuria mchezo wa fainali kombe la shirikisho utakaowakutanisha Simba...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021TIMU za Mtibwa Sugar ya Morogoro na Coastal Union ya Tanga zimefanikiwa kubaki Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa msimu ujao wa...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021KOCHA wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, Didier Gomes amesema, hana presha kuelekea mchezo wa fainali wa kombe...
By Kelvin MwaipunguJuly 24, 2021TIMU ya Azam FC ya Chamanzi Dar es Salaam nchini Tanzania, imetangaza kuachana na wachezaji wake wanne wa kimataifa akiwemo mshambuliaji Obrey...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021KOCHA mkuu wa kikosi cha Yanga, Nasriddine Nabi ameshindwa kutokea kwenye mkutano na wanahabari kuelekea mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho,...
By Hamisi MgutaJuly 24, 2021NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-Tamisemi, David Silinde ameshangazwa na kutofautiana kwa taarifa ya ujenzi wa maabara ambayo imechukua takribani miaka kumi pasina...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021WAZIRI Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu amewaahidi Sh.5 milioni, wachezaji wa Coastal Union endapo watafanikiwa kubaki Ligi Kuu Tanzania bara huku akilipia...
By Hamisi MgutaJuly 24, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha maslahi ya...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema, anashauriana na viongozi wa chama hicho, namna ya...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Slaa, ameshauri wabunge wakatwe kodi katika mishahara yao, ili wachangie maendeleo ya nchi, kama wananchi wanavyochangia kupitia...
By Masalu ErastoJuly 23, 2021WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Dk. Leonard Chamuriho amewataka mafundi sanifu 15,260 ambao wamehitimu katika vyuo mbalimbali nchini kujisajili kwa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka watu wanaopinga tozo ya miamala ya simu, waeleze njia mbadala itakayowezesha Serikali kupata fedha...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa huduma ya...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, mpaka sasa wagonjwa 29 walioambukizwa virusi vya corona (COVID-19), wamefariki dunia. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...
By Hamisi MgutaJuly 23, 2021JUMLA ya tiketi elfu 11 zimeshauzwa kuelekea mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2021HATIMA ya kufanyika au kutofanyika kwa kikoa cha Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), utajulikana kesho Jumamosi, tarehe 24...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021MANASE Alphayo Mbowe, baba mdogo wa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Freeman Mbowe, amefariki dunia asubuhi ya leo Ijumaa,...
By Regina MkondeJuly 23, 2021MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanania cha Chadema, Tundu Lissu amesema, tukio la kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama hicho, Freeman...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021KAMATI Ndogo ya Mambo ya Nje ya Afrika ya Baraza la Wawakilishi nchini Marekani, imeiomba Serikali ya Tanzania, imuache huru Kiongozi wa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vya NCCR-Mageuzi na ACT-Wazalendo, vimeiomba Serikali nchini humo kukaa pamoja na vyama vya siasa, kwa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021SERIKALI ya China, imepinga mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO), wa kurudia uchunguzi dhidi ya mlipuko wa kwanza wa Virusi vya...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, imeiagiza Taasisi ya Hakimiliki nchini humo (COSOTA), kufuatilia na kuhakikisha msanii Mb Dogg...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021WANAJESHI wa Rwanda, walioko nchini Msumbiji kukabiliana na ugaidi, wamewauwa wanamgambo wa kiislamu 30, waliovamia Jimbo la Cabo Delgado, Kaskazini mwa nchi...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, amegundulika kuwa na mgongano wa kimaslahi, kufuatia taarifa kuwa mke wake...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021DUDLEY, mtoto wa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe ameshangazwa na tuhuma zinazomkabili baba yake. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021WAGONJWA wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), nchini Tanzania, imeongezeka kutoka 408 hadi kufikia 682....
By Faki SosiJuly 23, 2021KIKOSI cha klabu ya Simba, kimewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Fainali wa kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021KLABU ya Yanga imeonekana kusikitishwa na kitendo cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumchagua Ahmed Arajiga kuwa mwamuzi wa mchezo...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema, linamshikiliwa kiongozi wa chama cha kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman Mbowe kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021WANAWAKE wawili na watoto wao wa familia ya Marehemu Amiri Mrisho wa Dar es Salaam wamemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza, Tony Blair, Ikulu Jijini Dar es Salaam....
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemlilia aliyekuwa mwenyekiti wake wa kwanza, Anna Mghwira, kikisema kwamba kifo chake kimeacha pigo katika medani za kisiasa nchini...
By Regina MkondeJuly 22, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, aliyekamatwa jijini Mwanza alfajiri ya jana, anahojiwa na Jeshi la Polisi Kanda...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021KUELEKEA mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation) siku ya tarehe 25 Julai, 2021, vikosi vya Simba na Yanga...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021ANNA Elisha Mghwira, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia leo Alhamisi, tarehe 22 Julai 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha …...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021KIKOSI cha klabu ya Yanga kimetua rasmi mkoani Kigoma, kwa ajili ya mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021KUELEKEA mchezo wa Fainali wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation), Shabiki wa klabu ya Yanga, Iddi Mkuu (69) ametinga Kigoma leo...
By Masalu ErastoJuly 21, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu, kwa ajili ya kumtafuta mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, ambaye...
By Regina MkondeJuly 21, 2021TIMU ya Azam FC ya Chamanzi, Tanzania imeendelea kukisuka kikosi chake cha msimu ujao wa 2021/22, kwa kusajili wachezaji wanne wa Kimataifa....
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021HAJI Manara, Msemaji wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam, ametangaza kung’atuka katika nafasi hiyo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema chanjo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), imeshaingia...
By Regina MkondeJuly 21, 2021WAKULIMA wa Mkoa wa Njombe, wamefikisha kilio cha bei kubwa za pembejeo serikalini, wakitaka ipungue. Anaripoti Mwandishi Wetu, Njombe … (endelea). Wakulima...
By Masalu ErastoJuly 21, 2021JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limezingira Ukumbi wa Tourist Hotel, ambao Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), kilipanga kufanya kongamano lake...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021