July 7, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Anna Mghwira afariki dunia

Marehemu Anna Elisha Mghwira

Spread the love

 

ANNA Elisha Mghwira, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia leo Alhamisi, tarehe 22 Julai 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea)

Anna alikuwa mgombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwaka 2015 kupitia chama cha ACT-Wazalendo.

Pia, Alikuwa Mwenyekiti wa chama hicho kabla ya Hayati Rais John Magufuli kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro. Nafasi iliyomfanya kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Endelea kufuatilia MwanaHALISI TV, MwanaHALISI Online na mitandao yetu ya kijamii kwa habari na taarifa zaidi

error: Content is protected !!