Wednesday , 24 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Ushawishi wa Tik Tok wafichua siri ya China ya kujihusisha kisiasa Malaysia
Kimataifa

Ushawishi wa Tik Tok wafichua siri ya China ya kujihusisha kisiasa Malaysia

Spread the love

 

WAKATI nchi ya Malaysia ikiwa kwenye uchaguzi mkuu, China inaonyesha nia ya kufanya ushawishi wa kisiasa nchini humo kupitia mtandao wa kijamii wa Beijing ya ByteDance, (Tik Tok) kufanya ushawishi juu ya uchaguzi huo.

Mtandao huo uliruhusu video za kushawishi vijana na Wapiga kura wa Malaysia.

Ripori inaeleza kuwa mtandao huo ulikwenda mbali zaidi kwa kuwaajiri vijana wenye ushawishi mkubwa mtandao ili kufanya kampeni hizo.

Wakati Chama cha Kiislamu cha Malaysia, au PAS, hakikuwa na jukumu kubwa hapo awali katika siasa za msingi za rangi nchini humo, licha ya baadhi ya ushindi katika uchaguzi katika majimbo ya vijijini ya Malay mashariki mwa peninsula, Tik Tok ilisimamia mchakato wa uchaguzi. Muhyiddin alitumia vyema hisia nyingi za Waislamu kabla ya uchaguzi.

Kwa hakika, vyama vya siasa vya Malaysia mara nyingi vimekuwa vikiunga mkono simulizi za serikali ya Uchina na kuzirudia kwa hadhira ya ndani kwa vile Malaysia ni nyumbani kwa watu wengi wa Kichina wanaoishi nje ya nchi. 

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanakihesabu kitendo hicho kuwa ni nia ya China kujihisisha na uchaguzi huo.

Tik Tok iliwahi kuondoa maudhui yenye mrengo wa kisiasa nchini china jambo ambalo linawashangaza wachambuzi wengi kwa sababu mtandao huo umefungua milango wa siasa kwenye nchi jirani.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tetemeko la ardhi laua 7, lajeruhi 800 Taiwan

Spread the loveWatu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800...

error: Content is protected !!