RAIS wa Marekani Joe Biden ameahidi kuimarisha uhusiano na mataifa ya Afrika, huku akitangaza kusudio la Serikali yake kutoa kiasi cha Dola...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amedai kwamba Serikali yake haichochei mgogoro wa kivita unaoendelea mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeipongeza Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kulipa malimbikizo ya madai ya walimu 88,297 yenye...
By Kelvin MwaipunguDecember 15, 2022MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewasihi watumiaji wa huduma za mawasiliano kutumia msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka kuhakiki laini zao...
By Gabriel MushiDecember 15, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali iweke wazi mikataba ya mikopo inayokopa katika taasisi za kimataifa, ili kujua masharti yake na...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022BENKI ya Exim tawi la Mwanza imekabidhi msaada wa majaketi yenye viakisi mwanga (Reflector Jackets) kwa madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda wa...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza kufunga mauzo ya hati fungani yake iliyofahamika kama NBC Twiga Bond kwa mafanikio makubwa baada ya...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022MASHAHIDI tisa na vielelezo kumi vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika kundi la whassap inayokambili mwandishi wa habari za...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022ZAMA mpya ya huduma za kibenki imejiri nchini baada ya Benki ya NMB kuzindua suluhisho la kisasa ‘NMB Pesa Akaunti’ ambayo ni akaunti...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022WANANCHI zaidi ya 13,000 wa vijiji vinne vya Kata ya Nyatwali Wilaya ya Bunda mkoani Mara wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kile...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ufafanuzi kuwa sababu ya kifo cha Joachim Kapembe (45) kilichotokea katika Mlima Kilimanjaro jana tarehe...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022MKAZI wa Nanyumbu mkoani Mtwara, Selemani Mpepe, ameibuka na bonasi bonge ya kiasi cha Sh milioni 4 kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, ametajwa kuwa rafiki wa wanahabari, kufuatia dhamira yake aliyoionesha tangu alipoingia madarakani Machi 2021, ya kuifanyia maboresho sekta ya...
By Regina MkondeDecember 14, 2022RAIS wa Zanzibar, amefanya uteuzi wa viongozi nane katika taasisi mbalimbali za umma, ikiwemo Tume ya Mipango visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea)....
By Gabriel MushiDecember 14, 2022INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura amesema katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Oktoba 2022, matukio ya ukatili wa...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 14 Disemba, 2022 ameteua makatibu wakuu wa wizara ya uwekezaji, biashara na viwanda pamoja na wizara ya...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022MWANDISHI wa habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Manyara Joachim Kapembe amefariki dunia alipokuwa akishuka kutoka katika kilele...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022BODI ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imesema kuwa imekuwa na mchango mkubwa katika kuweka kanuni na sera ili kusaidia ukuaji wa michezo...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022UTAFITI uliyofanywa na Mtandao wa Jinsia na Mabadiliko ya Tabianchi Tanzania (GCCTC), umebaini kuwa kila eneo katika nchi ya Tanzania limeathirika na mabadiliko...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022JESHI la POLISI Mkoa wa Songwe linamshikilia Praxeda Msanganzila (28) Mkazi wa mtaa wa Ilolo, wilayani Mbozi kwa tuhuma za kuiba mtoto mdogo...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeyaondoa maombi Na. 459/2022 yaliyofunguliwa na wanaodai kuwa wajumbe wapya wa Bodi ya Wadhamini ya...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha kesho tarehe 14 Disemba, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi mawili yaliyowasilishwa na mawakili wa aliyekuwa...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022WANANCHI wa vijiji vinavyozunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, (KIA), wamelalamikia serikali kwa kudai kuwanyang’anya ardhi bila kuzingatia sheria. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kilimo utakaohusisha viongozi, watu mashuhuri na wadau wapya 3,000. Uamuzi huo...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022WADAU wanaojishughulisha na masuala ya utoaji msaada wa kisheria visiwani Zanzibar, wametakiwa kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha wananchi wanapata haki na wanajua majukumu...
By Kelvin MwaipunguDecember 13, 2022JUMLA ya wafanyakazi 65 wa Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) wamepewa elimu ya kutambua haki za wanyama hasa wmifugo ili kuweza kusaidia mifugo...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto leo tarehe 13 Disemba, 2022 atakutana ana kwa ana na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022MWANDISHI wa habari aliyejizolea umaarufu kwa utangazaji mechi za soka kutoka Marekani, Grant Wahl (49) amefariki dunia nchini Qatar baada ya kuzimia alipokuwa...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022Uongozi Wilayani Kilombero mkoani Morogoro umepiga marufuku mifugo mipya kuingia wilayani humo katika jitihada za kulinda bonde la Bonde la Kilombero. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kusini yakabidhi taarifa za ukaguzi wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi katika Halmashauri ya...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022MAREKANI imepangakutangaza vikwazo vipya dhidi ya nchi zq Urusi na China kuanzia tarehe 16 Disemba, 2022 kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2022BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeiweka Benki ya Yetu Microfinance chini ya uangalizi wake ili kulinda haki za wateja na wadau wengine kutokana...
By Gabriel MushiDecember 12, 2022KAIMU Afisa Madini mkoa wa Kimadini Kahama, Eva Kahwili ametoa wito kwa wachimbaji wa madini mkoani humo kuitumia Taasisi hizo ni pamoja na...
By Gabriel MushiDecember 12, 2022MKUU wa Machifu wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Joel Mwakatumbula amewataka vijana kuacha tabia ya kuvaa suruali chini ya kiuno ‘mlegezo’ na wasichana kuacha...
By Gabriel MushiDecember 12, 2022MRADI wa Benki ya NMB wa mafunzo kazini unaotoa nafasi za ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu umeiwezesha taasisi hiyo kuimarisha mtaji wake...
By Gabriel MushiDecember 12, 2022Serikali ya Tanzania imeombwa kufuta huduma za mabweni katika shule za awali hadi msingi, ili kutoa nafasi kwa watoto kulelewa na familia zao...
By Regina MkondeDecember 12, 2022KATIKA kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza msamaha kwa wafungwa 1,631 ikiwamo wa kike walioingia...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2022JESHI la Polisi Mkoa wa Kusini limewakamata na kuwahoji watu wawili ambao ni wanachama wa chama cha ACT Wazalendo kwa tuhuma za kuwakashifu...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2022KITUO cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), wameiomba Serikali iwachukulie hatua watu wanaofanya vitendo vya uharibifu wa mazingira, Kwa kuwa ndiyo...
By Kelvin MwaipunguDecember 11, 2022HOSPITALI ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imetoa elimu ya uhamasishaji wa uchangiaji damu salama kwa hiari kwa ajili ya kusaidia wagonjwa wanaopungukiwa...
By Kelvin MwaipunguDecember 11, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amewataka wana CCM kutopoteza muda kwa malumbano na...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2022RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya kimataifa ya kuwa muongoza watalii bora nchini kutoka Taasisi ya Kimataifa ya International...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema mazungumzo ambayo chama hicho inafanya na Serikali ni ya wazi na wala...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2022TIMU ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kuiondoa timu ya Taifa...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2022SERIKALI ya Tanzania, imesema itafanya uchunguzi dhidi ya biashara haramu ya uuzaji viungo vya siri vya wanawake wanaokeketwa, iliyoibuka mkoani Mara. Anaripoti...
By Regina MkondeDecember 10, 2022WATU wenye ulemavu nchini Tanzania, wameiomba Serikali iongeze ushiriki wao katika vyombo vya maamuzi ili waweze kutafuta suluhu dhidi ya changamoto zinazowakabili. Anaripoti...
By Regina MkondeDecember 10, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeombwa kufanya marebisho dhidi ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) ya 2002, Kwa sababu imepitwa na wakati...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2022IKIWA dunia inaadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, wanaume wamefunguka kuhusu vitendo hivyo huku madai ya kunyimwa unyumba na vipigo...
By Regina MkondeDecember 10, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshauriwa kuongeza juhudi katika dhamira yake ya kuimarisha usawa wa kijinsia na kumuinua mwanamke kiuchumi, ili kuondoa...
By Regina MkondeDecember 9, 2022WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imesema itaendelea kutengeneza mazingira mazuri ya kuhakikisha kazi za kisayansi zinazobuniwa na wanasayansi chipukizi zinaendelezwa. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiDecember 9, 2022