Wednesday , 8 February 2023
Home Kitengo Michezo Seleman Mpepe wa Nachingwea abongeka na Bikosports
Michezo

Seleman Mpepe wa Nachingwea abongeka na Bikosports

Spread the love

MKAZI wa Nanyumbu mkoani Mtwara, Selemani Mpepe, ameibuka na bonasi bonge ya kiasi cha Sh milioni 4 kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo wa bikosports unaoendelea kumwaga manoti kwa Watanzania wanaotumia bikosports kuweka mikeka yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Lindi… (endelea).

Akizungumza katika makabidhiano ya zawadi hiyo ya fedha, Mpepe alisema zawadi hiyo aliyoipata kama bonasi imefungulia njia nzuri katika maisha yake sanjari na kupunguza makali.

Mkazi wa Nanyumbu mkoani Mtwara, Selemani Mpepe, aliyenyoosha mikono juu, kiwa mwenye na marafiki zake baada ya kufanikiwa kukabidhiwa fedha zake Sh Milioni 4 alizoshinda kama sehemu ya bonasi Bonge kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali duniani wa bikosports.

Alisema amekuwa akitumia mchezo wa bikosports kama  njia ya kutafuta njia ya kutimiza malengo yake, akiamini kuwa ni sehemu nzuri inayoweza kumpatia ufumbuzi wa maisha yake.

“Katika mkeka wangu niliweka mechi nane na kuingiza kiasi cha 40,000 kama mtaji wangu, jambo ambalo lilinipatia kiasi cha fedha ambacho kitasogeza mbele gurudumu la maisha yangu.

“Nitatumia kiasi cha pesa katika biashara zangu ndogo ndogo ambazo siku zote nimekuwa nikizifanya kwa lengo la kunipatia mwangaza mzuri zaidi,” alisema.

Mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali duniani ni rahisi kucheza na kushinda ambapo namba ya Kampuni ni 101010, huku ukitoa fursa ya kucheza live mtandaoni kwa  www.bikosports.co.tz bila kusahau wanaobeti njia ya kwa kupiga *149*89#  wakitumia pia 101010 kama namba ya kampuni ya bikosports.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

GGML: Uwanja mpya wa Geita Gold FC kukamilika Mei, 2023

Spread the loveUWANJA wa Magogo unaojengwa na Halmashauri ya Mji wa Geita...

Michezo

Wanafunzi chuo Mwalimu Nyerere wapongezwa kwa ushindi

Spread the love  UONGOZI wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA)...

Michezo

Arsenal waipopoa Manchester United

Spread the loveKLABU ya Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu England imewatandika Mashetani Wekundu...

Michezo

Mchezaji Singida apoteza maisha mazoezini

Spread the love  MCHEZAJI na kapteni wa timu ya vijana ya Singida...

error: Content is protected !!