Wednesday , 22 May 2024

Month: December 2022

Habari Mchanganyiko

Polisi yasema Mtanzania aliyekamatwa na ‘unga’ Afrika Kusini hakupita nao JNIA

  JESHI la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege limesema kuwa Mtanzania, Ahmad Chonde, aliyekamatwa katika nchi ya Afrika kusini akiwa amebeba dawa...

Kimataifa

India yatoa hadhari juu hali ya Covid nchini China.

WIZARA ya mambo ya Nje ya India (MEA) imetoa hadhari juu ya hali ya mwenendo wa ugonjwa wa Uviko-19 nchini China pamoja na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mtambo wa kuzalisha umeme kupigwa mnada

MTAMBO wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 45 za umeme  mali ya Kampuni ya uzalishaji na usambazaji umeme nchini – Aqua Power Tanzania Limited...

Habari Mchanganyiko

Wamiliki runinga za mitandaoni zinazotoa taarifa za uongo mbaroni

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao...

Habari Mchanganyiko

Ataka waliochoma vifaranga washughulikiwe

  MCHAMBUZI wa masuala ya mifugo, Onesmo Olengurumwa, ameiomba Serikali iwachukulie hatua watu waliochoma vifaranga kutokana na kukosa soko, akisema ni kinyume cha...

Habari Mchanganyiko

TMA yawahakikishia huduma bora na ufanisi wadau wa usafiri wa anga

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau wa usafiri wa Anga wa jijini Dodoma katika ukumbi wa TAA, Dodoma...

Habari za Siasa

Mil.75 za mfuko wa Jimbo kujenga maabara za Sekondari Musoma Vijijini

FEDHA za mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Tarime, kiasi Cha Sh.75 milioni, zinatarajiwa kujenga maabara ya masomo ya sayansi katika shule...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: JNHPP ulipitia vikwazo vingi lakini hatukurudi nyuma

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP)ni ushahidi tosha kuwa Tanzania inaweza kufanya mambo...

Elimu

Wizara ya Elimu yaipa Zanzibar vishikwambi vya walimu 6,600

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishikwambi 6,600 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali...

Habari za Siasa

Dk Tulia: Rais Samia amefanya na zaidi

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kasi ya utekelezaji wa miradi inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa...

Habari za Siasa

Kinana:JNHPP ni utekelezaji wa Ilani ya CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amesema ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP),...

Habari za Siasa

RC Pwani, Morogoro wajipanga kunufaika na Mradi wa JNHPP

WAKUU wa mikoa ya Pwani na Morogoro wamesema wamejipanga kuhakikisha umeme utakaozalishwa kupitia Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), unachochea shughuli za...

Habari za Siasa

Mbunge Ditopile akabidhi pikipiki kata zote Kondoa mjini

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile (CCM) amekabidhi pikipiki nane kwenye Kata zote nane za Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani...

Habari Mchanganyiko

Exim yamwaga zawadi ya pesa, simu kwa washindi wa “Chanja Kijanja, Kimasta Zaidi’’

BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu na simu janja (smartphones) kwa washindi wa kampeni yake  “Chanja Kijanja, Kimasta...

Habari Mchanganyiko

Malipo yote ardhi sasa kupitia NMB  

BENKI ya NMB imeingia makubaliano na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, yanayolenga kutanua wigo wa uhamasishaji na ulipaji wa Kodi...

Habari Mchanganyiko

Jamii ya wenye ulemavu kupewa mafunzo kidogitali

TAASISI inayojishughulisha na masuala ya kutoa elimu kwa jamii Zaina Foundation inajipanga kutoa mafunzo ya matumizi sahihi ya vifaa vya kidigitali kwa watu...

Habari Mchanganyiko

Kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro yahukumiwa kulipa fidia ya Mil. 300/=

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeiamuru Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro kulipa fidia ya Sh. 300 milioni baada ya moja...

Habari Mchanganyiko

Ongezeko migogoro ya wafugaji: Serikali yashauriwa kufumua Sheria, sera

  KUFUATIA ongezeko la migogoro ya wafugaji nchini, Serikali imeshauriwa kufumua Sheria na sera zinazosimamia sekta ya mifugo, ili ziendane na wakati kwa...

ElimuTangulizi

Haya hapa majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga VETA

  VYUO vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa...

Habari za Siasa

Mhagama atangaza kiama kwa viongozi wababaishaji

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema Serikali haitosita kumchukulia hatua za...

Habari za Siasa

Serikali yaombwa kuongeza bajeti Mifugo, Uvuvi

  SERIKALI ya Tanzania imeombwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, pamoja na Tume ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi, ili...

Kimataifa

Ntakarutima wa Burundi Spika mpya EALA

  HATIMAYE Joseph Ntakarutimana kutoka nchini Burundi ameshaguliwa na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), kuwa Spika wa bunge hilo....

Habari Mchanganyiko

Habari za kuiwajibisha Serikali nadra – Utafiti

  KIWANGO cha uandishi unaochagiza uwajibikaji nchini Tanzania kinapanda taratibu mno huku magazeti yakijitutumua kwenye eneo la kuwapa haki ya kusema wale wanaotuhumiwa....

Kimataifa

Ukweli dhidi ya uongo: Pakistan lazima ikubali ukweli usiofurahisha kuhusu vita vya 1971

  UKWELI mchungu na historia iliyofichwa kwa makusudi juu ya Vita vya mwaka 1971 kati ya Pakistan na India vilivyosababisha kuzaliwa kwa Taifa...

Habari MchanganyikoSiasa

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) waapishwa rasmi  

WABUNGE wa Bunge la Tano la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) jana tarehe 18 Disemba, 2022 wameapa rasmi kuanza shughuli za Bunge hilo...

Habari Mchanganyiko

NMB yaendelea kung’ara, yatwaa tuzo ya mwajiri bora Afrika

KWA mara nyingine tena, Benki ya NMB imedhihirisha umahiri na ukubwa wake kiutendaji na kiundeshaji nchini baada yakufanikiwa kunyakuwa tuzo ya mwajiri bora...

HabariTangulizi

Mamlaka za Mabonde ya maji zaagizwa kubomoa matuta yanayochepusha mito

MAMLAKA za Mabonde ya Maji nchini, zimeagizwa kuanza mara moja ubomoaji wa matuta yaliyojengwa kwaajili ya kuchepusha maji ya mito kwenda kwenye mashamba...

Habari Mchanganyiko

India kushirikiana na Tanzania kuongeza thamani madini

SERIKALI ya India imeahidi kushirikiana na Tanzania katika uendelezaji wa teknolojia za uongezaji thamani madini nchini kupitia Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC). Hayo...

HabariKimataifa

Cyril Ramaphosa ashinda jaribio jingine

RAIS wa Afrika Kusini aliyekumbwa na kashifa, Cyril Ramaphosa amechaguliwa tena kuwa kiongozi wa chama tawala cha African National Congress (ANC). Alimshinda mpinzani...

HabariTangulizi

Mahakama yaamuru mwili wa aliyefariki mahabusu, ufukuliwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kivukoni/Kinondoni imetoa amri ya kufukuliwa mwili wa Stella Moses ili ufanyiwe uchunguzi kujua chanzo cha kifo chake baada ya...

Habari Mchanganyiko

Rais Dk. Samia kushuhudia ujazaji maji Bwawa la Julius Nyerere

WAZIRI wa Nishati, January Makamba amewaeleza watanzania kuwa zoezi la kuanza kujaza maji katika Bwawa la kufua Umeme la Julius Nyerere (JHPP) litaanza...

Habari Mchanganyiko

NMB yatumia Mil. 37 kuchangia elimu Kibaha

BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya kusaidia maendeleo ya elimu wilayani Kibaha vyenye thamani ya zaidi ya Sh37 milioni kama sehemu ya kuchangia...

Habari Mchanganyiko

Costech yatoa milioni 50 kwa wabunifu wanawake

TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknlojia (Costech) imetoa Sh milioni 50 kwa wabunifu wa wanawake watano walioshinda shindano la Buni Divaz. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaahidi ajira zaidi sekta ya usafirishaji

Serikali imewahakikishia wahitimu wa kozi mbalimbali za usafirishaji kuwa itaendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya usafiri na usafirishaji pamoja na kuzingatia ongezeko la wataalam...

Habari za Siasa

Wenyeviti CHADEMA waungana na Mbowe kuanza mikutano Januari

WAKATI kukiwa na hofu kuwa kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwamba ataendelea na mazungumzo ya maridhiano...

MichezoTangulizi

Argentina bingwa wa dunia, Messi aweka historia

  TIMU ya Taifa ya Argetina imevunja rekodi ya miaka 36 iliyopita baada ya kuinyuka Ufaransa jumla ya penalti 4 – 3 na...

Habari Mchanganyiko

Mwakibete: Watanzania someni vitabu kukuza maarifa

NAIBU Waziri wa Wizara ya Miundo Mbinu na  Uchukuzi, Atupele Mwakibete ametoa wito kwa jamii  kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa....

Habari MchanganyikoTangulizi

DIASPORA wamtwisha Kibatala zigo la uraia pacha, watinga mahakamani

WATANZANIA sita waishio nje ya nchi (DIASPORA), wamefungua kesi ya kikatiba Na. 18/2022 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, ya Dar es Salaam, kupinga...

Habari Mchanganyiko

NGO’s zamuomba Samia airudishe Tanzania kwenye mpango Serikali wazi

MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGO’s) 263 yanayotetea haki za binadamu, yamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, airejeshe tena Tanzania katika Mpango wa Ubia wa...

Habari Mchanganyiko

Mkazi Dodoma akabidhiwa pikipiki ya Mastabata

MKAZI wa Kizota jijini Dodoma, Salum Jumanne Rajabu jana Alhamisi Desemba 15, 2022 alikabidhiwa pikipiki yake baada ya kushinda katika shindano la MastaBata...

Kimataifa

Rais Marekani kufanya ziara barani Afrika

Rais wa Marekani, Joe Biden ameahidi kufanya ziara barani Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara ambayo itakuwa ya kwanza tangu aliposhika wadhifa wake...

Kimataifa

Kiongozi wa waasi agonga mwamba ICC

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), iliyopo mjini The Hague, nchini Uholanzi, imetupilia mbali rufaa ya kiongozi wa zamani wa waasi...

Habari za Siasa

Bunge la Chadema lapata viongozi wapya

SUSAN Lyimo amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Wananchi wa Chama cha Chadema, huku Lumola Kahumbi, akichaguliwa kuwa Naibu Spika wake. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mbowe asema 2023 mwaka wa kazi, atangaza operesheni maalum

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema 2023 utakuwa mwaka wa kazi ndani ya chama chake, huku akitangaza kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo: Tutazuia hujuma yoyote itakayolenga kuvuruga uchaguzi jimbo la Amani

CHAMA cha ACT Wazalendo kimehitimisha kampeni ya mgombea wake jimbo la Amani leo kwa kuonya kuwa kitazuia hujuma yoyote ya kuvuruga uchaguzi mdogo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Ruwa’ichi kuongoza vijana 30,000 kuliombea Taifa

VIJANA zaidi ya 30,000 wanatarajia kukutana tarehe 17 Disemba, 2022 kwa ajili ya kuliombea taifa wakiongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la...

Habari

ALAF watoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosomea Kiswahili

  WAKATI lugha ya Kiswahili ikizidi kuenea dunia Kampuni ya vifaa vya ujenzi ya ALAF pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...

HabariTangulizi

Rais Samia amlilia balozi aliyefariki ajalini

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy, kilichotokea katika ajali ya gari...

Habari Mchanganyiko

Mume kizimbani akituhumiwa kughushi ridhaa ya mkewe na kujipatia Sh. 140 milioni

SELEMANI Maziku, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kujipatia Sh. 140 milioni, baada ya kughushi...

HabariHabari MchanganyikoTangulizi

Uhamiaji yaonya utapeli nafasi za ajira mpya

  IDARA ya Uhamiaji nchini Tanzania, imewataka Watanzania kuwa makini dhidi ya vitendo vya utapeli vilivyoibua katika mchakato wa maombi ya nafasi za...

error: Content is protected !!