February 25, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Dada wa Kabila akamatwa na begi la hela Dubai

Spread the love

DADA wa Rais wa Kongo (DRC), Joseph Kabila, anayefahamika kwa jina la Janeth Kabila, amekamatwa na mamilioni ya dola za Kimarekani nchini Imarati (UAE). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Janeth amekamatwa na malioni hayo ya shilingi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai International Airport, jana Ijumaa, tarehe 21 Septemba 2018.

Taarifa kutoka nchini humo, zinawanukuu maofisa wa usalama katika uwanja huo wakisema, “Janeth amekamatwa na kiasi cha dola za Marekani 3 milioni (takribani Sh. 7.3 bilioni), zikiwa amezihifadhi kwenye begi.

error: Content is protected !!