October 1, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Waziri Mkuu Tanzania achukua, arejesha fomu Ruangwa

Spread the love

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa jimbo la Ruangwa, wilayani humo, mkoani Lindi. Anaripoti Mwandishi wetu endele

Waziri Mkuu ambaye alizijaza fomu hizo akiwa ofisini hapo na kuzirudisha kwa Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ruangwa, Barnabas Essau, pia alilipa fedha taslimu Sh. 100,000 zikiwa ni ada ya kuchukua fomu hizo.

Taarifa iliyotumwa kwa umma na ofisi ya waziri mkuu imesema, Majaliwa aliambatana na mkewe Mama Mary Majaliwa.

error: Content is protected !!