November 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Barua ya Membe yasomwa ukumbini

Wanachama wa ACT-Wazalendo, wakiwa kwenye mkutano Mlimani City

Spread the love

BARUA iliyoandikwa na BERNARD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania kwenda kwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad imesomwa ukumbini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)

Membe aliandika barua hiyo tarehe 8 Julai 2020 kwenda kwa Maalim Seif kuitikia ombi la wanachama na viongozi wa ACT-Wazalendo la kumtaka kujiunga nacho.

Barua hiyo imesomwa leo Alhamisi tarehe 16 Julai 2020 na Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo Membe ataeleza kwa nini amejiunga na chama hicho.

Membe amejiunga na ACT-Wazalendo baada ya kufukuzwa uanachama na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 28 Februari 2020 kwa tuhuma za kukiuka miongozo na tararibu za chama hicho.

Soma zaidi hapa

Soma barua yenyewe ya mwanadplomasia huyo hapa chini;

error: Content is protected !!