October 6, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Kafulila na Katambi ‘out’, Ma DC, DAS wateuliwa

David Kafulila, Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe

Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameendelea kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo Katibu Tawala Mkoa wa Songwe (RAS), Wakuu wa Wilaya (DC) na Wakurungezi wa Halmashauri (DED).

Pia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejenti ya Utumishi wa Umma, George Mkuchika ameteua makatibu tawala wa wilaya (DAS).

          Soma zaidi..

Baadhi ya wateule wake anaowaweka kando ni kuwapa ruksa ya kwenda kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.

Soma hapa chini taarifa kamili ya uteuzi iliyotolewa na jana Ijumaa tarehe 17 Julai 2020 na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya Tanzania.

error: Content is protected !!