Wednesday , 6 December 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Mwandishi Azam TV ajitosa ubunge Kigoma Mjini
Habari za Siasa

Mwandishi Azam TV ajitosa ubunge Kigoma Mjini

Spread the love

MWANDISHI wa habari wa AZAM TV, Baruan Muhuza amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe kuwania ubunge Kigoma Mjini katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)

Barua amechukua fomu leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 Ofisi za CCM Wilaya ya Kigoma.

Jimbo hilo lilikuwa likiongozwa na Zitto Kabwe wa ACT-Wazalendo ambaye mpaka sasa hajaweka wazi kama atagombea tena kwenye uchaguzi mkuu huo.

Mara baada ya kuchukua fomu, Baruani amekishukuru chama hicho kwa kutoa fursa kwa kila mwanachama mwenye sifa kuwania ubunge.

“Nakishukuru chama changu na hii ni ndoto yangu ya kwenda kuwatumikia wananchi wa Kigoma mjini,” amesema Baruan

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Bashungwa: Katesh kutafanyiwa usafi wa hali ya juu

Spread the loveWAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope...

AfyaHabari za Siasa

RAS Songwe: Tumepigwa… mkurugenzi nakupa siku 21

Spread the loveKATIBU tawala mkoani Songwe, Happines Seneda ametoa siku 21 kwa...

Habari za Siasa

Dk. Biteko: Viongozi tuache alama nzuri katika utendaji wetu

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari za SiasaTangulizi

Chanzo maporomoko yaliyoua 65 Hanang, chatajwa

Spread the loveSERIKALI imesema kumeguka kwa sehemu ya Mlima Hanang ambao ilikuwa...

error: Content is protected !!