Friday , 19 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Rais Magufuli ateua naibu katibu mkuu
Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli ateua naibu katibu mkuu

Rais John Magufuli
Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)

Kabla ya uteuzi huo, Dk. Haji alikuwa Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Zanzibar na anachukua nafasi ya Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi.

Taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya Tanzania imesema, uteuzi wa Dk. Haji unaanza leo Jumamosi tarehe 18 Julai, 2020.

Msigwa amesema, Dk. Haji anatakiwa kuwepo Ikulu, Chamwino jijini Dodoma tarehe 20 Julai, 2020 saa 4:00 asubuhi.

Soma zaidi..

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika

Spread the loveUbunifu wa bidhaa bora wa Benki ya NMB pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Carbon First, Ruangwa wasaini makubaliano ya biashara ya hewa ukaa

Spread the love  KAMPUNI ya Carbon First Tanzania Limited na Halmashauri ya...

Habari Mchanganyiko

CBE yawakumbuka wenye mahitaji maalum Jangwani

Spread the loveCHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada mbalimbali na...

Habari Mchanganyiko

Mume auwa mke kwa kumchoma visu, ajisalimisha Polisi

Spread the loveJACKSON Kalamji (49), anashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza,...

error: Content is protected !!