Wednesday , 22 May 2024

Month: December 2023

Biashara

NMB yawazawadia washindi 100 waliobahatika droo ya 7 ya MastaBata

BENKI ya NMB imetangaza washindi 100 waliobahatika katika droo ya 7 ya kampeni yake ya MastaBata Halipoi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana...

Michezo

Simba gari limewaka Ligi ya Mabingwa Afrika

KUNA msemo waswahili wanasema baada ya dhiki faraja nahichi ndicho kinaonekana kwa klabu ya Simba kwasasa, Kwani walipitia kipindi kigumu lakini wameonekanakuanza kurejea...

Michezo

Yanga yaandika rekodi mpya CAFCL

MARA ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1998 takribani miaka 25 imepita tangu Yanga aingie hatau ya makundi bila kushindamchezo wowote kwenye kundi lake...

Habari za Siasa

CCM yataka wananchi washiriki marekebisho sheria za uchaguzi

WANANCHI wametakiwa kushiriki marekebisho ya sheria za uchaguzi, kwa kuwasilisha mapendekezo yao bungeni jijini Dodoma, kwa ajili ya maboresho ya miswada ya sheria...

Biashara

Vodacom waendesha mafunzo ya Tehama na Sayansi kwa wanafunzi wa kike

Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi...

Habari za SiasaTangulizi

Salamu za Christmas: Askofu Bagonza atema nyongo

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amelia na kitendo cha mmomonyoko wa...

Biashara

Tanzania mwenyeji wa mkutano wa tano wa kimataifa wa Tanzania Energy Cooperation Summit 2024

WAWEKEZAJI  kutoka sekta mbalimbali, fedha na serikali zitakutana kuonyesha uwezo ilionao Tanzania. Uwezo ambao unaonyeshwa na nchi ambayo kwa sasa imeorodheshwa kuwa ya...

Biashara

Watakaolipa kwa M-Pesa Lake Energies kupata punguzo la bei

  WATEJA wa Kampuni ya Vodacom ambao watakaofanya manunuzi ya mafuta katika vituo vya mafuta vya Lake Energies kwa kutumia M-Pesa watapata punguzo...

Habari za Siasa

Sakata la kina Mdee: Chadema kumchongea Spika Tulia IPU

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitakwenda kumchongea Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, katika Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), ili avuliwe...

Habari Mchanganyiko

Waumini wamefanya maombi kulaani vibaka

Waumini wa makanisa, mtaa wa Sanare kata ya Daraja mbili Jijini Arusha, wameungana na kufanya maombi ya pamoja kulaani vibaka wanaosumbua mtaani hapo...

Afya

Wafanyakazi NMB watoa mil. 11 matibabu ya watoto JKCI

WAFANYAKAZI wa Idara ya Wateja Wadogo na Biashara ya Benki ya NMB, wameikabidhi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ya Dar es...

AfyaTangulizi

Fedha za TASAF zamaliza kero ya huduma ya mama na mtoto Njombe

  MGANGA Mfawidhi wa Hospitali ya Kibena, iliyopo katika Halmashauri ya Njombe, Dk. Helena Msese amesema kabla ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...

Habari Mchanganyiko

Mkoa wa Njombe watumia fedha za TASAF bil 29 kuokoa kaya maskini

  MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Mkoa wa Njombe umesemaimetumia Sh. 29 bilioni kwa ajili ya kusaidia kaya maskini kupata mahitaji muhimu...

Kimataifa

Wananchi DRC kuamua hatima yao leo

NCHI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), leo tarehe 20 Disemba 2023, inafanya uchaguzi wake mkuu huku vigogo watatu, Rais anayemaliza muda...

Kimataifa

Mahakama yamwekea kigingi Trump urais 2024

MBIO za aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump kuliongoza tena taifa hilo, zimeingia doa baada ya kuwekewa kipingamizi cha kugombea kwenye Uchaguzi Mkuu...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar wadaka watuhumiwa usambazaji picha za ngono

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili wanaotuhumiwa kuwapa dawa za kulevya wanawake bila kujijua kisha kuwapiga picha...

Habari Mchanganyiko

RC Dodoma atangaza vita kwa madereva wanaotupa taka hovyo

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rossemary Senyamule ametangaza kiama kwa waendesha magari yaendayo mikoani ambao watatupa takataka pembezoni mwa barabara zote zilizopo katika...

Kimataifa

Tetemeko la ardhi lauwa watu 118 China

TETEMEKO la ardhi lililotokea nchini China maeneo ya Kaskazini-Magharibi, limesababisha vifo vya watu zaidi ya 100 na kujeruhi 397. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Ummy agoma kujiuzulu sakata wajawazito kujifungulia sakafuni

BAADA ya baadhi ya watu kumtaka Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, ajiuzulu kuonesha uwajibikaji kufuatia madai ya baadhi ya wajawazito kujifungulia kwenye sakafu...

Afya

Haya ndio maboresho ya kitita cha mafao – NHIF

KATIKA kuboresha huduma za matibabu nchini na kuendana na bei halisi ya utoaji wa huduma hizo, Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya...

Michezo

Mtanzania mwingine aogopwa Ukraine, akalia ubao miezi miwili

  NI miezi miwili sasa tangu Shaktar Donetsk ya Ukraine kufanya mabadiliko kwenye benchi lao la ufundi kwa kumfukuza mwalimu Patrick Van Leeuwen...

Biashara

Sloti ya Secret Book of Amun Ra maajabu ya kasino

  SECRET Book of Amun Ra sloti unatufanya turejee Misri ile ya kale yenye maandiko mbalimbali ya vitabu na historia isiyosahaulika ya taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee wawaacha njia panda mawakili wao

WABUNGE Viti Maalum 19, waliovuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), bado hawajafanya maamuzi juu ya hukumu iliyotolewa na mahakama dhidi...

Habari za Siasa

Samia ateua, atengua na kuhamisha viongozi

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwamo mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Katika taarifa iliyotolewa leo tarehe...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aikabidhi NBC tuzo ya heshima kwa kukuza sekta ya viwanda

Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi tuzo ya heshima  kwa benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa benki...

Habari za Siasa

Rafat ajitosa kuwania uongozi chipukizi Taifa

Mtoto Rafat Ally Simba ambaye hivi karibuni alitikisa vyombo mbalimbali vya habari nchini baada kuandika na kuzindua kitabu chake cha The First Female...

Habari za Siasa

Mradi wa umeme- Rusumo (80 mw) wafikia asilimia 99.9

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati 80 unaotekelezwa kwa...

Habari Mchanganyiko

SUKITA yatumia michezo kufikisha elimu ukatili kwa jamii

SHIRIKA la Usawa wa Kijinsia Tanzania (SUKITA), limeamua kutumia michezo kama mbinu ya kufikisha elimu ya kupambana na ukatili wa kijinsia kwa jamii....

AfyaTangulizi

Wajawazito wadaiwa kujifungulia sakafuni, Serikali yatoa kauli

BAADHI ya akina mama wajawazito katika Kituo cha Afya cha Buzuruga, kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, wanadaiwa kujifungulia chini kwenye...

ElimuTangulizi

Haya hapa majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2024

Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ametangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza...

Habari Mchanganyiko

Tuzo za PMYA zamfurahisha Rais Samia

RAIS Samia Suluhu Hassan, amelipongeza Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) kwa namna namna linavyokuwa mwaka hadi mwaka na kuboresha tuzo za wenye...

Michezo

Sir Jef Ratcliffe ampiga dongo Bruno kuelekea mchezo dhidi ya Liverpool

TAREHE 8 Septemba 1994 ni siku muhimu sana kwa kijanawa Kireno kutoka mitaa ya Maia, Bruno Miguel Borges Fernandes ni jina lililo kwenye vitabu...

Michezo

Ni Liverpool dhidi ya Man United kwenye Super Sunday

JUMAPILI ya leo itakua ya kibabe sana kwani kutakua namichezo kadhaa ambayo inaweza kwenda kuhakikishaunapiga mkwanja wa kutosha, Lakini shughuli nzimaitasimamiwa na mchezo mkali...

Biashara

Infinix yawafikia wateja wa simu yao mpya na punguzo la bei

KWMPUNI ya simu za mkononi Infinix Tanzania inaendelezashangwe kwa wateja wake, Infinix ilianza kwa uzinduzi wapromosheni za Christmass mwanzoni mwa mwezi huu, hawajaishia...

Biashara

Meridianbet yamwaga msaada kwa madereva wa Bajaj

KAMPUNI bingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbetimefanikiwa kutoa msaada kwa madereva Bajaji katikamaeneo mbalimbali jijini Dar-es-salaam ambapo wametoa maturubai ya kufunga kwenye Bajaji. Anaripoti...

Kimataifa

Mpinzani DRC atangaza kuungana na waasi wa M23

Kiongozi wa upinzani wa Congo anayeishi uhamishoni, Corneille Nangaa jana Ijumaa ametangaza kuunda kitengo cha kisiasa cha kijeshi kitakachokuwa mshirika wa kundi la...

Michezo

Wikiendi ya maokoto ndani ya Meridianbet

  WIKIENDI imefika na ni muda wa kufanya maokoto na kampuni bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet kwani itakwenda kupigwa michezo...

Habari za Siasa

Mchengerwa aonya ubabaishaji ujenzi stendi ya mabasi Bukoba

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amekemea ubabaishaji katika utekelezaji wa mradi wa...

Biashara

Meridianbet kasino yaja na toleo hili jipya la sloti

  MERIDIANBET kasino ya mtandaoni hatimaye tena tumekusogezea Sloti yenye hadithi ya nguruwe watatu na mbwa mwitu wanaotema Mamilioni kibao kwa mzunguko mmoja....

Habari Mchanganyiko

Tanzania yapongezwa kurejesha amani DRC, ICGLR

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongezwa kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele kurejesha amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na...

Biashara

Ukicheza sloti ya Winning Clover 5 Extreme kushinda Meridianbet ni rahisi

    WINNING Clover 5 Extreme ni sloti ya kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu, mistari mitano ya ushindi....

Afya

Manumba: Bilioni 4.7 zimebadili afya Kigoma DC

SERIKALI ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluh Hassan imetoa zaidi ya Sh bilioni 4.7 katika kuboresha huduma za afya halmashauri...

Habari za Siasa

Serikali yatakiwa kuondoa miswada ya uchaguzi bungeni

WANASIASA wa upinzani wameishauri Serikali iondoe miswada ya marekebisho ya sheria za uchaguzi bungeni jijini Dodoma, ili iboreshwe kisha irudishwe upya, kwa madai...

Afya

NMB yamwaga vifaa 750 vya kujifungulia Kigamboni

BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali 750 vya kujifungulia vyenye thamani ya Sh milioni 15.3 ikiwa ni utekelezaji wa dhamira ya...

Habari Mchanganyiko

Serikali yawarejesha waathirika 460, bilioni 4.7 zakusanywa kuwafariji

SERIKALI imesema imewarejesha kwa ndugu zao waathirika 460 kati ya 500, wa maporomoko ya udongo yaliyotokea hivi karibuni kwenye Mji Mdogo wa Katesh,...

Habari za Siasa

Serikali yaijibu EU sakata la Ngorongoro

SERIKALI ya Tanzania, imesema haitumii nguvu katika kuwaondoa wananchi jamii ya kimasai wanaoishi Hifadhi ya Ngorongoro, bali inawaondoa kwa hiari ili kuilinda hifadhi...

Habari za Siasa

Mashirika, taasisi 16 za Serikali zaunganishwa, 4 zafutwa

Serikali imeridhia mapendekezo ya timu ya wataalam katika awamu ya kwanza na kuelekeza kuunganishwa kwa mashirika na taasisi 16 na kufuta mashirika na...

Habari Mchanganyiko

MSCL kujenga meli ya mizigo, abiria kwenda visiwa vya Comoro na Shelisheli

  KAMPUNI ya Huduma za Meli (MSCL) imesema kuwa ipo katika mipango ya kukarabati Meli 13 na Kujenga Meli mpya tisa (9) ifikapo...

Habari za Siasa

Bunge la Ulaya lataka uchunguzi huru sakata la Ngorongoro

BUNGE la Umoja wa Ulaya (EU), limetaka uchunguzi huru ufanyike dhidi ya mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Wilaya za Ngorongoro na...

Habari za Siasa

Masheikh Sita wahukumiwa kunyongwa kosa la kulipua kanisa

MASHEIKH sita wamehukuwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya ugaidi iliyokuwa inawakabili...

error: Content is protected !!