Saturday , 27 April 2024
Home Kitengo Michezo Simba gari limewaka Ligi ya Mabingwa Afrika
Michezo

Simba gari limewaka Ligi ya Mabingwa Afrika

Spread the love

KUNA msemo waswahili wanasema baada ya dhiki faraja nahichi ndicho kinaonekana kwa klabu ya Simba kwasasa, Kwani walipitia kipindi kigumu lakini wameonekanakuanza kurejea kwenye ubora wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Klabu ya Simba ilianza vibaya kwenye michuano ya ligimabingwa Afrika kuliko msimu wowote kwenye miaka yakaribuni, Kwani walishindwa kupata matokeo ya ushindi katikamichezo yao mitatu ya kwanza.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Simba walifanikiwa kupata matokeo ya ushindi katika mchezowao wa nne wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya WydadCasablanca, Ambapo umeweza kufufua matumaini ya klabuhiyo kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrikamsimu huu.

Kocha mpya ndani ya klabu hiyo Abdelhak Benchikhaameonekana kuibadilisha klabu hiyo ndani ya muda mfupi, Kwani chini ya kocha huyo ndio klabu hiyo imeonekanakufufuka upya na matumaini ya kufanya vizuri kwenyemichuano ya ligi ya mabingwa Afrika.

Mabingwa hao wa ligi kuu ya Tanzania Bara mpaka sasawamefanikiwa kufika nafasi ya pili katika msimamo wa kundi B ligi ya mabingwa Afrika baada ya kupata ushindi dhidi yaWydad Casablanca kutoka nchini Morocco ambapo kabla yahapo walikua wanashika mkia.

Klabu ya Simba imejiwekea malengo ya kufuzu hatua ya nusufainali ya ligi ya mabingwa Afrika jambo ambalo wamekuawakilipigania kwa misimu takribani mitatu sasa, Japo msimuhuu ilionekana kama wasingeweza kufuzu hata hatua ya robofainali lakini ujio wa kocha Benchikha umeibua matumainiupya.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa tu kutoka Meridianbet

Spread the love  IKIWA leo hii ni Jumamosi nyingine na tulivu kabisa,...

Michezo

EPL, Ligue 1 na Coppa Italia kinawaka leo

Spread the love  LEO ligi kadhaa zitaendelea nchini barani ulaya ikiwemo ligi...

BiasharaMichezo

NBC yaunga mkono jitihada kutokomeza malaria

Spread the loveKuelekea Maadhimisho ya siku ya malaria Duniani yatakayofanyika kesho Aprili...

Michezo

Arsenal dhidi ya Chelsea ngoma nzito leo EPL

Spread the love  Leo kutakua na mchezo mkali sana pale kwenye ligi...

error: Content is protected !!