Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Michezo Yanga yaandika rekodi mpya CAFCL
Michezo

Yanga yaandika rekodi mpya CAFCL

Spread the love

MARA ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1998 takribani miaka 25 imepita tangu Yanga aingie hatau ya makundi bila kushindamchezo wowote kwenye kundi lake ambapo alikuwa namiamba kama ASEC Mimosas aliyemaliza na alama 13, Manning Rangers alama 10, Raja Casablanca alama 8, naYanga aliyemaliza na alama 2. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Katika kundi hilo Yanga alipokea kichapo kizito cha 6-0 dhidiya Raja Casablanca, akapokea 3-0 kutoka kwa ASEC, akapokeakipigo 4-0 kutoka kwa Manning Rangers lakini mechi yamarudiano alitoa sare ya 3-3 na Raja, 1-1 na Manning Rangers.

Michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea wawakilishiwa nchi Simba na Yanga wanazidi kukupa maokoto kila sikuukibashiri Meridianbet, kila mechi odds kubwa na machaguoZaidi ya 1000.

Ushindi mkubwa wa Jumatano ya 20/12/2023 wa mabao 3-0 dhidi ya Medeama FC ya nchini Ghana, umeandika historianyingine kwa Wananchi baada ya kuvunja uteja wao wakutokushinda mechi hata moja kwenye michuano ya Ligi yaMabingwa hatua ya makundi tangu mwaka 1998.

Lakini ushindi huo ulichangiwa na juhudi za wachezaji wote, benchi la ufundi, mashabiki, na viongozi wa klabu hiyo chini yaRais Mhandisi Hersi Said na muwekezaji Ghalib Said Mohammed (GSM) ambapo mechi ya jana ilipewa heshima yajina lake na mashabiki kuingia bure.

Bado una nafasi ya kufurahia ushindi huu wewe mwananchi nawenye nchi, bashiri soka na cheza kasino ya mtandaoniMERIDIANBET. CHEZA HAPA.

Wachezaji hawa ni wa kuchungwa Zaidi Yanga.

Professor Pacome Zouzouoa anahitaji nini tena kuthibitishaubora wake, alianza kama masihara saivi gari limewaka binafsihuyu ndio mwenye funguo za ushindi kwa Yanga SC anaibebasana timu mgongoni mwake.

Khalid Aucho What a Player huyu ndio mtunza remote wayanga anachagua tu jinsi gani timu icheze, ni ngumu kuonanafasi yake lakini yeye hulinda mabeki wake na kuipandishatimu juu kwenda kushambulia ana haki ya kuitwa National team ya Uganda.

Ukicheza kasino ya mtandaoni ushindi ni rahisi, naukibashiri soka kwa odds kubwa kuwa tajiri ni suala la muda tu. Jisajiri MERIDIANBET na ongeza salio kupitiawakala wa CICO aliyepo karibu nawe.

Djigui Diara kipa bora wa Ligi kuu ya NBC, aliingia kwenyekinyag’anyiro cha walinda mlango bora wa Afrika sio kwabahati mbaya ni kwa uwezo wake, bado anaendelea kuthibitishadaraja lake ni kubwa sana ni sawa na Mbingu na Ardhi. HapaTanzania kwa sasa Diara ni Case Study ya Magolipa wengiyaani ni Role Modal wa wengi

NB: Meridianbet ukijisajiri tu unapatabonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA*149*10# AU tembelea tovuti yaomeridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa tu kutoka Meridianbet

Spread the love  IKIWA leo hii ni Jumamosi nyingine na tulivu kabisa,...

Michezo

EPL, Ligue 1 na Coppa Italia kinawaka leo

Spread the love  LEO ligi kadhaa zitaendelea nchini barani ulaya ikiwemo ligi...

BiasharaMichezo

NBC yaunga mkono jitihada kutokomeza malaria

Spread the loveKuelekea Maadhimisho ya siku ya malaria Duniani yatakayofanyika kesho Aprili...

Michezo

Arsenal dhidi ya Chelsea ngoma nzito leo EPL

Spread the love  Leo kutakua na mchezo mkali sana pale kwenye ligi...

error: Content is protected !!