Saturday , 27 April 2024
Home Kitengo Michezo Sir Jef Ratcliffe ampiga dongo Bruno kuelekea mchezo dhidi ya Liverpool
Michezo

Sir Jef Ratcliffe ampiga dongo Bruno kuelekea mchezo dhidi ya Liverpool

Spread the love

TAREHE 8 Septemba 1994 ni siku muhimu sana kwa kijanawa Kireno kutoka mitaa ya Maia, Bruno Miguel Borges Fernandes ni jina lililo kwenye vitabu vya kumbukumbu yamashabiki wengi wa soka ikiwemo mashetani wekundu Utd. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Alianza safari yake ya soka kutoka mitaani klabu ya Infesta nabaadaye alipata ofa ya kujiunga na Akademi ya Porto lakinialikataa na kujiunga na mahasimu wao klabu ya Boavista ambaowalikuwa wakimpa pesa ya nauli kila siku alianza kucheza eneola beki wa kati kabla yakusogezwa mbele na kuwa kiungomshambuliaji. Michezo na mechi ni nyingi zinazoweza kukupa pesa pale MERIDIANBET, Bashiri hapa ODDS KUBWA.

Fernandes alikipiga sana huko ambapo alihamia Italia klabu yaNovara na alipewa majina kama Maradona wa Novara” naMini Rui Costa gwiji wa soka nchini Ureno.

Lakini unakumbuka tukio la Bruno na wenzake kujeruhiwa namashabiki wapatao 50 wa Sporting Lisbon May 15, 2018 baadaya kumaliza nafasi ya tatu na kukosa michuano ya Ligi yaMabingwa Ulaya, mara hii tena nahodha huyo amekutana naukosoaji mkubwa kutoka kwa tajiri anayepewa nafasi ya umilikiwa kalbu ya Manchester United Sir Jim Ratcliffe.

Ratcliffe anatarajiwa kujiunga na United hivi karibuni baada yakukubaliana kununua asilimia 25 ya hisa za klabu, na atapewaudhibiti wa shughuli za soka.

Ratcliffe amezindua kitabu chake kinachoelezea historia yaINEOS, kampuni yake ya kemikali aliyoianzisha miaka 25 iliyopita.

Wakati wa ufunguzi wa Grit, Rigour & Humour: the IneosStory,” Ratcliffe anakumbushia safari yake kwenda Pacificalivyoonaardhi ikitetemeka kila wakati Mshambuliaji waKisiwa cha Cook alipogongana na mchezaji mwingine katikamchezo wa Rugby.

Ratcliffe alibainisha jinsi mchezaji mmoja alivyovunjika mguu, lakini ilikuwa tofauti sana kwa Bruno Fernandes alivyoshikiliauso wake katika kipigo cha hivi karibuni dhidi ya Liverpool.

Tukio ambalo Ratcliffe analirejelea ni uchezaji wa Bruno Fernandes wakati wa kichapo cha 7-0 cha Manchester United ugenini dhidi ya mahasimu wao wa muda mrefu Liverpool ambapo alianguka chini akidai kupigwa na kiwiko, ingawa pichaza marejeo zilionyesha alikuwa amepata pigo dogo kifuani.Usiku wa leo United itashuka dimbani kukipiga na Liverpool, MERIDIANBET wameupa mchezo huu ODDS KUBWA, Bashiri hapa.

Fernandes alikosolewa sana si tu kwa utendaji wake katikakipigo hicho bali pia kwa kumtupa refa msaidizi katika hatua zamwisho za mchezo.

United hawatakuwa na Fernandes wakati wakisafiri kwendaAnfiled katika mchezo huu mgumu kwa timu zote mbili, hii nibaada ya kupata kadi yake ya tano ya manjano msimu huu waLigi Kuu katika kipigo cha 3-0 dhidi ya

Bournemouth. Jichukulie Maokoto kwa odds kubwa naukibashiri maduka ya ubashiri ya MERIDIANBET.

Sambamba na suala hilo Meridianbet kila mechi inatoa odds kubwa kwa wachezaji wote watakaobashiri Ligi mbalimbalikupitia mtandaoni, maduka ya ubashiri au kwa kupiga*149*10# PIA kuna michezo mingi ya kasino ya mtandaoni.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa tu kutoka Meridianbet

Spread the love  IKIWA leo hii ni Jumamosi nyingine na tulivu kabisa,...

Michezo

EPL, Ligue 1 na Coppa Italia kinawaka leo

Spread the love  LEO ligi kadhaa zitaendelea nchini barani ulaya ikiwemo ligi...

BiasharaMichezo

NBC yaunga mkono jitihada kutokomeza malaria

Spread the loveKuelekea Maadhimisho ya siku ya malaria Duniani yatakayofanyika kesho Aprili...

Michezo

Arsenal dhidi ya Chelsea ngoma nzito leo EPL

Spread the love  Leo kutakua na mchezo mkali sana pale kwenye ligi...

error: Content is protected !!