Wednesday , 21 February 2024
Home Kitengo Michezo Ni Liverpool dhidi ya Man United kwenye Super Sunday
Michezo

Ni Liverpool dhidi ya Man United kwenye Super Sunday

Spread the love

JUMAPILI ya leo itakua ya kibabe sana kwani kutakua namichezo kadhaa ambayo inaweza kwenda kuhakikishaunapiga mkwanja wa kutosha, Lakini shughuli nzimaitasimamiwa na mchezo mkali utakaopigwa pale katikadimba la Anfield kati ya Liverpool na Manchester United. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Liverpool wanakwenda katika mchezo huu wakiwa vinara waligi kuu ya Uingereza hii inaeleza klabu hiyo ipo kwenyekiwango bora kabisa, Lakini kwa upande wa wapinzani waohawako kwenye wakati mzuri kwani wametoka kupotezamchezo wa ligi kuu ya Uingereza wikiendi iliyopita tenawakiwa nyumbani kwa mabao matatu kwa bila.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mchezo kati ya Liverpool na Manchester United bahati mbayaau nzuri hua hauzingatii sana fomu ya mpinzani itakuaje, Mara zote timu hizo zinapokutana mchezo unakua mgumu kwelikwelina wenye msisimko mkubwa, Kwani vilabu hivo ndio vilabuvinavyoelezwa kua na upinzani mkubwa zaidi kwenye soka la Uingereza.

Manchester United wanakwenda Anfield na kumbukumbumbaya sana kwani miaka ya karibuni wamepokea vichapo vizitosana kwenye uwanja huo ikiwemo kipigo cha mabao sabawalichopokea mwaka huu mwezi wa tatu, Hii inaweza kuachachu ya wao kwenda kwa tahadhari kubwa sana katikamchezo wa leo.

Ikumbukwe kua Manchester United haijafanikiwa kushindamchezo wowote wa ligi kuu ya Uingereza toka mwaka 2015 katika dimba la Anfield, Hivo hii inaendelea kutoa faida kwawenyeji kuendelea kutawala au rekodi kuweza kuvunjwavilevile.

Michezo mingine kadhaa leo Jumapili inatarajiwa kupigwaambapo Arsenal watashuka dimbani wakiwa nyumbani pale Emirates kumenyana na Brighton, nchini Hispania Real Madrid watakipiga na Villarreal katika dimba la Santiago Bernabeu, Pale Italia Lazio watacheza na vinara wa ligi kuu ya Italia klabuya Inter Milan, Bayern Leverkusen watashuka dimbanikumenyana na Eintracht Frankfurt na michezo yote hii imepewaODDS KUBWA pale Meridianbet weka mkeka wako ujipigiemkwanja wa kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Kusanya maokoto na mechi za UEFA leo

Spread the love  LIGI ya mabingwa barani Ulaya inaendelea hii leo kwa...

Michezo

Mkwanja utaendelea kutoka leo kupitia ligi kubwa barani Ulaya

Spread the love LIGI mbalimbali barani ulaya zitaendelea kupigwa leoJumapili ambapo zitakuwezesha wewe...

Michezo

Leo ndiyo siku yako ya wewe kuwa milionea na Meridianbet

Spread the love  JUMAMOSI ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule EPL,...

Michezo

Unaachaje kuwa milionea ukibashiri na Meridianbet?

Spread the love  IJUMAA ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Laliga,...

error: Content is protected !!