Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Biashara Infinix yawafikia wateja wa simu yao mpya na punguzo la bei
Biashara

Infinix yawafikia wateja wa simu yao mpya na punguzo la bei

Spread the love

KWMPUNI ya simu za mkononi Infinix Tanzania inaendelezashangwe kwa wateja wake, Infinix ilianza kwa uzinduzi wapromosheni za Christmass mwanzoni mwa mwezi huu, hawajaishia hapo majuzi walizindua na promosheni ya simuyao mpya ya HOT 40 pro na HOT 40i, kwa mujibu wa taarifakutoka @infinixmobiletz inasema HOT 40 pro kuuzwa kwakiasi cha shillingi 550,000 katika kipindi hiki cha sikukuu nabaada ya hapo itarejea katika bei yake ya shilling 580,000.

Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa Infinix, Aisha Karupa hiyo ni moja ya desturi yetu kuwapa wateja wetu matoleomapya katika promosheni zetu pamoja na mapunguzo ya beilakini pia zawadi ni nyingi.

Karupa alisema Infinix imekuandalia zawadi zenye thamanihadi ya Shilingi Milioni 3 zikiwemo na zawadi nyingine kamavile laptop, vocha za manunuzi zenye thamani ya shilingi100,000 na zawadi za papo hapo.

Matoleo ya simu ambayo yapo kwenye promosheni hii niInfinix HOT 40 Series, Zero 30 Series, Note 30 Series, Hot 30 Series na Smart 8 Series kama wewe ni mfuatiliaji wa karibuutabaini kwamba haya yote ni matoleo mapya ya mwaka huuna kila moja lilifanya vizuri kutokana na upekee wake, mfanomzuri ni NOTE 30 VIP inaendelea kufanya vizuri kutokana nateknolojia ya kisasa ya fast chaji simu hii ina watt 68 ya fast chaji na watt 50 ya wireless chaji.

HOT 40 Series ambayo imezinduliwa hapa juzi ni gumzo kwasasa ikipewa sifa kubwa ya kiprocessor aina ya MediatekHelio G99 kuwa na kasi ya kuendesha application za games na nyinginezo pasipo simu kupatwa na joto.

Promosheni hizi ni kwa nchi nzima tembelea@infinixmobiletz kwa habari zaidi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Sloti ya Mega Jade kasino njia 10 za malipo unaposhinda

Spread the love  TUNAKULETEA mchezo wa kasino wa kufurahisha sana ambapo unapewa...

Biashara

Orb of Destiny kutoka Meridianbet kasino ushindi kwa njia 14  

Spread the love  ORB of Destiny ni mchezo wa sloti kutoka kwa...

Biashara

Jiandalie Strawberry Cocktail yako nyumbani huku unacheza kasino 

Spread the love  UTAANDAA matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe...

Biashara

420 Blaze It chimbo jipya la kuchota mihela Meridianbet kasino 

Spread the love  JE, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10?...

error: Content is protected !!