Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Biashara Vodacom waendesha mafunzo ya Tehama na Sayansi kwa wanafunzi wa kike
Biashara

Vodacom waendesha mafunzo ya Tehama na Sayansi kwa wanafunzi wa kike

Spread the love

Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne shule ya sekondari ya Sangu,  Bi. Witness Charles Mwambelo, yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao.

Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne shule ya sekondari ya Samoja, Bi. Sarafina Mussa Sanga yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao.

Walimu na wanafunzi wakifuatiliamafunzo ya ‘coding’ kupitia programu ya Vodacom Tanzania inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ yaliyofanyika katika chuo cha TEKU mwishoni mwa wiki
jijini Mbeya. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Maisha ya kasino ni furaha, cheza Book of Eskimo kujichukulia utajiri 

Spread the love  KUPNGA ni kuchagua, chagua kuwa mshindi kila siku kupitia...

Biashara

Sloti ya Mega Jade kasino njia 10 za malipo unaposhinda

Spread the love  TUNAKULETEA mchezo wa kasino wa kufurahisha sana ambapo unapewa...

Biashara

Orb of Destiny kutoka Meridianbet kasino ushindi kwa njia 14  

Spread the love  ORB of Destiny ni mchezo wa sloti kutoka kwa...

Biashara

Jiandalie Strawberry Cocktail yako nyumbani huku unacheza kasino 

Spread the love  UTAANDAA matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe...

error: Content is protected !!